Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kijiji cha Ilembo kata ya Mpui wilayani Sumbawanga, nimekutana na kioja kama si kihoja! Ati ukijiandikisha inatakiwa wakapime mashamba yako, wakishayapima ndio upatiwe hiyo mbolea. Nauliza kijiji...
10 Reactions
49 Replies
4K Views
SHAKA "TUSIWATOZE FEDHA WAJAWAZITO" Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka amewataka watoa huduma kote nchini kuacha kuwatoza fedha wanawake wajawazito...
7 Reactions
61 Replies
5K Views
Kwakuwa tumedhamiria kukamua Kila Senti, kama ilivyo kwa Daraja la Kigamboni na lile la TanZanite, nashauri Mchungaji, Dr Mwigulu Nchemba aanzishe TOZO ya kupita Daraja kubwa, jipya, zuri la WAMI...
14 Reactions
85 Replies
4K Views
Nilikuwa nawaza tu kwa sauti (just thinking aloud): "Kuna kama kusua sua kwa zoezi hili la sensa ya watu na makazi kwenye baadhi ya maeneo. Kuna uwezekano baadhi ya kaya zisiweze kufikiwa ndani...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amesema watazitumia vizuri siku zilizo ongezwa kwenye Sensa ili wasitoe takwimu za uwongo. Makalla amesema asilimia 10 hadi 13 ya Watanzania wanaishi...
2 Reactions
0 Replies
630 Views
Kiukweli sijajua wanaomsifia huyu mtu wanatumia vigezo gani; 1. Baada ya kulipa bili ya kuonganishiwa maji itachukua hata nusu mwaka kuungishiwa bomba mpaka mitaro inajifukia(mabomba wanasema...
5 Reactions
52 Replies
4K Views
Waziri Bashe alitangaza nia ya Serikali kupitia Wizara ya Kilimo juu ya UKOMBOZI wa wakuliwa kupewa mbolea za RUZUKU. LENGO lilikua zuri changamoto kubwa ipo katika mambo mawili. 1.Usajili wa...
0 Reactions
1 Replies
671 Views
Sekta ya nishati ni vigumu mno kunyooka ikiendelea kuongozwa na mtu laini na legelege mfano wa January Makamba. Ukweli usemwe tu Rais Samia alizingirwa na maharamia yaliyomshawishi ampe huyo...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari zenu wadau wa JF siasa. Hali ni tete nchini, ndivyo unavyoweza kusema. Amini usiamini, Mbunge wa Kisesa Mh Luhanga Mpina atagombea Urais kupitia chama Kikongwe Cha upinzani 2025 Mpango...
12 Reactions
60 Replies
6K Views
Afande Mtafungwa kwa Rais Samia kulalamikia idadi ya ajali kuongezeka nchini nakushauri omba hata likizo ya ugonjwa ili uepuke fedheha ya kutenguliwa. Vinginevyo, wiki hili halitaisha lazima...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna mabadiliko makubwa yanaendelea huko duniani na kiukweli CCM peke yake haitaweza kuyakabili itahitaji ushirikishwaji wa vyama vingine hasa Chadema na ACT wazalendo Niombe tu Serikali...
0 Reactions
3 Replies
544 Views
Ndugu zangu Nazani mmewahi kusikia Kuna swali linaulizwa iwapo kiongozi Bora anazaliwa au anatengenezwa, Ndugu zangu ukimfuatilia mh Rais mama Samia suluhu Hassani Tangia wakati ule wa bunge...
4 Reactions
40 Replies
2K Views
Wakurugenzi wa Halmashauri ndio mikono ya Tume ya Uchaguzi hapa nchini, yaani NEC analishwa na DEDs, kimsingi DED ndio NEC. Siyo siri kwamba baadhi ya Wakurugenzi ni makada wa CCM na wengine...
0 Reactions
2 Replies
604 Views
Moja kati ya mambo yanayofanya uongozi wa nchi yoyote upendwe ni jitihada za wazi za kustawisha maisha ya wananchi, kutatua kero zao na kutekeleza maono yenye dhamira njema na maisha ya watu...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amelionya jeshi la Polisi nchini kutotumia wadhamini kufanya vikao kazi na badala yake Jeshi hilo lijitegemee na vikao vyake...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
Kwenye hotuba ya Mama lao Pale Mosjo anaonekana kulalmikia Jeshi la police hasa kwenye upigaji wa pesa, inavyo elekea wanapiga sana pesa za umma, na hizo ndio hizo hizo tozo tunazo tozwa. Hio...
2 Reactions
44 Replies
2K Views
Sensa ilipoanza nilisema walioandaa sensa hawajawahi kushiriki sensa, hii ilitokana na aina ya maswali yakiwemo ya uchuro, yaani umewahi kufiwa humu ndani. Leo nimeulizwa namba ya mita ya umeme...
3 Reactions
7 Replies
881 Views
Tunataka tuwekewe hadharani mchakato mzima wa upatikanaji wa vishkwambi vya sensa. Kuna jambo hapa nimehisi.
13 Reactions
74 Replies
7K Views
Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi 2022, Anne Makinda amesema asilimia 93.45 ya kaya zote Tanzania zimehesabiwa hadi kufikia leo Jumatatu Agosti 29, 2022 saa 2 asubuhi. Makinda amesema hayo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Takwimu za Wagonjwa wa Kipindupindu Nchini Tanzania kuanzia Januari 2022 hadi Agosti 2022 ni visa 519 ambapo kati yao 11 wamefariki Dunia, Mikoa ya Katavi, Rukwa na Kigoma ikitajwa kutoa wagonjwa...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…