Fahamu umuhimu wa SENSA Tanzania

Nyabukika

JF-Expert Member
Jun 15, 2022
1,402
942
Hizi ni baadhi ya faida ya sensa

kuisaidia Serikali kupata taarifa za msingi zitakazo saidia mchakato wa utekelezaji wa dira ya maendeleo ya mwaka 2025

Kuisaidia Serikali kujua ongezeko la idadi ya watu kwa mgawanyo wa viashiria vyengine ambavyo ni muhimu kwa Usimamizi wa mazingira

Kigawio katika kukokotoa viashiria vyengine mfano pato la mtu mmoja mmoja Pato la taifa ajira na ukosefu wa ajira
Ni msingi wa utawala bora ujumuishaji wa demokrasia, takwimu sahihi za Sensa zinahitajika kwa ajili ya ugawaji wa majimbo ya uchaguzi Kwa ufanisi

Hizo ni baadhi ya faida ya Sensa hatuna budi Watanzania kuhesabiwa...
Sensa ni kwa ajili ya Maendeleo
 
Back
Top Bottom