CCM Taifa shitukeni, Mbowe amewategea mtego hatari, ameanza kuvunja maridhiano

Tutanota

Member
Aug 5, 2020
18
77
CCM TAIFA AMKENI, MBOWE ANAWAZUNGUKA, ANAJITAPA KUPEWA MAJIMBO 20, 2025

Wasalaam wanajamvi,

Nichukue fursa hii kuwatakia wikiendi njema wanaccm na watanzania wote duniani kote mnaosoma thread hii, kwanza kabisa niweke wazi kuwa Uzi huu ushauri wa wazi kwa chama changu cha Mapinduzi CCM ukiona unakuudhi usitukane bali Jenga hoja ukishindwa pita kimyakimya, dhumuni langu ni kukifungua macho chama changu dhidi ya uhuni unaondelea kaskazini mwa nchi.

Natambua, nakupongeza na kuheshimu dhamira safi ya Mhe Rais Samia Suluhu Hassan ya kuleta maridhiano ya kisiasa nchini kwa vyama vyote, hongera Mhe Rais kwa kuonesha njia na ukomavu wako wa kisiasa, hakika umekuwa mfano bora wakuigwa na wanasiasa wote wenye dhamira safi na nchi yetu. Leo nimeamua tu niwapatie taadhari na taarifa viongozi wangu wa CCM Taifa juu ya uhuni unaofanyika kaskazini mwa nchi yetu ambapo ndugu Mbowe amepiga kambi na ameanza ukiukwaji wa maradhiano ya amani kwa kuanzisha shuguli za kihuni na kimafia kwa kukusanya Vikosi vya watu hatari kutoka maeneo mbalimbali ya nchi zikiwemo Mara, Tabora, Arusha na Zanzibar. Ambapo tayari watu zaidi ya 150 wamewasili jimboni hai, wamepangishiwa vyumba mjini Bomang'ombe, Machame na Moshi Mjini.

Vikosi hivyo vimekuwa vikipokea mafunzo yasiyofahamika, Mbowe mwenyewe amekuwa akishiriki na kufanya vikao kila siku na vikosi hivyo, akipanga mambo yenye ukakasi kwa mstakabali wa Amani na yanayotishia uwepo maridhiano ya kisiasa.

Ndugu viongozi wangu, huyu Bwana Mbowe amekuwa akizunguka Jimboni Hai akitangaza kuwa ameahidiwa kupewa zaidi ya majimbo 20, hivyo yeye aanze kuchagua anahitaji jimbo lipi na lipi, huyu mtu ni kinyonga, anabadilikabadilika rangi na tabia kila uchao kaeni nae chonjo maana anamchezo mchafu anauandaa. Huyu mtu hajakoma uhuni ni kama ngozi kwake habadiliki labda mmchune ngozi, tafadhali msimwamini asilani abadani. Naamini kwa kuwa Chama kina vyombo vingi vya kupata na kuhakiki taarifa kitajihakikishia haya niliyoyaandika hapa.

MICHEZO MICHAFU ILIYOANDALIWA DHIDI YA CCM KASKAZINI

Bwana Mbowe ameamua kuja na mbinu kadhaa;

kwanza ameanza kujinadi kuwa yeye ndio mgombea urais wa chadema mwaka 2025 na jimbo la Hai atamweka Godbless Lema ambae ni mkimbizi kule canada, Lakini pili mbowe ameanza kuzunguka kwa wenyeviti wa serikiali za mitaa akiwarubuni kuwa wahamie Chadema na watachaguliwa tena kwenye uchaguzi mdogo akijinasibu kuwa huo ni moja ya utekelezaji wa masharti ya vikao vya maridhiano, jambo ambalo ni uongo mkubwa na kamwe haliwezi kutokea wala kukubaliwa na viongozi wangu nyinyi mlioiva sera,itikadi na miiko ya uongozi.

