Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

SHAKA AMMWAGIA SIFA KINANA, ATAMBA KAZI ZA MAENDELEO KUUFUTA UPINZANI MBEYA Demokrasia ya vyama vingi nchini imekuwa na lengo la kuharakisha maendeleo kwa wananchi. Ikiwa chama kinachoongoza...
7 Reactions
34 Replies
3K Views
Nilimsikiliza Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, hapo jana Katika kile alichokiita ni kutoa ufafanuzi na kilio cha wananchi kuhusu tozo nyingi wanazokatwa kupitia miamala ya simu na sasa kupitia...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Chama Cha Mapinduzi kimesema licha ya Rais samia suluhu Hassan huzungumza polepole lakini vitendo vyake katika utekelezaji wa sera za maendeleo zimekuwa motomoto. Pia, serikali yake kwa muda...
5 Reactions
69 Replies
4K Views
Waziri amesema wagonjwa wa saratani wanaopata tiba za mionzi kwa Bima ya NHIF mwaka 2015/16 zilikuwa Tsh. Bilioni 9 na hadi kufikia mwaka 2021/22 gharama za malipo zimefikia Tsh. Bilioni 22.5...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, baada ya kikao cha halmashauri ya Ubungo , wadau, LATRA na RC, hatimaye imekubaliwa kwamba mabasi ya abiria yanaweza kutumia vituo binafsi kushusha na...
21 Reactions
43 Replies
3K Views
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imeipongeza kampuni ya Multichoice kupitia DStv kuamua kutangaza kwa Kiswahili Mashindano ya Kombe la Dunia yanayotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu nchini...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Inashangaza kusikia NHIF ikilalamika kuwa magonjwa yasiyo ya kuambukiza (NCDs) yameongezeka sana, gharama ya matibabu yake ni kubwa sana na yanafilisi mfuko. Na kwamba NHIF inakusudia kuacha...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Waziri wa fedha Mhe. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imesikia kilio na malalamiko ya wananchi wake kuhusu vipengele kadhaa vinavyohusiana na tozo. Mfano wa mapendekezo hayo ni uwepo wa makato...
5 Reactions
111 Replies
7K Views
Mamlaka ya uteuzi tuseme Sasa imetoshaaaaa Tozo ya Mafuta juu Tozo ya Fedha mitandaoni juu Tozo ya kiwanja kwa luku Makato ya kwenye vocha juu. Kodi ya pembejeo za kilimo mara mbili Nauli mabasi...
75 Reactions
498 Replies
36K Views
Waziri wa TAMISEMI Mhe. Innocent Bashungwa amesema kuwa baadhi ya sekta muhimu nchini mfano ile ya afya isingeweza kupitia mabadiliko makubwa kama yaliyopo sasa kama tozo sizingekuwepo. Ametolea...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
HUU NDIO MJI WA TEKNOLOJIA, VIWANGO VYA GOOGLE NA AMAZON VINAKUJA ZANZIBAR Zanzibar kuwa kitovu cha tekinolojia za mawasiluano na habari - TEHAMA ukanda wa Afrika ya Mashariki kwa kutumia mifumo...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Rais Samia Suluhu anaendelea kuwaaamini wanawake kwa kuwateua katika nafasi za uongozi, ili kuleta usawa wa jinsia katika kutoa uamuzi. Kitendo cha kuongeza idadi ya wanawake katika uteuzi wa...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwamba hata mama aliye kijijini anakatawa tozo akitumiwa pesa na mwanae anayeishi mjini? Kwamba hata mwalimu wa shule anyefundisha kijijini kwenye mazingira magumu ya kijijini anakatwa kodi ya...
5 Reactions
11 Replies
994 Views
Huyu Bashe au Dr. Albina Chuwa, yule mama wa takwimu na sensa wangepewa wizara ya fedha, huyu Mwigulu apewe wizara nyingine maana ana dharau sana.
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Katika kufungua mlango kwa mfano wa nyumba, unaweza aidha kutoa au kuingiza vinavyostahili na visivyostahili. Mfano unapofungua mlango wanaweza kuingia wadudu kama vile nzi, mbu, panya na hata...
3 Reactions
7 Replies
690 Views
Baada ya jitihada na kazi kubwa ya serikali ya kufanya tathmini na kuanza hatua za kurudisha mali za serikali ikiwemo Hospital ya Dar Group kupitia hotuba ya bajeti ya fedha 2021/22 aliyoitoa...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
CDE KINANA ATUA KIGOMA KWA ZIARA YA KUIMARISHA CHAMA Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Ndugu Abdulrahman Omari Kinana amewasili leo Alhamisi tarehe 01 Septemba, 2022...
0 Reactions
6 Replies
841 Views
Ni mda mwafaka sasa Mwigulu Nchemba aitwe Kamati ya Siasa ya Chama ahojiwe kuhusu ubunifu wake kukuza uchumi kwa tozo. Wanaoumia ni wananchi lakini Mwigulu bila aibu na kejeli anakuja kusema...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
JF team, SALAAM! Nimeona hivi karibuni Serikali ikipitisha vitu vingi ambavyo ni mzigo kwa watanzania (matajiri kwa maskini). Nimejiuliza sana kwa hakika upitishaji wa vitu vya hovyo umeshamili...
11 Reactions
36 Replies
3K Views
Ni masikitiko makubwa sasa serikali inataka kutuongezea malipo ya kodi ya nyumba kama walivyokuwa wanafanya madalali wa nyumba. Sasa serikali inataka kila mwaka iwe inakusanya mapato ya uonevu...
8 Reactions
16 Replies
908 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…