Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jamani eeh, hivi hawa viongozi siku hizi wanatuonaje wananchi? Wanadhani kwamba tuko mambumbumbu kiasi hiko? Iko hivi, siku zote muswada wa sheria hutungiwa nje ya bunge, kisha Bunge hutunga...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Ikumbukwe mzee mrema amewahi kushika nyadhifa mbalimbali serikalini zikiwemo waziri wa mambo ya ndani na naibu waziri mkuu. Sielewi mamlaka ya kwa kufanya teuzi zenye vyeo ambavyo havipo...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hello great thinkers... Mimi naona hii njia ya kuhesabu kura zote Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu ina mapungufu. Kanda ya Ziwa ni kama inadetermine nani atakuwa Rais. Na wenyewe kwa kutambua hili...
12 Reactions
326 Replies
15K Views
Wakazi wa kata ya Mvuleni, manispaa ya Lindi wameeleza watakavyonufaika na uwepo wa kituo cha afya cha kisasa kilichojengwa kutokana fedha za tozo za miamala ya simu kikiwa na thamani ya Sh250...
1 Reactions
0 Replies
530 Views
Najua Kikeke umo humu JF! Nimefuatilia mahojiano yako na Waziri Makamba, Waziri Nape na Mwenyekiti wa ACT wazalendo mzee Duni kwa nyakati tofauti. Nikiwa mdau wa BBC Dira ya Dunia nitafarijika...
3 Reactions
7 Replies
650 Views
Aidan Eyakuze, Mkurugenzi Mtendaji wa TWAWEZA wakati wa uzinduzi wa utafiti mpya wa Sauti za Wananchi, Agosti 25, 2022. Matatizo makubwa matatu yaliyotajwa kuwasumbua zaidi wananchi kwenye kaya...
0 Reactions
0 Replies
699 Views
Ndugu zangu naomba niwataarifu kuwa Sensa ya Watu na Makazi 2022 itahusisha madodoso manne: 1: Dodoso la Jamii 2: Dodoso la Sensa ya Watu na Makazi 3: Dodoso la Makundi Maalum 4: Dodoso la Majengo...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Kama italazimu kupata Waziri mwingine wa Fedha badala ya Mwigulu Nchemba basi mmja wapo Kati ya David Kafulila almaarufu tumbili au Zito Kabwe wa ACT Wazalendo can make a good choice,huu ni...
4 Reactions
71 Replies
5K Views
Waziri wa Tehama mh Nape amesema Serikali ya awamu ya 6 ni sikivu ndio sababu kilio cha Tozo kimesikilizwa na kushughulikiwa Nape alikuwa anajibu swali la Salim Kikeke wa BBC aliyetaka kujua...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Waziri Mkuu Achangisha Bilioni 1.2 Serengeti Girls, Tembo Warriors, Asifu Ubunifu wa Wizara ya Michezo Na John Mapepele. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa...
1 Reactions
2 Replies
626 Views
Agosti 23, 2022 tunatarajia kuwa na zoezi la sensa ya watu na makazi. Zoezi muhimu katika mipango ya sera na maendeleo ya Taifa. Hata hivyo mwaka huu tumeona matangazo yamekuwa mengi sana hadi...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Nachelea kumpongeza huyu kwa sababu alikana Uraia wa Nchi yetu Kwa kupata tuzo ya MBE (The Most Order of British Excellency) ya Malkia Elizabeth. Hawa watoto wa vigogo wako wengi Sana...
5 Reactions
81 Replies
8K Views
Rejea headline ya Raia Mwema ya tarehe 24 August, 2022. Deus Kakoko alikuwa "Untouchable" kipindi cha Magufuli kutokana na kuwa msiri wake tangu akiwa Regional Manager wa TANROADS enzi za awamu ya...
6 Reactions
74 Replies
8K Views
Mh Godbless Lema ambaye anatajwa pia kama miongoni mwa Manabii wa Mungu walioletwa Tanzania kwa makusudi Maalum , Amenukuliwa huko Twitter akipinga POLISI KUFANYA KAZI KWA MATAKWA YA SIMBACHAWENE...
30 Reactions
99 Replies
9K Views
Wasalaam, Akiendelea na ziara yake jijini Mbeya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ameendelea kusisitiza uwajibikaji kwa viongozi wote wa Serikali kuanzia yule wa...
13 Reactions
71 Replies
7K Views
Kila kona ni kilio cha Tozo kiasi kwamba Watu hawaelewi kinacholiliwa ni nini hasa Binafsi najiuliza Chadema hujinasibu kuwa wao ni watetezi wa wananchi, je huwa wanatutetea kwenye mambo gani...
6 Reactions
73 Replies
3K Views
Yule kijana aliyelianzisha juzi kati na kuwatukana Polisi kila aina ya matusi ni mfanya biashara. Niliwahi kusema watawala nchi hii wanaandaa watoto wao kuja kututawala na kikubwa kabisa...
8 Reactions
39 Replies
4K Views
Salaam Wakuu, Bajeti ya Serikali imepangwa kusomwa leo saa 1600 na Waziri Mwigulu, Waziri mwenye dhamana ya Fedha. Nini Matarajio yako au Unategemea nini kwenye bajeti itakayo somwa leo? 1...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Ujinga, uzoba, uzumbukuku na upumbavu vinaongezeka kwa kasi sana nchi hii. Matatizo haya manne yameathiri watu wengi sana bila kujali elimu zao, nafasi zao au vipato vyao. Kwa ongezeko hili na...
28 Reactions
68 Replies
4K Views
Waswahili wanasemaga kuwa ubaya hauna kwao. Huu hapa ni ushahidi kutoka kwa mzee wetu Mrama kabla ya kukutwa na umauti. Naomba tuyasikilize juu ya ubaya wa ccm pamoja na mapungufu yake yote lkn...
18 Reactions
93 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…