Ikumbukwe kuwa Hayati John Pombe Magufuli alikaa na mwekezaji maarufu bwana Bakheresa na kumwambia kwamba "nataka nikupe shamba ulime miwa hapa na kiwanda ujenge utuzalushie sukari hapahapa."...
Kinana aishukuru serikali ya China kufanikisha ujenzi wa VETA Kagera
Na mwandishi wetu, Kagera
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana...
Kinana na Shaka watia saini kitabu cha wageni, wazungumza na viongozi wa CCM Geita
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana akiwa...
Hizi tozo zinatusaidia nini sasa?
Tunakamuliwa na bado hata maji hatupati
---
Mamlaka ya Maji safi na mazingira Wilaya ya Liwale, Mkoani Lindi (LIWASA) imeombwa kuzalisha kwa wingi huduma ya...
Sijui mmegundua? Huyu jamaa ana mikogo na miondoko kama ya Barrack Obama.
Ukiachana na ile "nadharia" kwamba yeye mwenyewe mara zote hudhani ana sifa za kuwa Rais, nimebaini pia hata mwonekano...
Wanabodi,
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kila nipatapo fursa, huwa naendeleza zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo zina lengo la kukuza uzalendo na...
Demokrasia iliyopo Kenya kwa sasa ni darasa kubwa kwetu. Kenya wamepiga hatua kubwa sana ya kusimamia uchaguzi, na ndio faida na umuhimu wa tume huru ya uchaguzi. Kuwa na tume huru ya uchaguzi ni...
Habarini wana GreatThinkers nimeona niwaletee hii baada ya kuona na kufuatilia mwenendo wa nchi yetu tangu ipate Uhuru.
Mungu ametubariki nchi nzuri yenye kila aina ya resources na wakoloni...
Nawasalimu kwa jina la JMT.
Twende kwenye mada, ni hivi asilimia 65-70 ya Watanzania wanaishi vijijini ambapo ndio kusema wananchi wengi wa Tanzania wanaishi maeneo ya vijijini.
Ukija kwenye...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu ya Salaam za Mwaka Mpya, Imechapishwa kwenye gazeti la Nipashe la Leo.
Jana ndio tumeuanza mwaka mpya wa 2022, hivyo nianze kwa kuwatakia heri ya mwaka mpya...
Salaam Wakuu,
Napenda kujua ni namna gani Serikali imejipanga kuwajumlisha Watoto wa Mtaani kwenye Sensa ya Taifa ili na wao wapate nafasi ya kuhudumiwa kama watu wengine.
Serikali ya Jamhuri ya...
Zambia yenye watu milioni 18 iko kwenye sensa ambayo watu watahesabiwa kwa siku takribani 26! Tanzania yenye watu milioni 60 watu wamehesabiwa kwa siku saba!
Nianze Kwa kutaja miamba iliyoondoka chadema na sifa zao na hawakutakiwa kutoka!
David silinde, huyu jamaa alikuwa jemedari wa nyanda za kusini aliishika sana Tunduma, sijajua kwanini CHADEMA...
Kwa jinsi Zanzibar ilivyo, nadhani Ina ukubwa sawa na Dar es salaam. Lakini naona Rais Mwinyi kama ana "struggle " kuiongoza.
Kuna mawili, anataka publicity au ameshindwa kufit katika jamii ya...
Wote tunapenda afya njema, Amani na upendo pamoja na Uhuru wa kujieleza.
Ndani ya Serikali, awamu ya tano wote tulikubaliana kuwa tutaishi na corona, kama magonjwa mengine. Kwamba atujui hili...
Waziri wa Nishati January Makamba ajulishwe kuwa kwenye taifa siyo kila kitu ni cha kubinafisishwa kwa masilahi mapana ya taifa.
Umeme
Bandari
Reli
Viwanja vya ndege
Mbuga etc
Baba wa taifa Mwl...