Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

HAKIKISHA UNAHESABIWA, Wasalaam,Tanzania. Huko kwenye group la Whats app Kafulila David anaandika " Kila Mtanzania lazima afahamu kuwa Sensa hii ni muhimu Sana kwani ndio sensa...
9 Reactions
88 Replies
4K Views
Wajasiriamali wanaumia wanaangaika wananyanyaswa nani awasemee vilio vyao ni juu ya Serikali, wamekuwa wakilia kwani wakuu wa idara hawalioni hili Viongozi wa machinga wao hawalioni hili au...
2 Reactions
12 Replies
892 Views
Baada ya kuwa Mwanza kwa takriban miezi mitatu, juma lililopita nikarejea na kuamua kukusanya ndengu Jimbo la Iramba na hivyo kunilazimu kutembelea vijiji ambavyo wanalima ndengu. Ndengu ni...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forums amesema ukusanyaji holela na kuzagaa kwa taarifa binafsi za watu mitaani ikiwemo makaratasi yanayotumika kama vifungashio vya chakula au madawa ni madhara ya...
10 Reactions
13 Replies
2K Views
Watu wa aina ya Mdude Nyangali wa CHADEMA wapo sana kwenye jamii na tabia zao mara nyingi huwa zinakereketa na kujenga mtizamo hasi. Siasa za Mdude Nyangali sio za kiuanaharakati, sio za...
6 Reactions
41 Replies
3K Views
Ndugu zangu ukimsikiliza mh Rais Mama Samia Suluhu Hassan akizungumza, ukimuangalia namna anavyotenda utagundua kuwa amedhamiria na anayo kiu ya kuipekeka mbele nchi hii kimaendeleo. Mh. Rais...
4 Reactions
55 Replies
2K Views
Kamishina wa Sensa, Bi. Anne Makinda amesema kuwa asilimia 93 ya kaya Tanzania tayari zimehesabiwa. Sasa swali langu la msingi ni hili, yeye kajuaje kaya zilizohesabiwa ndio hiyo asilimia 93...
18 Reactions
53 Replies
4K Views
Wakati anazindua daraja la Tanzanite alisema kuwa ule Mwenge utolewe iwekwe Tanzanite ili kusadifu maana ya daraja ila mpaka sasa kimya. Je, TANROADS wamepuuza? Ama ni dharau kwa mamlaka?
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Ndugu zangu nadhani sote tumeendelee kusikia kile kinachojiri huko mkoani Kilimanjaro ambako Mh. Rais wetu yupo huko. Ndugu zangu ukimfuatilia Mh. Rais wetu hata kabla ya kuwa Rais wetu ni...
5 Reactions
45 Replies
3K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halamshauri wa Wilaya ya Muheza mkoani Tanga, Nassib Bakari Mmbaga ili...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Ndugu zangu hivyo ndivyo unavyoweza kusema kwa Sasa kuwa mh Rais mama Samia amefanikiwa kupanda mbegu ya Uzalendo kwa watanzania katika kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe. Watanzania kwa...
5 Reactions
90 Replies
4K Views
Mnasema ndani ya siku 7 mmewafikia 93% ya watu wote halafu mnaongeza Siku 7 kwa 7% zilizobakia? Mnapenda uongo lakini uongo unashindwa kuwapa ushirikiano. Mmeiba bilion 600+ mmewadhulumu makarani...
26 Reactions
83 Replies
6K Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, Camillius Wambura amesema polisi wote wanapaswa kukaa kambini ili kurahisisha upatikanaji wao. Kauli hiyo ya kisheria ameitoa alipokuwa akizungumza na askari hao...
8 Reactions
60 Replies
5K Views
"ANDIKO HILI LIMETOLEWA NA WAFANYAKAZI WA RADIO 5 ARUSHA" "Habari za wakati huu wanahabari wenzetu. Sisi ni Wafanyakazi wa Radio5 Arusha iliyo chini ya TAN COMMUNICATION MEDIA ambayo inamilikiwa...
10 Reactions
69 Replies
6K Views
Hata kama Mama anampenda au bado ana imani na Mwigulu, ni vigumu sana kuendelea kumbakiza katika nafasi yake kutokana na reaction ya umma kwani anaonekana kuwa ni waziri anaengoza kwa kulaumiwa na...
20 Reactions
108 Replies
6K Views
Hata kama vifijo na chereko vikiwa na kelele ya mawimbi ya bahari bado kuna kilio ktk mioyo ya watanzania. Jambo sio zuri lina andaliwa katika usiri na wanao ulio tupa macho ya rohoni nakutupa ona...
19 Reactions
38 Replies
2K Views
Nani atutetee nani atusemee maisha yame badilika hakuna wa kuongea kila mtu anaogopa kusema ata pale unapo stahili haki hakuna kusema maana siasa ina tupoteza, wao walitaka tufanye kazi na maisha...
0 Reactions
1 Replies
519 Views
Ni kama routine tu ya kibaolojia kwamba itabidi uende haja ndogo na kubwa ili mwili uendelee ku operate, ni kama routine kwamba itabidi ule ili u survive. Ndivyo ilivyo reports za CAG kwa...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Waziri wa Nishati, Januari Makamba amenukuliwa akiitupia lawama bodi ya wakurugenzi na menejimenti ya TANESCO iliyopita kwamba ndio imehusika kuhujumu mradi wa Bwawa la kufua umeme la Julius...
1 Reactions
4 Replies
938 Views
Karia kwa kauli na matendo hakika ni mtu wa kuchungwa mno kisiasa kama kimelea kinachokaribia kuleta sintofahamu kubwa baina ya wananchi wa Tanzania. Pamoja na kuongoza TFF bado Karia...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…