ππ
Tazama siasa inayopigwa na hawa mabwana then njoo uniambie nafasi ya Upinzani iko wapi kwa sasa.
ππ
KINANA NA SHAKA WATEMBELEA SHAMBA LA MBEGU BORA ZA MAHINDI WILAYANI MISENYI
Makamu...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa amepiga marufuku walimu kupita kila Ofisi ya Halmashauri kutafuta huduma na ameagiza wapelekewe...
Katibu Mkuu wa UVCCM, Kenani Kihongosi.
Na Kevin Lameck
Tuna masikio mawili na mdomo mmoja, kwa sababu tunapaswa kusikiliza zaidi na kuzungumza kidogo.
Huu ni msemo maarufu sana kwa waswahili...
Leo, makada wengi wa chama pendwa walitarajia Shaka angetoa orodha ya walioteuliwa kugombea nafasi za Ubunge wa Afrika Mashariki, Lakini hakufanya hivyo.
Dalili zinaonesha kuna mkwamo mahali...
Kwa bahati babu, bibi, baba na mama yangu wote walikuwa ni walimu, na mimi mwenyewe nikafuata nyayo kwa miaka 10 kabla sijakimbia nilichoona kipindi kile cha zamani.
1. Makazi/Nyumba za walimu...
Habari wanabodi
Kwakuwa CHADEMA wanaendelea kupata ushawishi mkubwa miongoni mwa watanzania wengi na pengine kunaweza kuwa na hatari ya kupoteza kiti cha raisi mwaka 2015, ninatumia fursa hii...
Dunia nzima kiongozi wa namna hii huwa hana huruma.
Hawezi kujali kama wananchi wanahangaika juu ya ugumu wa maisha na ajira.
Atahakikisha wanakamuliwa kodi za kila namna bila ya huruma...
Ukweli ni kwamba, japo bei ya mafuta mwezi huu imetangwaza kushuka, bado wananchi hawataona tofauti ya maana katika bidhaa na wala hakuna uhakika kuwa huko mbeleni mafuta yataendelea kushuka kwani...
Kwenye nchi za Ulaya na Marekani ni rahisi sana kuona Waafrika (Siyo wamarekani weusi) wasio na historia na nchi za Ulaya ama Marekani wanapata nafasi za kisiasa kwenye nchi hizo. Lakini mpaka...
Rais Dr Mwinyi ameiagiza Zaeca kuwachukulia hatua mara moja wahujumu Uchumi waliotajwa kwenye ripoti ya CAG
Rais Mwinyi ameiagiza hayo wakati anamuapisha mkurugenzi mpya wa Zaeca mh Ali Ali...
French Revolution ilianza miaka ya 1789 hadi 1794 na sababu kubwa ni kwamba King Louis XVI alikuwa kwenye uhitaji wa pesa nyingi sana za kugharamia matumizu ya anasa ya Utawala wake, kitu kilicho...
Nimemsikiliza Shaka akiwa anaongea leo amesema kua Rais Samia Suluhu anastahili pongezi kwa kutoa uhuru kwa wananchi kutoa maoni yao, ushauri na kuimarisha uhuru wa vyombo vya habari,
Ni kweli...
Akizungumza kwenye hafla ya Miaka 10 ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC), Rais Mstaafu amesema ni muhimu kuhakikisha kunakuwa na sera nzuri zisizobagua na kuwanyima watu uhuru wao kwasababu hiyo ni...
Napenda kusema ukweli wa moyoni mwangu, mfano wangu wa kuigwa katika siasa za kizazi kipya nchini Tanzania ni Ndugu January Makamba.
Mi ni mwanasiasa mchanga, nipo kwenye mambo ya siasa tangu...
Nimejaribu kufanya uchunguzi na kugundua kwamba watanzania wana mapenzi sana na vyama vyao kuliko mapenzi kwa taifa lao.
Ukitaka kulielewa hili kirahisi ni pale utakapoweka hapa mjadala wote...
Naamini anajua kiiengeleza sasa namuwekea hapa maana yake.
Food security is the measure of the availability of food and individuals' ability to access it. According to the United Nations'...
Anaandika, Robert Heriel
Ni lini mtazamo huu utaondoka?
Nani atauondoa?
Mtazamo huu umefanya Watanzania wengi kuwa waoga wa kujadili Kwa Uhuru mambo yanayohusu nchi Yao hasa Kwa kuigusa moja Kwa...