Jerlamarel
JF-Expert Member
- Sep 14, 2021
- 843
- 2,517
Nakubaliana na Roma 100%, viongozi ambao ni bendera fuata upepeo hawatufai na ndio wanafanya sekta ya siasa ionekane ni kanjanja.
Viongozi wa kisiasa wanapaswa wasimamie ukweli siku zote bila kujali consequences ya nyadhifa zao, sio kufuata upepo wa mtu fulani ilimradi wamridhishe yale anayoyataka hata kama sio sahihi.
"2015-2021 Wengi Wetu(Kama Taifa)Tulipitia Kipindi Kigumu Mno, Na Wengine Wameshatangulia Mbele Ya Haki/Wana Vilema Vya Maisha
Kiongozi Ambaye Hakuonekana Kukemea Au Kuchukizwa Na Madhila Haya,Leo Hii Hata Akiongea Kitu Gani Au Kuonyesha Upendo Gani, Nakuwa Mzito Sana Kumuamini!
Tena Angalau Hata Kidogo Wale Walioamua Kukaa Kimya (Labda Waliumia Moyoni, lIngawa Pia Sio Sawa Kukaa Kimya)Kuliko Wale Ambao Waliona Ni Sahihi Tu Au Walipoambiwa Kuna Shida,Wakasema Hapana Hakuna Shida Tuko Vema Na Kuna Amani Na Utulivu!! Moyo Wangu Umekuwa Mzito Kuwaamini Tena."