Ukiwa na kiongozi ambaye anaacha huru wanasiasa (hasa wapinzani) kufanya siasa kwa uhuru ila akafeli kwenye
1. Kudhibiti mfumuko wa bei.
2. Kudhibiti nidhamu ya watumishi wa Umma.
3. Kudhulumu...
Wananchi wa kawaida wanalalama kupanda bei ya vyakula. Bashe anasema hatafunga mipaka hata kama kilo ya unga itafika buku tano.
Kila mtumishi wa umma anawaza kupiga dili ili ajilipe.
Gharama...
Trafic ni wengi mijini na barabara kubwa za mikoani.Usumbufu upo vilevile .Mfano ni hapo karibia na Chalinze kwenye kiwanda cha Tiles, Gari zaidi ya 50, zimetengeneza Jam sababu ya Trafic Polisi...
TAARIFA KUHUSU BIMA ZA WAGOJWA KUKATAA KUWA AUTHORISED KWENYE MFUMO
Utaratibu wa mfuko wa NHIF umebadilika ili kuzuia polyvisit za wagonjwa pamoja na polyservices zingine za wagonjwa wetu...
Serikali imewataka Madereva na Wananchi kwa Jumla kununua mafuta ya Petrol na Diesel kwenye vituo vinavyouza Bei rahisi ili kushamirisha Ushindani
Serikali imewataka Wauza mafuta kuhakikisha...
Bei ya mafuta imepanda sana, mishahara ni midogo sana na bidhaa zote sokoni zimepanda kwa kila mtu duniani wakiwemo hata polisi traffic.
Polisi wanazidisha ugumu wa hali hii kwa njia ya kutafuta...
Taarifa kutoka kwenye ofisi ya Utumishi Manispaa ya Temeke inaeleza kwamba Watumishi wa Wilaya hiyo na Manispaa hiyo kwa ujumla , wameongeza ari ya kazi mara dufu , ikiwa ni sehemu ya kuridhishwa...
KUPANDA KWA MAFUTA:USHAURI WANGU WA BURE KWA BWANA MAROPE NA KWA MNYONGE MWENZANGU.
Leo 13:15hrs 04/08/2022
Nianze kwa kuipongeza Serikali kwa hatua zinazochukuliwa ikiwemo kuweka ruzuku kwa...
Hii ndio Kauli ya Ndugu Msigwa, ambaye ni Msemaji wa Serikali ya Tanzania kwa Watanzania aliyoitoa kwa vyombo vya habari.
Yaani sisi wananchi tuahirishe kulialia kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta...
Nimemsikia Mh Rais akiwaelekeza Wakuu wapya wa Mikoa ambao ni Wanajeshi kwamba baada ya sasa kuapishwa na kuwa Wakuu wa mikoa, HAWATAKIWI KUVAA MAGWANDA YALE AMBAYO NI SARE ZAO ZA KIJESHI...
Nimefuatilia comments za vijana wengi kwenye mitandao yakijamii na kwingineko nimesikitishwa kuona vijana wengi hawajui wanachokitaka. Hawajitambui, hawajui future yao na wala hawana msimamo...
Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu imeweka mikakati ili kukuza sekta ya michezo nchini. Serikali inaamini kuwa michezo ni Ajira kwa vijana wengi. Mikakati ya Rais Samia ni...
Tangu zoezi la kuhamisha watu walioamua kuhama kwa hiyari kutoka Hifadhi ya Ngorongoro kuhamia msomera kuanza na kuendelea kwa Wengi wa wananchi hao wameamua kutoa ushuhuda wa namna ambavyo maisha...
Moja ya vitu vinavyokera sana nchi hii ni urasimu ulioko katika maofisi, idara, vitengo na taasisi mbalimbali za serikali.,urasimu unaopaswa kuwekewa mkakati maalumu kudhibiti.
Urasimu huu sio...
Nimesoma taarifa Leo Rwanda walimu kupata salary increase 88% .
Kwa Tanzania wachawi ni wasaidizi wa Rais. Wanampotosha Sana. Unamuongezea MTU 23.3 Kwa kima Cha chini halafu ndio inakuaje.
Ni...
Habari wanajamvi .
Naleta mada tajwa hapo juu tujadili pamoja kwa hoja.
Nikianza na Raisi wa awamu ya kwanza huyu alikuwa muhimu sana kwa kuwa tanzania ndo ilikuwa inajenga msingi.
Ukiangalia...
Hii ndio taarifa mpya iliyotolewa na Gazeti bomba la Raia Mwema .
Kwamba Muda mfupi ujao baadhi ya Waheshimiwa Mawaziri wanaweza kuwa Raia wa kawaida kama tulivyo sisi wengine , hasa baada ya...
Nashauri Mbowe na wengine wakae kimya waangalie maisha yao na Familia zao, Watanzania sio watu wa kutetete kamwe, bora kutetea hata wale Mbwa wanao zurura mitaani wasipigwe ila sio kutetea...
Hii ni nane-nane na kuna wanasiasa wengi wanazindua sherehe na taasisi za serikali zinajilazimisha kwamba wamefanya makubwa ktk kilimo. Huu ni unafiki kwa wanasiasa na taasisi za serikali...
Tanzania tuna hifadhi ya gesi iliyofikia ujazo wa Trilion 57 cubic f.
Kwa mujibu wa hotuba ya Rais wakati wa kusaini mkataba wa kwanza wa uwekezaji wa Gesi baina ya Serikali na wawekezaji kuna...