CCM dhaifu Vs Lowassa mwerevu: Anguko lililo wazi CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM dhaifu Vs Lowassa mwerevu: Anguko lililo wazi CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Albedo, Mar 1, 2012.

 1. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Leo Nimeamini kwamba Viongozi Wengi wa CCM ni Wajinga na Mbaya Zaidi Wameamua Kupambana na Lowasa Mwerevu.

  How Comes Viongozi wa CCM (Wakiongozwa na Nape) Wanamwogopa Hivi Lowasa? Kama Lowasa ni Mchafu hivi iweje Viongozi wa CCM ( Sitta, Chiligati na Nape) Wanatumia Njia za Majungu, Fitna, Njia zisizokuwa za Moja kwa Moja Kupambana na Lowasa?

  1. Juzi tumeshuhudia CCM wakifanyia Mabadiliko katiba yao wakiweka Vihunzi Vingi lakini kwa Mjanja ukiangalia Lengo ni kupunguza Nguvu za Lowasa kuelekea 2015, Hivi Lowasa asipogombea Urais 2015 kwa sababu yeyote ile ( Aaamue, Afe au hata Augue) CCM watarudi kurekebisha Katiba yao tena? Kama Wanaamini kwamba Lowasa ni Mchafu kiasi hicho kwa nini Wasimkamate au kumfukuza Uanachama Badala yake wanatumia Njia za Kumvizia/ Uoga huu una Nini? AU WAMEGUNDUA ALIYE MCHAFU SI LOWASA?

  2. Tumeona Kura za maoni Arumeru Mashariki Jinsi Sioi Sumari alivyotakiwa Kutoswa Kisa eti ana Unasaba na Loawas. Hivi Chama Chenye Jeshi, Polisi, Mahakama, Takukuru Kimefikia hatua ya Kuogopa Kivuli cha Lowasa kwa Namna hii Kweli? Walianza akina Nape na Kina Chatanda kupiga Majungu ya Utata wa Uraia wa Sioi lengo lao likiwa Kumtosa Mkwe wa Laigwanan wa Kimasai. CC nayo ikaingia Mkenge ila ikatumia Busara kidogo ya Kurudia Uchaguzi huku wakiamini kwamba Sioi angeshindwa. Mpaka nimefikia sasa na mimi naanza kuamini kwamba Tatizo la Lowasa si Ufisadi bali Urais 2015 na kuna Watu wameshagundua "Werevu wa Mtu huyu"

  Nape, Chiligati, Mwigulu Onesheni Uanaume wenu Acheni kutumia Indirect Method kupambana na Lowasa kama hamna uhakika na Tuhuma zake Mwacheni.

  Kuna Mpuuzi Mmoja leo ameleta Mada juu ya Lowasa Kuumbuliwa na Takukuru Arumeru, Mada ilichangiwa na watu wengi sana wakiamini Utunzi wa Mpuuzi yule.

  Wajanja walishagundua kwamba Akina Nape walishagundua Nguvu ya Lowasa wakaanza kuleta Propaganda zao ili baadae Sioi akishinda ionekane ni Nguvu za Pesa.

  Hivi Kweli Lowasa atume SMS kuagiza Mtu akatoe rushwa? Lowasa ambaye CCM ya akina Sita inatafuta Namna ya kumtoa CCM lakini inashindwa?

  Haya sasa Sioi ameshinda ni Jukumu sasa la akina Nape kwenda Kushirikiana na Lowasa kuhakikisha kwamba Mkwe wa Lowasa anashinda Arusha

  Kitu pekee ninachokiona hapa na Mods naomba muweke Maneno yangu haya kama Kumbukumbu " Mwaka 2015 Lowasa ahatagombea Urais Ila CCM itamtegemea sana Lowasa kama ilivyomtegemea Mwalimu Nyerere kushinda 1995" Sina Lengo la kumfananisha Lowasa na Mwalimu ( Lowasa ni Mchafu kama walivyo wachafu wote wa CCM) La hasha ila kwa sasa Ndani ya CCM Loawas ndiye Mwana Siasa mwenye Mvuto ndani ya CCM na Amini usiamini Nyota yake Imeng'azwa Kwa Fitna za Akina Nape, Sita, Mwakyembe na Wengine na Amin Amin Nawaambia Katika wote hao hakuna Anayeweza Kuthibisha Uchafu wa Edward Pasipo kumhusisha Nwenyekiti wa Chama ndiyo sasa wameamua kutumia Njia za Uoga Kupambana na Lowasa
   
 2. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  toka uzaliwe leo ndio umeongea point japo umekosea kidogo hapo kuwa hata kuwa rais nani kasema? asipokuwa rais sisi hatumuelewi jakaya kabisaa
   
 3. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Amin Amin Nakwambia Jamaa limekaa pemebeni linaangalia akina Nape wanavyoua Chama Baadaye Liitwe liokoe Jahazi.
   