Mbowe ameenda mbali zaidi anazunguka kwa viongozi wa Dini na wazee maarufu akiomba radhi kwa kulitelekeza jimbo la hai kwa miaka zaidi ya kumi cha ubunge wake, na amekuwa akiwadanganya kuwa anayo maelekezo maalumu kutoka kwenye vikao vya maridhiano, jambo ambalo ni uongo mkubwa, na linalotakiwa kukemewa hadharani bila kufumbiwa macho kwani limekusudia kuligawanya Taifa kidini na kimila, nawaomba viongozi wangu mlikemee kwa nguvu zote.

Sisi wananchi wa Hai ambao tunaona sarakasi zote za mbowe tunakiomba chama chetu cha CCM kisibweteke na kumwachia upenyo mwongo huyu aendelee kueneza taarifa feki kwa wananchi wa kaskazini, maana tayari kafanya vikao(kwa kisingizio kuwa ni vikao vya Chadema kanda ya kaskazi) tayari kafanya Moshi, Hai na hivi karibuni anaelekea Arusha kwenda kuleta ufitini huu huu alioanzisha hapa Hai.
Mbowe ameanzisha tabia ya kufitinisha wanaCCM wenyewe kwa wenyewe ili apate chance ya kupenya katikati yetu.

Ndugu Mbowe sikia sisi watu wa hai hapo Zamani za ujinga ulitugeuza mazoba na mazezeta enzi hizo hatujui majukumu halisi ya mbunge, lakini kwasasa umeshachelewa tunaye mbunge Saashisha Mafuwe anatambua maana ya kuwakilisha na kutatua kero za wapiga kura na tayari tumeona Mabadiliko makubwa kuanzia Ujenzi wa makilomita ya lami jimboni kote, maboresho ya barabara za vijijini hata ile barabara uliyowahi kuiita ya ng'ombe, madaraja yanajengwa, viwanda vinafufuliwa na maji yanatoka kila siku.
Lakini tumesikia unaomba msamaha, tumekusamehe ila ubunge full stop, tunajua unamleta Godbless Lema agombee Hai, tunakuhakikishia kipimo tulichokupimia 2020 nae tutampimia kilekile 2025 tena kinachomwagika ili liwe funzo kwa wanasiasa malaya na walafi wanaokimbia majimbo yao. Tunajua unajipanga kufungua matawi ya chadema jimboni hai hivi karibuni.

Wewe Godbless Lema ndugu yangu, jimbo la Hai sio uwanja wa majaribio ya ujasiriamali wa siasa kaka, njoo polepole maana hapa tutakufunza namna bora ya kuwakilisha wananchi bungeni na mtaani, tunajua unamkimbia Mrisho Gambo, Sasa huku tutakupatia dozi stahiki ambayo hakika itakuwa chanjo ya maradhi yako ya umalaya wa kisiasa.

Bwana Mbowe kwa kumalizia nikuambie tu hiyo Noah nyeusi unayobeba madiwani wastaafu na vibaraka wako wa kware, masama na machame tunazo taarifa zao, na hayo magari manne yenye vijana hatari yanayozunguka wilayani hai tunazo taarifa zake, waambie hakuna jambo watafanya katika jamii ya kichaga tutaacha kulijua, waambie watu wa hai ni wakarimu sana na tunapenda wageni ila hatupendi kuchokozwa, wasitujaribu.

Hitimisho, Naamini ushauri wangu huu utafanyiwa kazi ili kukiokoa chama na mtego huu.
 
Huu ujinga wa kumtaja Mbowe kwa wana CCM sijui utaisha lini? Yaani unataka kusema haya uliyoyaandika wewe wana CCM wa Hai hawayaoni, DC wa Hai ambaye naye ni mwana CCM hayaoni, OCD, DSO na wengine wote hawaoni ila wewe unayejifanya raia mwema?
 
Una ukweli kwenye tuhuma mpya tena za ugaidi. Unafurahi mbowe akishtakiwa tena kwa ugaidi.

Serikali in mkono na macho marefu eagle eye kila sehemu wanaouwezo wa kujua kila afanyalo mbowe aliyelambishwa adali hivi karibuni. Kaa tafuta hela siasa sio za watu maskini by HHichilema.
 
