Hata kama vifijo na chereko vikiwa na kelele ya mawimbi ya bahari bado kuna kilio ktk mioyo ya watanzania. Jambo sio zuri lina andaliwa katika usiri na wanao ulio tupa macho ya rohoni nakutupa ona siri ambazo wengine hawakuwahi kuziona ama kuzisikia tuna piga magoti na kukuomba utuokoe ktk giza lina taka kulipata Taifa hili.
Mungu wangu najuwa wewe unaona toka sirini kila mkakati nampango unapangwa kwa nia mbayaa juu ya Taifa hili nakamwe hutoruhusu mpango wowote wakishetani kufanikiwa.
Nakuomba Mungu wangu uwashike mkono viongozi wakuu waidara nyeti za usalama ukawape hekima na maarifa makubwa kusimama upande wa watanzania na kuliokoa Taifa hili kutoka mipango mibaya ya Ibilisi.
Mungu wangu waone kwa jicho la huruma vijana wa Taifa hili walio choka nakukata tamaa muangalie kijana yule amechoka anakuhitaji. Mungu tusamehe pale tumekosea maana tulifanya kwa ujinga tu.
Unasema katika neno lako unamwangalia mtu mmoja anaye liombea Taifa. Mungu wangu nina simama kama mtu ulie niita kwa jina lako nakunipa nafasi kuona yale watu hawayaoni Mungu wangu kwa neno la nabii wako nakuomba kila mpango mbaya kuwa gawa watanzania nakuwa fanya wawe na maisha magumu ili wapige magoti usifanikiwe.
Kama Taifa utatuinua tena kwa kishindo na dunia itakiri yupo Mungu wa Tanzania. Kila mkakati iwe ndani ya taifa au nje ya taifa kutugawa nakutuweka mtu kati haitofanikiwa. Taifa hili ni mali yako na hakuna mwenye haki zaidi ya mtanzania mwingine.
Àmen