 4. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,520
  Likes Received: 10,438
  Trophy Points: 280
  Nahisi lowasa anapingana nao ili tu kuonyesha kuwa anaweza.na kuwaonyesha kuwa ndani ya ccm hakuna wa kumzuia kutimiza malengo yake.
   
 5. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2012
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Unaposema 'sisi' una maana gani? Ninyi akina nani?
  Mod niliwahi kusema ondoa message zote za aina hii. Hazina jipya la kujenga akili maana zimejaa kampeni za Lowasa. Sijui Lowasa ana mapungufu yapi mpaka atetewe kiasi hiki na kajikundi ka watu wapya ndani ya jf?

  Enzi hizi za maisha magumu watu tunakodishwa kwa kazi za ajbu sana. Hebu niombeni mimi niwasaidie hiyo kazi kwa siku moja, bure! Hii timu haijui wala kufahamu mzigo wanaoubeba.

  Wakuu katiba mpya inakuja na umri wa Lowasa wenu tunauacha nje ya cutoff line.
   
 6. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #6
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  CCM wenyewe wameamia kumpa Lowasa Ujiko na Nguvu asizostahili
   
 7. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #7
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  hata hivyo wanaweza kumtosa vilevile, kwani hicho kikao cha mwisho ndicho kinamaamuzi. Kwa CCM kura nyingi siyo tija bali huyo anauzika? watatafuta zengwe lingine wewe subiria tu. Je wajua sioi bado hajaukana uraia wa kenya mpaka sasa? kigezo cha uraia kitamwondoa sioi hata kama ameshinda kwa kura nyingi tusubiri tu.
   
 8. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #8
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Kwa maana yako hawa ndio wanawakilisha upande wa wajinga.
   
 9. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #9
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Lowasa amekaa anawasanifu tu sasa hawana Namna Lazima wakamwangukie Laigwanan ili Wakanyage Arumeru. Nilikuwa simpendi sana Lowasa ila Njia zinazotumia na Akina Nape kupambana na Lowasa zinanifanya Nifikirie Mara ya Pili juu ya Dhamira ya wanaopambana naye
   
 10. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #10
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Narudia tena, alichokibariki Mungu mwanadamu hawezi kukilaani
   
 11. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #11
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  CCM walifanya makosa kuweka siri zao hadharani maana walisema kwenye fomu yake Sioi hakujaza kitu sehemu ya uraia.
   
 12. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #12
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,265
  Trophy Points: 280
  Sofia Simba aliwahi kusema Lowasa ni Mwanammume wa shoka, lakini wengi wetu tulishindwa kumuelewa na tukamdhihaki, lakini sasa nakubaliana na Sofia Simba, kweli Lowasa ni mwanaume wa shoka, kuisambaratisha kamati kuu ya CCM sio mchezo kabisa. huyu jamaa ni kiboko.
   
 13. Said Bagaile

  Said Bagaile JF-Expert Member

  #13
  Mar 1, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 686
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dhambi ya Uovu ndiyo inayomwangamiza Mwakyembe. Alijua wazi chezo lote la Richmond mchezeshaji alikuwa JK, lakini kwa visa vyake na Mamvi, akaamua kumtwika zigo lote la mafi. Ndio maana hakutaka kumhoji Mamvi, ili alete ripoti itakayokidhi malengo yake. Hata wakati mwingine alishawahi kusema kwamba ilibidi wafiche ukweli mwingine kwa heshima ya serikali isianguke! Walimficha nani ambaye ni mkubwa zaidi ya Waziri Mkuu kama si Baba Mwanahasha! Ndio maana alipoambiwa avunje mkataba na Richmond akaingiwa na kigugumizi. Tusingemtegemea Lowasa ajitetee pale bungeni kwa kueleza ukweli ambao ungemwingiza JK kwenye uchafu. Mwakyembe hakumtendea haki Lowasa hata kidogo! Sasa wanaumbuka yeye na ndugu zake akina 6.
  Mungu hamfichi Mnafiki. Mwisho wa siku kila kitu kitakuja kujulikana. EL endelea kuburuta majingamajinga!
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Mar 1, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Albedo.... Kamanda umeongea ukweli sana, na kizuri ni kwamba hujaweka ushabiki hivyo habari yako haina karaha kuisoma. kweli wewe u mtoto wa loning'o na chui ulilikamata kweli!!!

