Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baada ya kushuhudia Mwenyekiti wa chama cha siasa cha TLP, Mheshimiwa Mrema akijichukulia "dogodogo" na akifunga ndoa majuzi, ambayo ilileta msisimko mkubwa kwenye mitandao ya kijamii...
8 Reactions
49 Replies
3K Views
Rais, Makamu na Waziri Mkuu (among others) hawalipi kodi yoyote kwenye mishahara yao, akaunti zao benki hazina makato na hata laini zao za simu hazina tozo yoyote. Bado natafuta tafsiri sahihi ya...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Mama Samia alikuwa na muda wote wa kutuwekea misingi imara ya Tanzania mpya yenye haki kamili. Tukawa na Tanzania isiyokuwa na malalamiko. Sote tukajisikia kuwa na haki sawa. Ajabu na kweli mzuka...
4 Reactions
47 Replies
3K Views
NEC hutangaza washindi wa ubunge na udiwani kwenye Majimbo na kurushwa na media kama wafanyavyo IEBC NEC hupokea matokeo ya kura za Rais kutoka majimboni na kuzijumlisha huku waandishi wa habari...
1 Reactions
8 Replies
625 Views
Kutokana na kujiuzulu kwa aliyekuwa mwanasheria mkuu wa serikali Jaji Werema ni wazi sasa nafasi hiyo inabaki wazi. Kwa walio wadau wa tasnia hii ya sheria nadhani wataungana nami pasina shaka...
7 Reactions
164 Replies
24K Views
Tuweke historia yetu vema,leo kulikuwa na maadhimisho ya siku ya wanawake wa CCM UWT na kumuenzi Bibi Titi Mohamed,Lakini mzee mmoja tukitizama nae mbashara sherehe hizi amenipa stori tofauti...
5 Reactions
28 Replies
5K Views
Naamini kabisa kwenye Ile orodha ya Mawaziri mizigo ya Kinana na Waziri Nape yumo. Waziri huyu bwana naona tu ni kama zawadi kapewa, hata yeye nazani anaona kabisa hawezi. Mambo mawili...
29 Reactions
69 Replies
5K Views
Tafadhali msiwasahau wasanii waliokesha kuwaombea Kura. Asante.
2 Reactions
10 Replies
2K Views
- Inasikitisha na kushangaza sana kuona UVCCM Taifa ikiwa kimya sana hasa katika kipindi hiki cha Rasimu ya Katiba mpya, ambapo Jumuiya zote za CCM zipo mbio mbio sana kuelimisha wanachama wetu...
5 Reactions
103 Replies
10K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi wateule wafuatao: 1. Inspekta Jenerali CAMILLUS MWONGOSO WAMBURA, kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) 2. Aliyekuwa...
13 Reactions
84 Replies
12K Views
Tozo ni wizi, hakuna jina lingine zuri unaweza kulipamba. Mbaya zaidi tozo hizi zinatozwa na serikali dhidi ya watu wake masikini. Bunge lolote halali lisingeweza kuhalalisha wizi huu wa mchana...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
SHAKA APOKELEWA IGUNGA KWA NDELEMO NA VIFIJO. Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka H. Shaka (MNEC) akiwa ameambatana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama...
2 Reactions
2 Replies
635 Views
Serikali katika Mwaka mpya wa Fedha 2022/23 imeanza kutekeleza punguzo la tozo katika miamala ya simu katika kutuma na kupokea fedha kwa 43%. (Tozo ya juu kabisa itapungua Kwa kutambua ukuaji wa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu zangu napenda niwaambie kuwa Tanzania itajengwa na sisi wenyewe watanzania, Hatuna mtu atakuja kutujengea nchi yetu, Katika kufikia ndoto ya Tanzania tuitakayo na kuwa Kama ulaya Ni lazima...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Malalamiko ni mengi katika wizara wanazoziongoza hata waziri mkuu mwenyewe anawaogopa hao vijana hawezi kuwakemea kwa lolote lile na hao mjue kuwa mama anaamini ndio vijana wake watakao mpigania...
0 Reactions
1 Replies
427 Views
TUKUBALI MVINYO KWA WACHACHE AU MAJI KWA WENGI!? Leo 14:40hrs 20/08/2022 Wanachama wenzangu wa CCM na wadogo zangu wa Uvccm tukiwa busy kupongeza muda wote kwa kufanya matukio ya hamasa huku...
1 Reactions
1 Replies
691 Views
Hizi ni baadhi ya faida ya sensa kuisaidia Serikali kupata taarifa za msingi zitakazo saidia mchakato wa utekelezaji wa dira ya maendeleo ya mwaka 2025 Kuisaidia Serikali kujua ongezeko la...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Serikali imekata tozo kwenye miamala yote kuanzia tarehe moja July mwaka huu... Kama akaunti yako haina salio kwa sasa tozo litakatwa punde akaunti ikiwekewa fedha.
5 Reactions
75 Replies
7K Views
Kwa sasa vyama vya upinzani wamefanya handshake na rais SSH, kwa huku mtaani tunasema wamelambishwa asali ya nyuki wakubwa. Wananchi tumeamua kujisemea wenyewe juu ya msururu wa tozo, Kodi...
3 Reactions
4 Replies
638 Views
Watanganyika mtaendelea kuteseka tayari shirika la POSTA limetangaza kutenga Asilimia 25 ya AJIRA zake Kwa wazanzibar
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…