Mtwara: Askari saba wanaotuhumiwa kumuua mfanyabiashara na kupora fedha wafikishwa Mahakamani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,693
218,213
Maofisa 7 wa Jeshi la Polisi mkoani Mtwara wanaotuhumiwa kufanya mauaji ya mfanyabiashara wa madini, Musa Hamis (25), wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mtwara kwa ajili ya kesi yao kutajwa.

Waliofikishwa Mahakamani ni:

1. Mrakibu wa Polisi Gilbert Kalanje -Mkuu wa Upelelezi wa wilaya ya Mtwara,

2. Mrakibu Msaidizi wa Polisi Charles Onyango - Mkuu wa Kituo cha Polisi Mtwara,

3. Mrakibu wa Polisi Msaidizi Nicholaus Kisinza - Mkuu wa Kikosi cha Intelejensia ya Jinai mkoa wa Mtwara,

4. Mkaguzi wa Polisi John Msuya Mganga - Mkuu wa Zahanati ya Polisi Mtwara,

5. Mkaguzi wa Polisi Msaidizi Marco Mbuta,

6. Mkaguzi wa Polisi Shirazi Mkupa na

7. Koplo Salimu Juma Mbalu.

Hata hivyo wanahabari wamezuiwa kuingia katika chumba cha Mahakama

Kesi hiyo imeahirishwa hadi 22/02/2022

instagram_image.jpg

Pia soma
- Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7

Mtwara: Askari Polisi mmoja kati watuhumiwa wa mauaji ya mfanyabiashara alikutwa mahabusu akiwa amejinyonga tarehe 22 Jan 2022

- SIMULIZI: Mauaji ya Mfanyabiashara Musa Hamis Mtwara, Machozi na Damu
 
Hukumu itoke halaka na kupewa adhabu inaye sitahili ili liwe funzo kwa polisi wengine nchini,waache kuchezea haki na maisha ya watu!
 
Wamesomewa mashitaka yao leo Kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Mtwara , ambapo kesi hiyo imeahirishwa hadi 22/02/2022

View attachment 2112357
Mi nadhani baada ya kamati ya uchunguzi kurudisha majibu hawa jamaa bila kupelekwa mahakani kama utathibitika kweli waliua mi naona wapelekwe jangwani piga shaba wote au kitanzi cha wazi mbele ya hadhada hii italeta adabu.
Hii nchi inahitaji sheria ya dutete kule ufilipino

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maofisa 7 wa Jeshi la Polisi mkoani Mtwara wanaotuhumiwa kufanya mauaji ya mfanyabiashara wa madini, Musa Hamis (25), wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mtwara kwa ajili ya kesi yao kutajwa.

Waliofikishwa Mahakamani ni:

1. Mrakibu wa Polisi Gilbert Kalanje -Mkuu wa Upelelezi wa wilaya ya Mtwara,

2. Mrakibu Msaidizi wa Polisi Charles Onyango - Mkuu wa Kituo cha Polisi Mtwara,

3. Mrakibu wa Polisi Msaidizi Nicholaus Kisinza - Mkuu wa Kikosi cha Intelejensia ya Jinai mkoa wa Mtwara,

4. Mkaguzi wa Polisi John Msuya Mganga - Mkuu wa Zahanati ya Polisi Mtwara,

5. Mkaguzi wa Polisi Msaidizi Marco Mbuta,

6. Mkaguzi wa Polisi Shirazi Mkupa na

7. Koplo Salimu Juma Mbalu.

Hata hivyo wanahabari wamezuiwa kuingia katika chumba cha Mahakama

Kesi hiyo imeahirishwa hadi 22/02/2022

Pia soma
- Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7

Mtwara: Askari Polisi mmoja kati watuhumiwa wa mauaji ya mfanyabiashara alikutwa mahabusu akiwa amejinyonga tarehe 22 Jan 2022

- SIMULIZI: Mauaji ya Mfanyabiashara Musa Hamis Mtwara, Machozi na Damu
Mnaamua kijana mpambanaji kisa hela inasikitisha sana tunaamina mahakama itatenda haki kwa mfanyabiashara na kutoa hukumu kwa wahusika
 
Back
Top Bottom