Wadau nawasalimu!
Je, ile kesi ya kugombea kiwanja kati ya Paul Makonda na Bw. Ghalib wa GSM iliyogonga vichwa vya watu wengi iliishia api na nani aliibuka mmiliki halali?
Mbunge wa Geita Vijijini mh Kasheku amesema Tozo walizipitisha wao bungeni na zitaendelea kuwepo kwa sababu zina manufaa makubwa
Msukuma amesema Tozo zimeasisiwa na hayati Maguful kupitia bunge...
MDAU WA DIASPORA AJIBU MASWALI KUHUSU DARAJA LITALOJENGWA KUTOKA DAR HADI ZANZIBAR.
Leo 19:15pm,28/12/2019
Kutokana na Mgongangano wa mawazo ili Watanzania tufikie lengo kuu lenye kuleta...
Katika kujenga Tanzania ya Viwanda tunatoa ombi sisi wana diaspora tuhusishwe kikamilifu kutoa ushauri na nguvu kazi maana tuna exposure ya kutosha kuliko wala vumbi walio wengi wanaowaza kuiba na...
Wadau wa masuala ya uchumi wamesema tozo za miamala ya benki na simu zitawarudisha wananchi kwenye mifumo ya zamani ya kutembea na fedha taslimu.
Hayo yanajiri wakati asilimia 75 ya wananchi...
Nina hakika Waziri wa Fedha Dr. Mwigullu atatuvusha katika kipindi hiki kigumu cha mdororo wa uchumi wa dunia na kupanda kwa gharama za maisha.
Uzuri ni kwamba Dkt. Mwigullu ana hazina ya...
Kwa mtazamo wangu nadhani maamuzi mengine yanahitaji fikra yakinifu na si msukumo wa wadau.
Ikiwa wametangaza siku ya sensa kuwa siku ya mapumziko, na kwa nijuavyo si rahisi karani kuzifikia kaya...
Habari,
Nasikia marehemu Mrema amewahi kuwa Makamu Waziri Mkuu.
Cheo ambacho leo hakipo. Waziri mkuu akistaafu hupata 80% ya mshahara. Vipi kuhusu Mrema alikuwa anapokea hiyo?
Na vipi wajane wa...
Uchaguzi ukiisha mnahamia mahakamani ,badala ya kuendelea na majukumu mengine nchi inabaki inahangaika na makesi ya kipumbavu mahakamani..ushahidi unapelekwa na malori ..Kwa hapa kwetu hakuna...
1. Mwanamke anayeongoza nchi ambapo tozo zimeongezeka maradufu, ugumu wa maisha umekwea juu na mfumko wa bei ukisherehekea kilele chake cha mafanikio halafu katika dhiki hizi yeye akisimama...
Twende kwenye mada bila kuchoshana..
Rais wa Zambia HH amependekeza kwa raia wake kwamba kabla hujagombea nafasi yoyote ya umma tafuta pesa kwanza..
Kwa mujibu wa HH ni kwamba watoto wa maskini...
https://www.jamiiforums.com/threads/ikiwa-tarehe-23-august-ni-mapumziko-je-karani-atazifikia-kaya-zote-kwa-siku-hiyo.2011912/post-43490113
Nianze kwa kusema tu kwamba kuna baadhi ya maamuzi ya...
Wakati vumbi la uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2019 likiwa bado halijatulia, baadhi ya wenyeviti wa mitaa na vijiji nchi nzima wanashindwa kuitisha mikutano ya kila robo mwaka kutokana na...
Serikali imewapa wananchi ajenda ya simba na Yanga.
kila kona ukipita watu wanajadili simba na Yanga.
Hawana habari na gharama za maisha kupanda.
Hawana habari na ufisadi unaofanywa
Hawana...
Humu ndani tunaye Ndugu Waziri Mwigulu Nchemba, tutumie fursa ya uwepo wake kumkumbusha tozo zingine ambazo amezisahau. Ni kama akiziota usiku tu kesho anakuja nazo.
Mimi naanza na tozo ya ugali...
Unayetaka jimbo 2025, acha kulala lala jiandae kuanzia sasa. Shiriki shughuli za kijamii hasa mambo kama ya misiba.
Ukiweza weka harambee kwa ajili ya mfuko wa maendeleo. Tembelea...
Kiongozi wa kisiasa unapolazimisha upendwe ni sehemu ya udikteta. Kama mtu hakupendi mpe na nauli kabisa aondoke zake. Ama sivyo unaiua thamani yako wewe binafsi, ya chama na yule aliyekuumba. Na...
Wengi wetu tuna hii dhana kuwa Tanzania ni nchi ya kupokea misaada tu. La hasha! Kulikuwa na wakati Tanzania ilikuwa ikitoa misaada, tena ya kifedha!
Mwaka 1975 ulikuja ujumbe wa Vietnam ukakutana...
RAIS SAMIA AENDELEA KUFANYA MAKUBWA WILAYA YA LUDEWA, AMWANGA MABILIONI.
Rais Samia Suluhu Hassan amepania kupeleka maendeleo makubwa Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe kama ambavyo amekuwa akifanya...