PendoLyimo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 879
- 956
Tangu zoezi la kuhamisha watu walioamua kuhama kwa hiyari kutoka Hifadhi ya Ngorongoro kuhamia msomera kuanza na kuendelea kwa Wengi wa wananchi hao wameamua kutoa ushuhuda wa namna ambavyo maisha yao mapya ya Msomera yalivyo bora na salama kulinganisha na walipoluwa wanaishi hifadhini walipokuwa wakibanwa na sheria za uhifadhi.
kwa Ujumla kuna tofauti kubwa kati ya hapa Msomera na Ngorongoro, kwenye swala la malisho ,swala la malisho Ngorongoro ng'ombe wanafuata malisho zaidi ya kilometa kumi(10KM) kwa siku, kwahiyo unakuta ng'ombe kama muda huu wamekuja kupumzika kwa sababu wameshiba majani yapo karibu hapa , Tulipofika hapa Baada ya siku mbili ng'ombe kupumzika,tukaenda kuogesha kwa sababu hiyo inasaidia ng'ombe kupata ulinzi ,ukimwogesha umemuepisha na magonjwa mengi , Serikali tayari imesha tupa madawa tumewaogesha kwahiyo ng'ombe wako salama " Anasema Luka tyamasi mwananchi aliyehama kwa hiyari kutoka NGORONGORO kuhamia Msomera
Zaidi angalia video hii