CCM TAIFA AMKENI, MBOWE ANAWAZUNGUKA, ANAJITAPA KUPEWA MAJIMBO 20, 2025

Wasalaam wanajamvi,

Nichukue fursa hii kuwatakia wikiendi njema wanaccm na watanzania wote duniani kote mnaosoma thread hii, kwanza kabisa niweke wazi kuwa Uzi huu ushauri wa wazi kwa chama changu cha Mapinduzi CCM ukiona unakuudhi usitukane bali Jenga hoja ukishindwa pita kimyakimya, dhumuni langu ni kukifungua macho chama changu dhidi ya uhuni unaondelea kaskazini mwa nchi.

Natambua, nakupongeza na kuheshimu dhamira safi ya Mhe Rais Samia Suluhu Hassan ya kuleta maridhiano ya kisiasa nchini kwa vyama vyote, hongera Mhe Rais kwa kuonesha njia na ukomavu wako wa kisiasa, hakika umekuwa mfano bora wakuigwa na wanasiasa wote wenye dhamira safi na nchi yetu. Leo nimeamua tu niwapatie taadhari na taarifa viongozi wangu wa CCM Taifa juu ya uhuni unaofanyika kaskazini mwa nchi yetu ambapo ndugu Mbowe amepiga kambi na ameanza ukiukwaji wa maradhiano ya amani kwa kuanzisha shuguli za kihuni na kimafia kwa kukusanya Vikosi vya watu hatari kutoka maeneo mbalimbali ya nchi zikiwemo Mara, Tabora, Arusha na Zanzibar. Ambapo tayari watu zaidi ya 150 wamewasili jimboni hai, wamepangishiwa vyumba mjini Bomang'ombe, Machame na Moshi Mjini.

Vikosi hivyo vimekuwa vikipokea mafunzo yasiyofahamika, Mbowe mwenyewe amekuwa akishiriki na kufanya vikao kila siku na vikosi hivyo, akipanga mambo yenye ukakasi kwa mstakabali wa Amani na yanayotishia uwepo maridhiano ya kisiasa.

Ndugu viongozi wangu, huyu Bwana Mbowe amekuwa akizunguka Jimboni Hai akitangaza kuwa ameahidiwa kupewa zaidi ya majimbo 20, hivyo yeye aanze kuchagua anahitaji jimbo lipi na lipi, huyu mtu ni kinyonga, anabadilikabadilika rangi na tabia kila uchao kaeni nae chonjo maana anamchezo mchafu anauandaa. Huyu mtu hajakoma uhuni ni kama ngozi kwake habadiliki labda mmchune ngozi, tafadhali msimwamini asilani abadani. Naamini kwa kuwa Chama kina vyombo vingi vya kupata na kuhakiki taarifa kitajihakikishia haya niliyoyaandika hapa.

MICHEZO MICHAFU ILIYOANDALIWA DHIDI YA CCM KASKAZINI

Bwana Mbowe ameamua kuja na mbinu kadhaa;

kwanza ameanza kujinadi kuwa yeye ndio mgombea urais wa chadema mwaka 2025 na jimbo la Hai atamweka Godbless Lema ambae ni mkimbizi kule canada, Lakini pili mbowe ameanza kuzunguka kwa wenyeviti wa serikiali za mitaa akiwarubuni kuwa wahamie Chadema na watachaguliwa tena kwenye uchaguzi mdogo akijinasibu kuwa huo ni moja ya utekelezaji wa masharti ya vikao vya maridhiano, jambo ambalo ni uongo mkubwa na kamwe haliwezi kutokea wala kukubaliwa na viongozi wangu nyinyi mlioiva sera,itikadi na miiko ya uongozi.

