Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mkuu wa mkoa wa Kagera mh Albert Chalamila amewataka Wananchi kwa ujumla kuvaa mavazi ya staha Wakati wanapowapokea makarani wa Sensa. Chalamila amesema ameona baadhi ya picha kwenye Mitandao ya...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Kwa lugha rahisi tu wananchi sisi ndio wenye nchi na huyu Mwigulu Nchemba na mama sisi ndio mabosi wao, sisi siyo vijakazi wao hili lieleweke dhahiri shairi. Kwakuwa ugumu huu wa maisha hauchagui...
33 Reactions
160 Replies
10K Views
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Wanawake na Makundi Maalum, Dorothy Gwajima ametoa onyo kwa baadhi ya wafanyabiashara wakubwa wanaowatumia Wamachinga wadogo kuuza bidhaa zao ili kukwepa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Hakuna mtu anayeweza kuhoji umuhimu wa sensa. Wakristo wanakumbuka, kwa kadiri ya maandiko matakatifu ya Biblia, Mama Maria na Mt. Joseph walienda Betlehem kwaajili ya sensa, ni katika tukio...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
RC MAKALLA: MSAKO WA MIFUKO YA PLASTIKI KUANZA JUMATATU YA AUGUST 29. - Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango Ameelekeza msako wa mifuko ya Plastiki ufanyike Mikoa yote. - Awataka Viongozi wa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Sijui kinachosemwa ni kweli au la? Kwanza tangu zoezi lianze liligubikwa na malalamiko mengi sana Mfano Makalani waliokuwa wakifunzwa walilalamikia kupikiwa chakula kibichi uku wakikatwa...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Jitu kila siku linaingia mitandaoni kulalamika tu viongozi wanatucheka na dunia kwa ujumla tunaonekana wehu tu. Tukisema tuandamane mijitu inajificha kwenye uvungu wa kitanda. Siku moja niliwaza...
0 Reactions
2 Replies
450 Views
Pamoja na madhaifu yake lakini kiukweli Zito Kabwe amedhiilisha ni kiongozi mwenye maono kuliko viongozi wote waliopo Chadema. Kila kinachotokea sasa Zitto alikiona muda mrefu nyuma na akawa...
13 Reactions
35 Replies
2K Views
Kwa wiki zima mitandao ya jamii imemshupalia Dr Hamis Kigwangalla kwa ufisadi wa kutumia Tsh bilioni 2.58 bila idhini ya Bunge. Pengine Kigwangalla yuko kwenye "spotlight" kwa vile siku zote ni...
19 Reactions
173 Replies
35K Views
Kuna kitu nimekitafakari sana, kwanini sisi Afrika hatuna maendeleo? Nikaja kutambua kuwa, viongozi wetu wengi wa Afrika hawana ufahamu kuhusu uongozi wa ulimwengu, ndiyo maana tupo nyuma kwa kila...
12 Reactions
56 Replies
3K Views
Napendekeza wakuu wote wa mashirika ya umma wafanyiwe usaili kwa ushindani. Napendekeza nafasi zianze kutangazwa punde nafasi ikiwa wazi ili wenye sifa wajitokeze na wafanyiwe usaili na iwe hivyo...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Watanzania sio wajinga hata kidogo japokuwa wengi wao ni elimu ya kawaida tu maana hata mimi ni Std 7. Mungu ametubaliki uwezo wa kujua kusoma na kuandika pamoja na uwezo wa kudadavua mambo...
6 Reactions
61 Replies
6K Views
Hali ya upatikanaji wa maji safi Morogoro mjini na viunga vyake imeendelea kuzorota siku hadi siku kwa zaidi ya miaka miwili sasa licha ya sifa kama si misifa tele kwa wanaoongoza sekta hii nyeti.
3 Reactions
12 Replies
913 Views
Kuchukua pesa za watu bank si kitu cha kawaida. Hii nchi RAIA wake huwa tunatabia ya kuzoea mambo hata yasiyozoeleka. Huwa tunasema tunamwachia Mungu. Na, hata hili litapita. Lakini ni bora hata...
23 Reactions
56 Replies
4K Views
Kamisaa wa sensa mama Makinda amesema Kaya zote zitapitiwa na makarani wa sensa cha muhimu ni uvumilivu tu Makinda amewasihi sana wananchi kuacha taarifa nyumbani kama watakuwa hawapo Chanzo...
0 Reactions
2 Replies
677 Views
Waziri wa TEHAMA Mh. Nape amewasihi wazazi wa KKKT Kijitonyama, kuwalea watoto wao wenyewe na wasiwaache walelewe na mitandao na teknolojia kwani hali ya kimaadili kwa sasa ni mbaya. Nape ambaye...
2 Reactions
9 Replies
674 Views
Nakubaliana na Roma 100%, viongozi ambao ni bendera fuata upepeo hawatufai na ndio wanafanya sekta ya siasa ionekane ni kanjanja. Viongozi wa kisiasa wanapaswa wasimamie ukweli siku zote bila...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Mtu aliyelogwa, sio tu mpaka awe muokota makopo, maana Kwa siku za Leo, wengi tu ambao wanaokota makopo na kwenda kutengeneza pesa! Ukisikia mtu kalogwa, si lazima aehuke ndio iwe kielelezo...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Anayejiita Dk ilihali u daktari wake ni wa mashaka bwana Rafael Chegeni mapema mwezi uliopita aliteuliwa awe RC Mara ajabu kabla ya masaa ya uapisho wake uteuzi wake ulitenguliwa pasina kusemwa...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Wananchi Poleni Sana nimepata malalamiko yenu Kuwa taasisi za umma kama msikiti,makanisa,shule ya msingi Loya Bondeni,shule ya sekondari Loya na cha ajabu kabisa hata kituo cha polisi cha Loya...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…