Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais mstaafu mzee Kikwete ameisifu Kenya kwa kuwa na Uwazi mkubwa katika Uchaguzi wake Mzee Kikwete amesema hadhani kama kuna nchi nyingine Afrika ina Uwazi katika Uchaguzi wake kama Kenya...
13 Reactions
70 Replies
6K Views
Sahivi watu wengi wanamtukana Magufuli na kumponda, juu ya matendo mabaya ya Serikali yake, binafsi naona Ni sawa maana Magufuli alikuwa katiri Sana. Sasa Kuna gege liliitwa watu wasiojulikana...
13 Reactions
35 Replies
3K Views
Rais mstaafu JK naona anasifia tume huru ya Kenya, wagombea binafsi na uwazi wa uchaguzi na anasema Africa ijifunze Kenya. Binafsi maswali ni mengi kuliko majibu, alipokuwa Rais alifanya nini...
14 Reactions
23 Replies
2K Views
KUWANYIMA WATU UHURU NI CHANZO CHA VIONGOZI WENGI WAZURI KUFELI Wakuu nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Wote kwa pamoja muitikie CHAMA KIENDELEE. Wale wasiotaka kujibu nawakumbusha...
1 Reactions
5 Replies
970 Views
Tuzo za heshima za Nobel huwa zinapewa kwa watu mbalimbali ikiwemo viongozi na wanaharakati. Kiongozi mkubwa ambaye alinusurika kulifata kaburi Tundu lissu mpaka sasa hajapewa tuzo ya Nobel...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Baadhi ya Wanasiasa wa Tanzania wamedai uchaguzi mkuu wa Kenya umewapa hamasa ya namna ya kupambania hata kama Tume itakuwa hii hii ya Mahera Nao baadhi ya Wafuasi wa Chadema wamesema Freeman...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Leo ni siku ya uchaguzi nchini Kenya upinzani mkali uko baina ya Laila Odinga kutoka Nyanza province na Ruto alie kua makamu wa Raisi wa Uhuru Kenyatta, ni Mkalejini Nandi province. Nchi yetu Tz...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Natoa tu angalizo kwamba tumwache mwenyekiti CHADEMA Mh. Freeman Mbowe atimize majukumu yake kwa amani. Mbowe kama kiongozi mkuu wa upinzani ana wajibu wa kushirikiana na serikali kuhakikisha...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari za uzima wakuu, I hope ni wazima macomredi wote wapambania vyama pamoja na taifa kwa ujumla. Niende kwenye point moja kwa moja kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, mimi ni...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Sijui Nani ana mamlaka ya kutoa hata majina lakini bila shaka Rais ana ushawishi. Nimemuomba mama Samia afikirie kuipa stendi mpya jijini Mwanza jina la Katibu wangu John Mnyika. Nimependekeza...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Mnazuia vyama halaĺi vya siasa kufanya mikutano halali ya siasa huku wafanyao hivyo mkiwapiga mabomu na kuwakamata. Lakini wakati huohuo mbunge wa Kawe na anayejiita mchungaji Bwana Josephat...
9 Reactions
46 Replies
4K Views
CCM ni ile ile, zile harakati za watu wa ndani kumpinga JPM haikuwa kwa masilahi ya nchi au watanzania kwa ujumla ile ilikuwa vita ya vigogo wenyewe. Ndio maana baada ya mabadiliko hali za...
2 Reactions
6 Replies
693 Views
Luhende Pius Gerald Shija Mkurugenzi Mpya wa Itigi. * Pius alimaliza O' level Kilosa Sekondari (1990 - Kizunguzi), akaenda form six kisha diploma, akawa mwalinu wa sekondari. * Mwanzoni mwa...
5 Reactions
89 Replies
19K Views
Wakati wa Utawala wa Mkono wa Chuma kuna Mtu alikuwa anajinadi kuwa Miradi aliyoianzisha hakuna wa kuikamilisha bila yeye na Wapambe wake wakawa wanasema Aongezeee Muhula wa Urais ili Aikamilishe...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Itoshe tu kusema Hujafa hujaumbika Mungu wa mbinguni mpe wepesi mtumwa wako Lengai Ole Sabaya
4 Reactions
49 Replies
4K Views
Makao Makuu ya CCM - DODOMA, Tunaomba mfuatilie suala hili kwa sababu linawaumiza wagombea wengi sana katika mkoa wa Ruvuma katika uchaguzi unaofanyika wa CCM. Mfano wa wazi: Kuna idadi ya watu...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kenya imekuwa Taifa la kwanza kwa Africa ku introduce cording kwa shule za msingi, na kumbuka pia Kenya kwa sasa wana mtala npya wa elimu unaenda kwa jina la CBS- Competetive based Carriculum, huu...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Bilioni 776.6 zaelekezwa katika ujenzi, ukarabati na matengenezo ya barabara vijijini na mijini katika mwaka wa fedha 2022/23 OR TAMISEMI Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni ushauri tu kwa CHADEMA kwamba kwa sababu Makamu mwenyekiti ( bara) haishi nchini basi mpeni nguvu yule wa Zanzibar awe anazunguka mikoani sawia na komredi Kinana kufanya mikutano ya ndani...
0 Reactions
6 Replies
904 Views
Kazi Iendelee.. TRA wanakusudia kuanza kukusanya kodi kutoka kwa wamiliki wa nyumba za kupanga za biashara na madalali ila cha ajabu watu wanataka maendeleo ya kila aina ila hawataki kulipa kodi...
5 Reactions
96 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…