swagazetu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 4,256
- 1,476
Kuna ugonjwa wa akili umeingia kwa watanzania
Ugonjwa huo ni "Poor Conclusion without consultation" ambao umetokana na PMD yaani badhi ya watanzania hata watangazaji baadhi wa vituo vya redio na runinga umewaathiri wanaposikia MTU ameongea na kutoa kauli Fulani ama kukosoa au kusifia kitu kwa serikali tayari watu wenye ugonjwa wa PMD wanakuja na majibu ya kumchagulia uoande wa siasa msemaji,Wengine wanaConclude "wewe ni mpinzani-cdm au wewe ni ccm".maana ndivyo vyama shindani nchini. Ukiacha vile fyama vingine vya kutawazia vilivyobaki.
Je MTU asiye na chama hana haki na Uhuru wa kutoa mawazo take?
Je MTU anapoongea unaunganishaje kauli yake na kauli ya chama hata kama hajasema msimamo wa chama chochote?
Je hata MTU akiwa mwanachama wa chama cha siasa hawezi kutoa mawazo yake huru yasiyofungamana na chama chake?
Mf kwa sasa Tz kuna malalamiko ya "Tozo" MTU akizisifia eti ni ccm akiziponda eti ni mpinzani-cdm,Je kila mwanaCcm anafurahia hizi tozo na je kila mwanaCDM anazjchukia hizi tozo?
Shida ni Unafiki,wanaccm wengi hawaziungi mkono"tozo".Unafiki na njaa.
Je asiye na chama hawezi kuzipinga tozo?au kuzisifia?
Tuache Unafiki tupone-PMD
Political Mental disorder.