Mnaosubiri mtasuibiri sana hatumbuliki NG'O na wala hatahamishwa mkoa.
Watajamishwa wote, watabadilishwa wote, watatumbuliwa wote lakini si huyu kijana.
Kuna wakati alianza kujisahau akafanya...
Leo Nimeamini kwamba Viongozi Wengi wa CCM ni Wajinga na Mbaya Zaidi Wameamua Kupambana na Lowasa Mwerevu.
How Comes Viongozi wa CCM (Wakiongozwa na Nape) Wanamwogopa Hivi Lowasa? Kama Lowasa...
Tanzania kwa sasa ni moja ya nchi inayofuata utawala bora, utawala wa Sheria, kuheshimu utu wa kila Mtanzania na Uhuru wa kila Mtu kutoa maoni yake bila kuvunja Sheria za nchi.
Dr Jakaya Mrisho...
Chama kinachotetea masilahi ya wanyonge wote bila kujali itikadi zao za kisiasa na kidini cha Mapinduzi kimewataka wakuu wote wa Mikoa, Wilaya na wakurugenzi wa Halmashauri kote nchini...
Takukuru Leo wameamua kumgeuka Edward Lowasa na vibaraka wake katika marudiano ya uchaguzi wa Arumeru. Katika sakata Hilo katibu wa UVCCM wilaya ya Monduli ndugu Ezekiel Mollel ametupwa rumande...
Nawasalimu kwa jina la JMT, natumai Kazi zinaendelea.
Mkoa wa Mbeya umevunja rekodi ya Makusanyo yake ya mapato ya ndani Kwa Halmashauri zake 7 Kwa kukusanya bil.45 sawa na zaidi ya asilimia...
Hii ni hatari sana. Ina maana kutoa maoni ni kosa? Ibara ya 18 ya katiba JMT inasema vipi?
TAMKO LA TRC
Mkuu wa Kitengo cha Habari na Uhusiano TRC, Jamila Mbarouk alipoulizwa kuhusu suala...
Uhusiano wa Iran na Tanzania ya kisasa ni wa miaka arobaini hivi, tangu kufanikiwa kwa mapinduzi ya Kiislamu ya Iran mwaka 1979.
Lakini Waajemi walikuwa wanakuja pwani zetu tangu miaka elfu...
Hakika ukusanyaji wa mapato utaongezeka kwa maendeleo ya nchi yetu. Hongereni TRA kwa kuliona hili, hongera mama yetu Samia Suluhu Hassan.
TRA iangalie maeneo mengine na kupanua zaidi wigo wa...
Ninaweza nisieleweke, ila kimsingi tangu Mh. Polepole ateuliwe na aripoti ubalozini nchini Malawi Kuna jinsi anacheka kwa kweli, mpaka ukimwona kwenye picha unashindwa kuelewa mbona anacheka...
Wafuasi wa Magufuli wanaituhumu serikali ya sasa kuwa ina wahuni, wakiongozwa na yule mtu wao aliyepelekwa Malawi na hashtag yake ya #KataaWahuni
Sasa nataka tuende kwa fact na records, mimi...
Nadhani kwa makato yaliyopo sasa yaliyoanzishwa na Waziri wa fedha " Wa kisasa " Mwigulu ya kutoa hela benki , bila shaka watabaki walewale wa siku zote na wanaoonewa mara zote , Wafanyakazi wa...
Serikali ya JMT imelipa fidia ya tsh 2.1 bilioni kwa Wananchi wa Zanzibar kupisha eneo la ujenzi wa Ikulu ndogo ya JMT
Pia Katika eneo hilo kutajengwa Ofisi za Makamu wa Rais na.Waziri mkuu...
Tuna amani, sawa..! Ila cha moto tunakipata
Kwamba 10,000 inaishia kwenye lita moja tuu ya mafuta ya kupikia na tena ni ya kupima yenye viwango vya chini kabisa cha uzalishaji
Kwamba ukiwa na...
Kuna mdau amelalamika sana kwamba ameenda hospitali ya Umma akakuta huduma ni mbovu na wagonjwa ni wengi sana ila watumishi wanapiga tu story mpaka wagonjwa wengine wanazidiwa mapokezi.
Amedai...
Hii ndio Kanuni ya Kawaida Kabisa ya Mungu , siku hizi Mungu amefupisha sana muda wa Malipo , huwa analipa haraka mno ! nafahamu kuna wale wanaosema Mungu hawahi wala hachelewi , LAKINI KWA KWELI...
Sina nia ya kuwakosea adabu lakini hivi kiongozi mtanzania kabisa ulikulia Tanzania unakubali with holding tax alipe mlala hoi wa Chumba cha elfu 20 buza kweli inaingia akilini kwa mazingira ya...
Kwa namna duru zinavyotabanaisha ni wazi bwana Mpina hana chake tena 2025.
Wakubwa hawampendi tena na zaidi wanamuona ni kirusi hatari kinachoweza kusanua yawayo/yajayo.
Ushauri wangu kwa bwana...
Utafiti uliofanywa na taasisi isiyo ya kiserikali TWAWEZA umeonyesha kwamba asilimia 53 ya wananchi waliohusishwa kwenye tafiti hiyo wameridhishwa na maboresha ya huduma za afya zilizofanywa na...