Ofisi ya taifa ya takwimu imetoa pato la kila mkoa nchini Tanzania, mkoa wa Dar es salaam wazidi kuongoza ukifuatiwa na Mwanza.
Mikoa ya Katavi na Njombe imeshika mkia kwa kua na pato dogo sana...
Walamba asali wamejisahau. Wamedhani sisi tunayo furaha mno wao na familia zao wakiendelea kujimilikisha nchi na kujineemesha.
Tozo hizi wanazo turundikia sisi, zina ridhaa gani nasi?
Ruto na...
Katika hari ya kawaida, Ni ujinga sana kutetea ghalama za bundle kwamba zimeshuka.
Na naamini Nape anajua kabisa either Rais hanunui bundle na hivyo hajui ghalama zake ama anaamuni Rais hawezi...
Wana wa Ngurumo ni wale Wanafunzi ambao Yesu aliwaaminia sana miongoni mwa wale thenashara Petro, Yakobo na Yahana
Ujuwe Tawala za Dunia hii zimekopi kila kitu kutoka kwenye Bible
Hivyo kama...
Habari wandugu. Kwa sasa na maisha na uchumi wa dunia ni mgumu sana. Kila mtu anatakiwa kujibana. Hivyo na Serikali nayo inatakiwa kujibana. Ili kupunguza matumizi, inahitajika ukubwa wa serikali...
Ndugu zangu Mh Rais mama Samia suluhu Hassani Ni mwanadamu mwenye damu na moyo na mwili wa nyama Kama Tulivyo sisi wengine.
Nikawaida kuona hata watumishi wa umma ikikaribia wikend wanafurahi ili...
Waziri wa Fedha na Mipango nchini Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba, amesema Serikali itanufaika na msaada wa miaka mitatu wa dola za Marekani bilioni 30 (Sh 69 trilioni), ulioahidiwa na Rais wa China...
Mwaka 2022 Serikali itafanya tathmini ya gharama za huduma ya mitandao ya simu ndani ikiwa imepita miaka minne tangu kufanya hivyo.
Hayo yamesemwa leo Jummosi Agosti 20, 2022 na Waziri wa Habari...
Yaliyo fanyika hivi karibuni;
1. Kuanzishwa kwa tozo katika miamala ya simu za mkononi.
2. Kuanzishwa kwa government levy katika miamala ya kibenki.
Yangeli tosha kabisa kumtathmini Mh Mwiguru...
RIDHIWANI AKABIDHI MASHAMBA 11 YALIYOSHINDWA ENDELEZWA KWA WANANCHI KILOSA KWA NIABA YA RAIS SAMIA ,ASISITIZA YATUMIKE KWA AJILI YA KILIMO.
Na Mwandishi wetu...
Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi...
Kwa namna nikienda kwenye maduka ninavyoona Wafanyabiashara wanafanya mauzo bila kutoa risiti na Wananchi wananunua bidhaa bila kudai risiti napenda kusisitiza, Mama yangu Samia kazia hapo hapo...
Maofisa 7 wa Jeshi la Polisi mkoani Mtwara wanaotuhumiwa kufanya mauaji ya mfanyabiashara wa madini, Musa Hamis (25), wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mtwara kwa ajili ya kesi yao...
Hivi nchi mbayo kutwa nzima wana jadili Yanga na Simba inaweza kuja kuwa na mawazo mbadala ya kupeleka nchi mbele? Pita vijiwe nch nzima simama dakika 1 tu ni ubishano wa Yanga na Simba, huwezi...
Wakati ambapo unawaza namna gani ujikwamue kutoka kwenye umaskini; kuna mwingine anawaza namna gani azidi kukukandamiza kutokana na umaskini wako!
Hoja ya maskini mara nyingi huonekana kama ni...
Mufti Mkuu amemuambia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuwa wao kama Waislam wapo tayari kuiombea sensa na kuhesabiwa. Wataiombea Sensa ifanyike vizuri kwa amani na ikamilike ili lengo la serikali...
Kiongozi ni kioo cha jamii na huo ndiyo ukweli.
Kwa lugha hizi mh Mwigulu kwa watanzania ni kashfa kubwa sana na dharau kubwa.
Kumbuka hiyo nafasi uliyo nayo bila kuchaguliwa na hao wananchi...
Wananchi wanaumia kwa sababu yako na tozo zako ambazo pamoja na kuzichukua zinawanufaisha nyie na familia yenu na kikundi chenu.
Acha kudhalilisha bendera yetu kwa kuwaumiza wanachi na matozo ya...
Kenya is an Elite state..
Tanzania has been made an Ignorant state, an illiterate and a shamming state for years by the rulling CCM.
JK alienda kuangalia uchaguzi wa Kenya. Akaulizwa swali la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.