Mbowe ameenda mbali zaidi anazunguka kwa viongozi wa Dini na wazee maarufu akiomba radhi kwa kulitelekeza jimbo la hai kwa miaka zaidi ya kumi cha ubunge wake, na amekuwa akiwadanganya kuwa anayo maelekezo maalumu kutoka kwenye vikao vya maridhiano, jambo ambalo ni uongo mkubwa, na linalotakiwa kukemewa hadharani bila kufumbiwa macho kwani limekusudia kuligawanya Taifa kidini na kimila, nawaomba viongozi wangu mlikemee kwa nguvu zote.

Sisi wananchi wa Hai ambao tunaona sarakasi zote za mbowe tunakiomba chama chetu cha CCM kisibweteke na kumwachia upenyo mwongo huyu aendelee kueneza taarifa feki kwa wananchi wa kaskazini, maana tayari kafanya vikao(kwa kisingizio kuwa ni vikao vya Chadema kanda ya kaskazi) tayari kafanya Moshi, Hai na hivi karibuni anaelekea Arusha kwenda kuleta ufitini huu huu alioanzisha hapa Hai.
Mbowe ameanzisha tabia ya kufitinisha wanaCCM wenyewe kwa wenyewe ili apate chance ya kupenya katikati yetu.

Ndugu Mbowe sikia sisi watu wa hai hapo Zamani za ujinga ulitugeuza mazoba na mazezeta enzi hizo hatujui majukumu halisi ya mbunge, lakini kwasasa umeshachelewa tunaye mbunge Saashisha Mafuwe anatambua maana ya kuwakilisha na kutatua kero za wapiga kura na tayari tumeona Mabadiliko makubwa kuanzia Ujenzi wa makilomita ya lami jimboni kote, maboresho ya barabara za vijijini hata ile barabara uliyowahi kuiita ya ng'ombe, madaraja yanajengwa, viwanda vinafufuliwa na maji yanatoka kila siku.
Lakini tumesikia unaomba msamaha, tumekusamehe ila ubunge full stop, tunajua unamleta Godbless Lema agombee Hai, tunakuhakikishia kipimo tulichokupimia 2020 nae tutampimia kilekile 2025 tena kinachomwagika ili liwe funzo kwa wanasiasa malaya na walafi wanaokimbia majimbo yao. Tunajua unajipanga kufungua matawi ya chadema jimboni hai hivi karibuni.

Wewe Godbless Lema ndugu yangu, jimbo la Hai sio uwanja wa majaribio ya ujasiriamali wa siasa kaka, njoo polepole maana hapa tutakufunza namna bora ya kuwakilisha wananchi bungeni na mtaani, tunajua unamkimbia Mrisho Gambo, Sasa huku tutakupatia dozi stahiki ambayo hakika itakuwa chanjo ya maradhi yako ya umalaya wa kisiasa.

Bwana Mbowe kwa kumalizia nikuambie tu hiyo Noah nyeusi unayobeba madiwani wastaafu na vibaraka wako wa kware, masama na machame tunazo taarifa zao, na hayo magari manne yenye vijana hatari yanayozunguka wilayani hai tunazo taarifa zake, waambie hakuna jambo watafanya katika jamii ya kichaga tutaacha kulijua, waambie watu wa hai ni wakarimu sana na tunapenda wageni ila hatupendi kuchokozwa, wasitujaribu.

Hitimisho, Naamini ushauri wangu huu utafanyiwa kazi ili kukiokoa chama na mtego huu.
Stupid burger! Kila siku Mbowe, rubbish! Kamfuate Magufuli umkumbatie pumbavu wahedi
 
Wewe ubunge wenyewe umepewa na Magufuli kwa mtutu wa Bunduki za polisi. Andiko reeeefu limejaa ushuzi tu?
 
Acha woga wewe, Serikali hii inajiangusha yenyewe, acha kusingizia Watu, isitoshe wewe hukuwepo kwenye Kikao cha Maridhiano kati ya Rais na Mbowe, hivyo huwezi jua walichokubaliana.
 
Wahuni huwa hakna adabu. Kwahiyo ulitaka Mbowe awe mnyenyekevu kwasbb tu ya maridhiano?

