Mkurugenzi wa Wilaya ya Muheza asimamishwa kazi kwa kushindwa kumudu majukumu

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,355
8,042
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halamshauri wa Wilaya ya Muheza mkoani Tanga, Nassib Bakari Mmbaga ili kupisha Uchunguzi.
IMG_1126.jpg

Waziri Bashungwa amechukua hatua hiyo baada Mkurugenzi huyo kushindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo pamoja na utendaji kazi usioridhisha.
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halamshauri wa Wilaya ya Muheza mkoani Tanga, Nassib Bakari Mmbaga ili kupisha Uchunguzi.
View attachment 2340401

Waziri Bashungwa amechukua hatua hiyo baada Mkurugenzi huyo kushindwa kutekeleza Majukumu yake ipasavyo pamoja na utendaji kazi usioridhisha.
Ndiyo tatizo la kufanya CV ya Kazi za Umma, kuwa kada mwaminifu wa CCM!

Huyo kada ukute hajawahi hata kuongoza watu wa mtaa wake!😄
 
Ukweli kuna baadhi ya miradi kwenye halmashauri nchini NI kimeo Sana.
 
Ndiyo tatizo la kufanya CV ya Kazi za Umma, kuwa kada mwaminifu wa CCM!

Huyo kada ukute hajawahi hata kuongoza watu wa mtaa wake!
Una uhakika au unakurupuka tu? Huyo ashakuwa mkurugenzi Temeke muda mrefu tu
 
Vijana wa BAVICHA wanafarijiana sana kwenye huu uzi maana matarajio yao yanayeyuka mithili ya theluji juani. Kenya walipiga ramli imebuma Sasa wanahusanisha na kila mteuliwa na mwenye makosa na CCM wakati nawajua CHADEMA walioteuliwa na wkthmbuliwa kwa wizi
 
Nassib, haya, mambo ya kupeana post, performance = zero, hiyo ndio maana ya kushindwa kutekeleza majukumu yake.
 
Ndiyo tatizo la kufanya CV ya Kazi za Umma, kuwa kada mwaminifu wa CCM!

Huyo kada ukute hajawahi hata kuongoza watu wa mtaa wake!😄
Familia yake imemshinda kuongoza itakua mtaa?
Mke wake Sasa atapunguza presha maana duh.
 
na kweli kashindwa maana pale idara ya ardhi ni kero tupu. Amewanyanganya watu ardhi yao huko gegliz farm ie azimio/Kilapula kinyume na maagizo ya Magufuli ( ingawa naye Jiwe alikuwa hovyo na mvunja katiba na sheria mkubwa).
 
Back
Top Bottom