Ni sikitiko na masikitiko makubwa askari ambaye ana nyota moja yupo hapo barabarani akiwa amevalia kiraia na trafiki mmoja aliyevalia sare za kitrafiki, wanakamata magari yote yanayotoka Marangu...
Jana niliwasikiliza mawaziri wakiitetea serikali ambaye ni mwajiri wao katika hili suala zima la tozo zinazotesa wananchi.
Sikutegemea kipya kusema ukweli kutoka kwa Dr Mwigulu Nchemba zaidi ya...
Ni kwamba, Wakati wa JPM hakukuwa na tozo lakini miradi mingi zaidi ilianzishwa na kuendeshwa kwa ufanisi zaidi.
Lakini sasa tumezunguka kila kona ya Dunia na tumechukua mikopo.
Wakati huo hata...
Unakemea ubatili ndani ya taifa unaloliongoza. Lakini watu Wana akili na maarifa, wanaona Kuna ubatili unaouruhusu bila aibu Bungeni, Basi nao watafanya ubatili maana wanaona you are playing...
Malalamiko yamekuwa mengi si tu kwa wana jf, bali hata uraiani. Ukweli ni kwamba wengi hawaungi mkono suala la tozo.
Sababu kuu ni:
•kutozwa kodi na tozo zaidi ya mara moja kwa kipato hicho hicho...
Stand ya Magufuli ilihamishiwa Mbezi, kwa minajiri yakuongezewa ukubwa na kupanua wigo wa kuwahudumia wananchi.
Mh. Makalla kuruhusu hizi stand chache kuendelea kutoa huduma nje ya stand na nje...
BARUA YA WAZI KWA Mh.JANUARY MAKAMBA WAZIRI WA NISHATI .
Ninakusalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Pamoja na salam hizi , ninaomba tukufikishie ujumbe wa barua hii uupate ili...
Wadau, ili kuweka rekodi sawa, hebu tujikumbushe nani kati ya Mkapa, Kikwete, na Magufuli aliyejenga miundo mbinu mingi. Miundo mbinu hii ni kama barabara, shule, hospitali, vyuo, viwanja vya...
Kesi ya kupinga uRais wa nchi Jirani imekamilika kusikilizwa Hukumu itatolewa Jumatatu
Sasa ndugu zangu Watanzania tuendelee kufuatilia kesi ya akina Halima Mdee na wenzake dhidi ya Chadema...
Nipo hapa Rwanda kiukweli Tanzania tupo nyuma sana. Huku wananchi wapo huru kuikosoa serikali yao jambo jingine huduma za kijamii kama maji, umeme, hospital, shule na miundombinu ziko vizuri mpaka...
ZIARA
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka kutembelea mradi wa kufunga mfumo wa gesi (CNG) kwenye magari katika Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam...
KINANA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI KAGERA, ATOA ANGALIZO UJENZI WA BARABARA INAYOUNGANISHA MKOA HUO NA KIGOMA.
Makamu mwenyekiti wa ccm bara comrade Abdulrahman Kinana ameelezea kutoridhishwa...
Ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan - Zanzibar, leo Septemba 2, 2022
Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Hamad Masauni amesema kuwa kupitia mfuko wa tozo, Wizara ya hiyo inajipanga kujenga vituo vya...
Wote tunakumbuka bajeti ya serikali iliyowasilishwa kwa mwaka 2022/23 ni TZS Trilioni 41.48 ikiwa ni ongezeko la 9.2% ukilinganisha na mwaka jana. Sehemu kubwa ya bajeti hii inategemea fedha za...