Unadhani maridhiano yanamnufaisha Mbowe binafsi? Hata Samia anayahitaji Sana haya maridhiano.

Halafu unapoleta izushi kwamba Mbowe kaahidiwa wabunge 20 unadhani kuna mtu atakuamini? Mlisema hv mwaka 2020 kwa Mbatia pia. Tushawajua kwa uzushi.
 
Upuuzi mtupu, nimepoteza mda bure kusoma ujinga!!
Kweli kabisa, ifike sehemu tuache ushabiki wa Vyama, Mimi binafsi namuunga mkono yeyote yule anayetetea masirahi ya Wananchi hasa masikini, nimemsikiliza Mbowe akizungumza kuhusu maumivu ya Tozo, kwa hili nimemuunga mkono.
 
CCM TAIFA AMKENI, MBOWE ANAWAZUNGUKA, ANAJITAPA KUPEWA MAJIMBO 20, 2025

Wasalaam wanajamvi,

Nichukue fursa hii kuwatakia wikiendi njema wanaccm na watanzania wote duniani kote mnaosoma thread hii, kwanza kabisa niweke wazi kuwa Uzi huu ushauri wa wazi kwa chama changu cha Mapinduzi CCM ukiona unakuudhi usitukane bali Jenga hoja ukishindwa pita kimyakimya, dhumuni langu ni kukifungua macho chama changu dhidi ya uhuni unaondelea kaskazini mwa nchi.

Natambua, nakupongeza na kuheshimu dhamira safi ya Mhe Rais Samia Suluhu Hassan ya kuleta maridhiano ya kisiasa nchini kwa vyama vyote, hongera Mhe Rais kwa kuonesha njia na ukomavu wako wa kisiasa, hakika umekuwa mfano bora wakuigwa na wanasiasa wote wenye dhamira safi na nchi yetu. Leo nimeamua tu niwapatie taadhari na taarifa viongozi wangu wa CCM Taifa juu ya uhuni unaofanyika kaskazini mwa nchi yetu ambapo ndugu Mbowe amepiga kambi na ameanza ukiukwaji wa maradhiano ya amani kwa kuanzisha shuguli za kihuni na kimafia kwa kukusanya Vikosi vya watu hatari kutoka maeneo mbalimbali ya nchi zikiwemo Mara, Tabora, Arusha na Zanzibar. Ambapo tayari watu zaidi ya 150 wamewasili jimboni hai, wamepangishiwa vyumba mjini Bomang'ombe, Machame na Moshi Mjini.

Vikosi hivyo vimekuwa vikipokea mafunzo yasiyofahamika, Mbowe mwenyewe amekuwa akishiriki na kufanya vikao kila siku na vikosi hivyo, akipanga mambo yenye ukakasi kwa mstakabali wa Amani na yanayotishia uwepo maridhiano ya kisiasa.

Ndugu viongozi wangu, huyu Bwana Mbowe amekuwa akizunguka Jimboni Hai akitangaza kuwa ameahidiwa kupewa zaidi ya majimbo 20, hivyo yeye aanze kuchagua anahitaji jimbo lipi na lipi, huyu mtu ni kinyonga, anabadilikabadilika rangi na tabia kila uchao kaeni nae chonjo maana anamchezo mchafu anauandaa. Huyu mtu hajakoma uhuni ni kama ngozi kwake habadiliki labda mmchune ngozi, tafadhali msimwamini asilani abadani. Naamini kwa kuwa Chama kina vyombo vingi vya kupata na kuhakiki taarifa kitajihakikishia haya niliyoyaandika hapa.