  Hawaaminiani, lakini wanalala kitanda kimoja..... hakuna usingizi hapo!!! Hiyo ndio CCM ya Leo
   
 15. Josephine03

  Josephine03 JF-Expert Member

  #15
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 752
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Lakini mbona wamembeba sana tu kwani huyo Sioi kwa mantiki na sheria za nchi hii sio raia kabisa
   
 16. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #16
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,265
  Trophy Points: 280
  Taifa lilishwa uongo juu ya Lowasa (simaanishi kwamba Lowasa ni msafi) kumbe tuhuma yoyote utakayotaka kumtuhumu Lowasa basi ujuwe JK anahusika, na ndio maana Lowasa anasema yeye na JK hawakukutana barabarani. Hii ni kauli nzito sema Watanzania ni wavivu wa kudadisi.
   
 17. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #17
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Kwendeni zenu na huo ujinga wenu,kwani msipomuelewa jk sisi inatuhusu nini.? Jiandaeni kuhamia monduli ili akawe mtawala wenu kupitia jimbo hilo.
   
 18. e

  enk Member

  #18
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HUYU ALIYEINGIZA UPUUZI HUU HAJAJUA YEYE NA HAO WENZAKE WANAVYOCHEFUA. Kama wanazo akili wasome alama za nyakati. Naamini yeye mwenyewe alisjhajua kuwa hiyo ngoma imepita lkushoto lakini nyinyi watafuta sifa mnaendelea na kutafuta mambo nani atawajua yeye sasa nia makanisa na biashara zake SHAURI YENU
   
 19. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #19
  Mar 1, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,552
  Likes Received: 18,227
  Trophy Points: 280
  Albedo, asante!.

  Asubuhi nilisema hivi...
  Note, Arumeri is done!, tujipange kwa 2015, tuhakikishe CCM, inamsimamisha EL, sio tuu ili rais atoke Kaskazini, bali pia tupange ukombozi wa pili wa ukweli!.
   
 20. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #20
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  Kwa mujibu wa katiba ya jamuhuri ya tanzania

  67.-(1) Bila ya kuathiri masharti yaliyomo katika ibara hii, mtuyeyote atakuwa na sifa za kustahili kuchaguliwa au kuteuliwakuwa Mbunge endapo-

  (a) ni raia wa Jamhuri ya Muungano aliyetimiza umri wamiaka ishirini na moja, na ambaye anajua kusoma nakuandika katika Kiswahili au Kiingereza;

  (b) ni mwanachama na ni mgombea aliyependekezwa nachama cha siasa;

  (c) katika kipindi cha miaka mitano kabla ya tarehe yaUchaguzi hakuwahi kutiwa hatiani katika mahakamayoyote kwa kosa lolote la kukwepa kulipa kodi yoyoteya Serikali.

  (2) Mtu hatakuwa na sifa za kustahili kuchaguliwa au kuteuliwakuwa Mbunge-

  (a) ikiwa mtu huyo anao au kwa hiari yake amejipatia uraia wa nchi nyingine yote; au

  (b) ikiwa kwa mujibu wa sheria inayotumika katikaJamhuri ya Muungano imethibitishwa rasmi kwambamtu huyo ana ugonjwa wa akili; au

  (c) ikiwa mtu huyo amehukumiwa na Mahakama yoyotekatika Jamhuri ya Muungano na kupewa adhabu yakifo au ya kufungwa gerezani kwa muda unaozidimiezi sita kwa kukutwa na hatia ya kosa lolote,vyovyote linavyoitwa, linaloambatana na utovu wauaminifu; au

  (d) ikiwa katika kipindi cha miaka mitano kabla ya tareheya Uchaguzi Mkuu amepata kuhukumiwa na kupewaadhabu ya kifungo kwa kosa linaloambatana na utovuwa uaminifu au kwa kuvunja sheria ya Maadili yaViongozi wa Umma;

  (e) bila ya kuingilia haki na uhuru wa mtu kuwa na maoniyake, kuamini dini atakayo, kushirikiana na wenginena kushiriki shughuli za umma kwa mujibu wa sheriaza nchi, ikiwa mtu huyo si mwanachama na mgombea
  aliyependekezwa na chama cha siasa;
   
Loading...