Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baada ya joto la Tozo kuendelea kuwa kubwa kumeibuka uongo mpya sasa wa kuwatetea walamba asali a.k.a Honey Badgers kuwa nchi ilikuwa imefilisika kabisa. 1. J.P.M na ubaya wake na madhaifu yote...
16 Reactions
44 Replies
3K Views
Aliyekuwa Rais wa Iraq Saddam Hussein, alibambikiziwa kesi na mabeberu ya kuwa na silaha za maangamizi. Hivyo, mabeberu walifanya njama na ikampasa Saddam Hussein kuuawa na ikawa hivyo. Baadhi ya...
13 Reactions
24 Replies
3K Views
Tunakumbushana tu kwamba serikali ya awamu ya 5 ndio iliufikisha uchumi wa nchi kwenye Kiwango cha kidogo cha Kati Na pia Rais wa JMT awamu ya 6 ilimpendeza kumteua Waziri wa fedha wa awamu ya 5...
1 Reactions
17 Replies
901 Views
Heko wadau.. Rais wa Tanzania mh.Samia Suluhu Hassan anajenga Tanzania ya viwanda kwa vitendo na bila makelele .. Kwa mda mfupi Sana amevutia maelfu ya wawekezaji katika maeneo mbalimbali...
7 Reactions
31 Replies
3K Views
Wasalaam, Hebu pitia video hizo zote then njoo u-comment,Huyu kijana naona anastahili nafasi ya juu hapo baadae, Je, Wewe unaonaje? === Tazama, huu ni usiku ila vijana wanagoma kumruhusu kijana...
9 Reactions
71 Replies
5K Views
Zoezi la sensa linaelekea ukingoni huku baadhi ya wananchi wakidaiwa bado hawajafikiwa na makarani kuhesabiwa. Nionavyo mimi, mkuu wa wilaya mwenye kuyajua na kufahamu majukumu yake vyema...
0 Reactions
9 Replies
857 Views
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Najua humu kuna watu mbalimbali na wenye maono mbalimbali. Swali langu ni kwa nini serikali inaogopa kuleta katiba mpya. Naomba kuwasilisha.
4 Reactions
38 Replies
2K Views
WanaJamii, heshima kwenu. Kumekuwa na minong'ono mingi na miluzi kibao from opposition die hard fans kufuatia jemedari mkuu Rais John Magufuli kumuapisha Mh waziri Mwigulu Nchemba mjini Chato...
8 Reactions
59 Replies
5K Views
26 August 2022 Tunis, Tunisia MKUTANO WA TICAD Mh. Kassim Majaliwa yupo mjini Tunis akimwakilisha rais wa Jamhuri ya Muungano ktk mkutano wa TICAD WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa akipokewa na...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Waziri Simbachawene amewashauri maaskofu wawahimize Waumini wao wafanye Kazi kwani Biblia inasema.asiyefanya Kazi na asile na mtu asipokula maana yake afe Simbachawene amesema hayo katika sherehe...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Bwana mkubwa aliposema hawezi kuongeza mishahara kwasababu kuna mambo anafanya tafsri yake ni kuwa yako mambo mengine mengi yatasitishwa ili kugharamia hii miradi mikubwa ya SGR, ununuzi wa ndege...
31 Reactions
137 Replies
14K Views
Habari, Niende kwenye mada, kama kichwa cha habari hapo juu, Ninaweza kusema kwamba waliotunga sheria mbalimbali za utumishi wa umma watakuwa wajinga na walikuwa na njia njema kabisa. Miongoni...
30 Reactions
212 Replies
14K Views
Kweli zama huja na kuondoka. Serikali imeahidi kupeleka kituo cha afya Chato ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma safi za afya. My take: Uwanja wa ndege haukuwa na faida wakati huduma za...
1 Reactions
10 Replies
929 Views
Kama hoja ilivyo, naomba wajuvi wa jambo hili la sensa wanieleweshe. Nimeona taarifa zikiandikwa kutoka kwa mamlaka za sensa kuwa hadi sasa kaya zilizohesabiwa ni asimia 93. Ili kupata asilimia...
8 Reactions
30 Replies
2K Views
Waongozaji 90 wa Makarani wa Sensa ya Watu na Makazi 2022, Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma wamesusia zoezi la Sensa ya watu na makazi linaloendelea kote Nchini kwa madai ya kutolipwa fedha zao...
5 Reactions
35 Replies
4K Views
Job Ndugai aliyekuwa spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa hatogombea tena nafasi ya ubunge katika Jimbo la Kongwa Dodoma. Ndugai ameyasema hayo jana katika Kanisa la...
8 Reactions
27 Replies
3K Views
Naunga mkono hoja hii
0 Reactions
1 Replies
581 Views
Rais Samia amesema malalamiko kutoka kwa wananchi kwenda kwa mahakama yamepungua kwa kiasi kikubwa ambako kumetokana na sababu mbalimbali ikiwemo kuwa na majaji wanawake. Kwa sasa amesema...
5 Reactions
36 Replies
3K Views
Kamisaa wa Sensa Mh. Makinda amesema asilimia 93 ya Kaya zimehesabiwa na haya ni mafanikio makubwa Makinda amesema wale wote wasiohesabiwa wapige Call Center Dodoma na utaratibu utafanyika ili...
0 Reactions
0 Replies
464 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…