MICHEZO MICHAFU ILIYOANDALIWA DHIDI YA CCM KASKAZINI

Bwana Mbowe ameamua kuja na mbinu kadhaa;

kwanza ameanza kujinadi kuwa yeye ndio mgombea urais wa chadema mwaka 2025 na jimbo la Hai atamweka Godbless Lema ambae ni mkimbizi kule canada, Lakini pili mbowe ameanza kuzunguka kwa wenyeviti wa serikiali za mitaa akiwarubuni kuwa wahamie Chadema na watachaguliwa tena kwenye uchaguzi mdogo akijinasibu kuwa huo ni moja ya utekelezaji wa masharti ya vikao vya maridhiano, jambo ambalo ni uongo mkubwa na kamwe haliwezi kutokea wala kukubaliwa na viongozi wangu nyinyi mlioiva sera,itikadi na miiko ya uongozi.

Mbowe ameenda mbali zaidi anazunguka kwa viongozi wa Dini na wazee maarufu akiomba radhi kwa kulitelekeza jimbo la hai kwa miaka zaidi ya kumi cha ubunge wake, na amekuwa akiwadanganya kuwa anayo maelekezo maalumu kutoka kwenye vikao vya maridhiano, jambo ambalo ni uongo mkubwa, na linalotakiwa kukemewa hadharani bila kufumbiwa macho kwani limekusudia kuligawanya Taifa kidini na kimila, nawaomba viongozi wangu mlikemee kwa nguvu zote.

Sisi wananchi wa Hai ambao tunaona sarakasi zote za mbowe tunakiomba chama chetu cha CCM kisibweteke na kumwachia upenyo mwongo huyu aendelee kueneza taarifa feki kwa wananchi wa kaskazini, maana tayari kafanya vikao(kwa kisingizio kuwa ni vikao vya Chadema kanda ya kaskazi) tayari kafanya Moshi, Hai na hivi karibuni anaelekea Arusha kwenda kuleta ufitini huu huu alioanzisha hapa Hai.
Mbowe ameanzisha tabia ya kufitinisha wanaCCM wenyewe kwa wenyewe ili apate chance ya kupenya katikati yetu.

Ndugu Mbowe sikia sisi watu wa hai hapo Zamani za ujinga ulitugeuza mazoba na mazezeta enzi hizo hatujui majukumu halisi ya mbunge, lakini kwasasa umeshachelewa tunaye mbunge Saashisha Mafuwe anatambua maana ya kuwakilisha na kutatua kero za wapiga kura na tayari tumeona Mabadiliko makubwa kuanzia Ujenzi wa makilomita ya lami jimboni kote, maboresho ya barabara za vijijini hata ile barabara uliyowahi kuiita ya ng'ombe, madaraja yanajengwa, viwanda vinafufuliwa na maji yanatoka kila siku.
Lakini tumesikia unaomba msamaha, tumekusamehe ila ubunge full stop, tunajua unamleta Godbless Lema agombee Hai, tunakuhakikishia kipimo tulichokupimia 2020 nae tutampimia kilekile 2025 tena kinachomwagika ili liwe funzo kwa wanasiasa malaya na walafi wanaokimbia majimbo yao. Tunajua unajipanga kufungua matawi ya chadema jimboni hai hivi karibuni.

Wewe Godbless Lema ndugu yangu, jimbo la Hai sio uwanja wa majaribio ya ujasiriamali wa siasa kaka, njoo polepole maana hapa tutakufunza namna bora ya kuwakilisha wananchi bungeni na mtaani, tunajua unamkimbia Mrisho Gambo, Sasa huku tutakupatia dozi stahiki ambayo hakika itakuwa chanjo ya maradhi yako ya umalaya wa kisiasa.

Bwana Mbowe kwa kumalizia nikuambie tu hiyo Noah nyeusi unayobeba madiwani wastaafu na vibaraka wako wa kware, masama na machame tunazo taarifa zao, na hayo magari manne yenye vijana hatari yanayozunguka wilayani hai tunazo taarifa zake, waambie hakuna jambo watafanya katika jamii ya kichaga tutaacha kulijua, waambie watu wa hai ni wakarimu sana na tunapenda wageni ila hatupendi kuchokozwa, wasitujaribu.

Hitimisho, Naamini ushauri wangu huu utafanyiwa kazi ili kukiokoa chama na mtego huu.

Utoto+propaganda za kizee.
 
Back
Top Bottom