Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri Makamba, huku mkoani (mkoa kapuni kwa Sasa) wememaliza gesi ulio waletea. Sasa wanataka wajue wanaenda kujaza wapi? Wengenine hawana hela ya kujaza geti. Mnawasaidiaje?
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Waziri wa nishati january makamba aligawa mitungi ya gesi kwa kigezo eti wananchi inatakiwa waondokane na mkaa kwa ajiri ya utunzaji mazingira na mitungi hiyo ililenga kwa watu wa vijijini lakini...
0 Reactions
4 Replies
505 Views
Marais Wastaafu Dkt. Jakaya Kikwete wa Tanzania na Joaquim Chissano wa Msumbiji kwa pamoja wameungana na Timu mbalimbali za Kikanda na za Kimataifa za Waangalizi wa Uchaguzi wa Angola kutoa tamko...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Ndugu zangu wanajamvi imeninibidi niwajulishe haya ninayoyaona huku kijijini kwangu mwagiligili wilaya ya kwimba, wananchi wanatabasamu lakini wakitokwa machozi mioyoni. Kilio kinasikika TOZO...
0 Reactions
1 Replies
336 Views
Wananchi wanaunga mkono Vipaumbele vya Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu, Vipaumbele hivyo ni; Vituo vya Afya Kilimo Maji Usafiri na Usafirishaji Elimu Ajira Usalama wa...
0 Reactions
0 Replies
707 Views
God is us again 😄 ili ionekane Kadogosa ako sahihi kwa habari za chini huyu bwana anapangiwa zengwe apewe mashtaka tofauti ikiwezekana hata ya Uhujumu Uchumi ama matumizi mabaya ya nafasi. Mama...
8 Reactions
25 Replies
3K Views
HATUTAKI AKOPE! WALA HATUTAKI TOZO! Anaandika, Robert Heriel Nikiwashauri tuvamie mataifa mengine mnaniona Popoma! Mnaona siwezi kufikiri vizuri! Sawa bhana! Ipo siku mtanielewa hata Kwa...
2 Reactions
15 Replies
886 Views
Kabla sijaanza kueleza ni kwa namna gani Watanzania watanufaika na mkopo wa shilingi trilioni 2.4 kutoka Shirika la Fedha Duniani, kwanza ifahamike kwamba hakuna nchi duniani ambayo haikopi, nchi...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Mbunge wa Geita Vijijini Mh. Dr Joseph Kasheku Msukuma amesema leo ataongea na waandishi wa habari kutolea ufafanuzi sheria ya tozo na makato ya benki Dr. Msukuma amesema, kumekuwa na malalamiko...
6 Reactions
71 Replies
5K Views
Rais wa mchezo wa Bao Mzee Mande Likwepa ameshangaa zoezi la Sensa kuchukua Siku saba ilihali teknolojia inayotumika ni ya Juu kabisa Likwepa amesema zoezi hili lina kila dalili ya uwepo wa...
4 Reactions
52 Replies
3K Views
Kuna malalamiko yanayoripitiwa kutoka sehemu mbalumbali hapa nchini kuhusu usalama wa makarani wa sensa ama vishikwambi wanavyotumia katika kufanikisha zoezi hili. Kuna taarifa zipo kutoka sehemu...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema hawataki kuwadhibiti wanahabari bali kuwawekea mazingira bora ya kufanya kazi. Kauli hiyo ameitoa wakati akifanya...
2 Reactions
5 Replies
704 Views
Kuna thwawabu kubwa kwa wote wasimamao kuipigania haki kwa ajili ya wote. Kwa maana njia hiyo si kila mtu anaweza kuipita. Njia hii si lazima kwa kila mtu kuipita. Waipitao njia hii ni wale tu...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Wabunge wa viti maalum akiwemo Halima Mdee na wenzake leo Ijumaa wamefika katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kuhudhuria kesi waliyoifungua mahakamani hapo ya kupinga kuvuliwa...
10 Reactions
48 Replies
6K Views
Moja ya kitu nilifanya enzi za usajili wa Laini za simu sikubali kusajili laini nikiwa wa kwanza nilikataa maana kipindi hicho kulikuwa na jamaa mmoja napiga nae ishu hatari sana.nikaona...
0 Reactions
5 Replies
898 Views
Ila huyu jamaa ni kichwa sana, mama akimrudisha kwenye uwaziri halafu akaunganika na makamba, Nape, mwigulu itakuwa combination ya hatari sana, Tanzania tuna bahati sana kwa kweli kuna nchi...
7 Reactions
38 Replies
3K Views
Mimi kama Mtanzania Naomba kutoa ushauri mdogo Kwa Rais wangu na serikali Kwa ujumla Kwanza mheshimiwa Rais anafanya kazi mzuri, anaonekana ana ndoto mzuri Kwa tanzania na vision mzuri ya kuleta...
0 Reactions
0 Replies
442 Views
Serikali imeonya kuwa takwimu zilizotolewa na TWAWEZA kuhusu utafiti wa hali ya uchumi wa taifa na tozo za miamala ya kielektroniki zinasalia kuwa zisizo rasmi. “Matokeo hayo ni yao (Twaweza) na...
1 Reactions
2 Replies
999 Views
TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI KUHUSU KODI YA PANGO Dar Es Salaam, 25 Agosti, 2022: Mamlaka ya mapato ya Tanzania (TRA) inapenda kutoa ufafanuzi kuwa Kodi ya pango hulipwa kama Kodi ya zuio...
8 Reactions
41 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…