Serikali ya Zimbabwe imefunga WhatsApp

Kuna fashisti aliwahi kufungia mitandao ya kijamii Tz na kushusha mtandao speed Mpaka watu wakaingia kwenye VPN ,
Hii afrika hii na hivi vyama vinavyojiita vya Ukombozi itaendelea kubemendwa kimaendeleo.....
Cha msingi pambania maisha yako na familia yako hutowaza kuhusu haya maserikali watajijua wenyewe
 
Back
Top Bottom