Kwa nini watu wanalalamikia hizi tozo?

Kwa nini watu wanalalamikia hizi tozo?

Daisam

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2016
Posts
2,622
Reaction score
3,147
Ni kwamba, Wakati wa JPM hakukuwa na tozo lakini miradi mingi zaidi ilianzishwa na kuendeshwa kwa ufanisi zaidi.

Lakini sasa tumezunguka kila kona ya Dunia na tumechukua mikopo.
Wakati huo hata ile miradi iliyokuwa ikienda kwa kasi imerudi nyuma kabisa, mfano, Bwawa la Mwl Nyerere.

Watu wanataka kwanza majibu. Kuna nini hapa katikati?
 
Pesa ni ileile badala ya Kuwa mikononi mwa Serikali itakuwa mikononi mwa kundi DOGO lenye connection.
 
Za chini ya kapeti tu.

Baadhi ya ma injinia wameanza kuondolewa huko stiglaz joji.

Malipo ya mishahara yenyewe yanasuasua.

Mradi wa umeme unajikongoja.

Hatari na nusu.
 
Back
Top Bottom