Nauliza mzee Lowassa yupo wapi? Mbona hatumsikii kabisa.
Tumezoea kumuona mzee Lowassa akitoa maoni yake kuhusu mwenendo wa Serikali aidha kukosoa au kusifia lakini amekuwa kimya muda mrefu sijui...
Imeelezwa kuwa tozo zimeibua maendeleo mbalimbali huko majimboni na kwamba katika bunge lijalo wabunge watatakiwa kuelezea maendeleo hayo.
Hayo yamesemwa na mbunge wa Geita Vijijini Dr Joseph...
Ndugu zangu watanzania zoezi la Sensa limeanza Leo na litaendelea katika wiki yote hii, Najuwa Kuna ambao hatujabahatika kufikiwa na makarani wa Sensa katika siku ya leo, ndugu zangu naomba...
Zikiwa zimesalia siku chache kuhitimishwa kwa sensa ya watu na makazi ilioanza Agosti 23, 2022, wakazi wa baadhi ya mitaa iliyopo Kimara na Mbezi katika Wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam...
Nchi yetu inakwamishwa na mambo ya kipuuzi sana.
Hii iinatokea hapa morogoro mida hii. Imagine kwa lisaa tumeganda barabarani eti mwenge sijui unazindua kitu gani huko.
Watu wanachelewa...
Somalia
Baada ya kuondolewa kwa Gen. Mohamed Siad Barre mwaka 1991 aliyeitawala Somalia kwa miaka 22 nchi hiyo ilianguka na kuwa taifa mfu "failed state" linalokimbiwa na raia wake mpaka leo...
Hii Sasa ni sifa,
Haiwezekani mtu kafa afu unawaweka picha ya "Chagua Magufuli". Hapa unaweza ukamwelewa Pascal Mayalla kwamba Magufuli anaenjoy huko aliko.
Hii picha ni pale Oil Com Ubungo -...
Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi 2022, Anne Makinda amesema kuwa asilimia 17.13 ya kaya zote nchini zimehesabiwa ndani ya siku moja kwenye Sensa ya Watu na Makazi iliyoanza jana Jumanne Agosti...
Ni Ushauri tu kwa ndugu zangu wa Chadema pale Ufipa st
Viwango vya PK kiuwajibikaji vimetukuka halafu jamaa hana historia ya kutuhumiwa wizi wizi
Chadema mleteni Kibatala 2030
Dominica njema
Sijafurahishwa kabisa na huu ubunifu wa watu wa takwimu kutumia jina la Rais na viongozi wengine kuhamasisha sensa.
Mama Ana Makinda ni mtu mashuhuri, angeweza kutumia hata jina lake au maafisa...
Tunaweza kubadilika nakuokoa fedha na rasilimali wakati pale tutakapokubali kwamba upo umihimu wa kupunguza matumizi yasiyo ya lazima.
Mhe. Rais akiwa popote nchini anakuwa na wakuu wa vyombo vya...
Hata kama CCM hawataleta Latina mpya au wanahitaji utitiri wa vyeo ili waweze kutoa fadhila na zawadi, Ni muhimu kupitia muundo wa utawala ili kuboresha kazi, kuondoa urasimu. na kuongeza Tina na...
Kama watanzania tulijiandaa kuhesabiwa jana tarehe 23 Agosti, 2022, mambo yamekuwa si mambo. Nilikuwa nyumbani kwangu Sombetini, Arusha tangu asubuhi hadi usiku nikawasubiri makarani wa sensa bila...
Mkurugenzi Mkuu wa NBS Dr Chuwa amesema ni kosa la jinai Karani wa Sensa kujirekodi na kupiga picha akiwa anahesabu Watu
Chuwa amesema hadi sasa kuna kesi kadhaa za matukio hayo ya kujipiga...
Wakili wa Halima Mdee na wenzake amesema kisheria wateja wake 19 ndio wameishtaki Chadema na kwa sababu hiyo wao ndio Wana haki ya kuihoji Chadema Siyo kuhojiwa
Kesi umeahirishwa hadi Ijumaa...
Kuna baadhi ya matukio yamekuwa yakitendeka mikoani, ambayo taarifa zake hazitolewi kwa wakati au kutokutolewa kabisa.
Kuna tukio la kukatwa mapanga hadi kuuawa kwa mwalimu wa shule ya sekondari...
Mbunge wa Kigamboni, Faustine Ndugulile ameuliza bungeni kuhusu mikakati ya serikali kufanya mapitio ya ada za usajili wa mifumo ya malipo(fintech apps) pamoja na mikakati ya kuboresha mazingira...