1. Raila Odinga (KE): Amewania mara ya 5 na kuangushwa zote
Odinga, mwanasiasa mkonge na mpinzani wa muda mrefu alikuwa anaungwa mkono na Rais anayemaliza muda wake, Uhuru Kenyatta ambaye pia ni...
Nauliza tu ndugu zangu Wana teolojia ili nijiongezee uelewa kama hawa Wamachinga wapo tokea enzi za Yesu
Na kwamba ule muujiza alioutenda Yesu kuwalisha makutano 5000 hadi wakasaza chanzo chake...
Kama mtu ana uwezo na nia ya kuongoza anayo ni vema akaendelea.
Ndio sababu Nyerere alitawala miaka 24, Moi alitawala miaka 34, Museveni anakaribia 40 nk, nk.
Nashauri Mbowe, Prof Lipumba ...
Hali kwa Watanzania ni mbaya sana mifukoni kipindi hiki cha kupanda kwa bei za bidhaa zote na ongezeko la kodi.
Kuna miradi ambayo inaweza kusimama kwa muda hadi hapo vumbi litakapo tuwama. Kama...
Modestus Lumato, Mkurugenzi Mkuu EWURA amesema haya
Mwezi wa 9 kutakuwa na ahueni ya bei ya mafuta, yaani bei ya mafuta hata bila ruzuku itapungua, hatuwezi kujua yatapungua kwa shilingi ngapi...
Rais Samia akimsikiliza bwana Peter Sands ambaye ni mkurugenzi wa Global Fund alipozuru Ikulu ya Dar es Salaam pamoja na ujumbe wake.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu...
Mwigulu ni mteule tu na si sauti ya mwisho kwenye maamuzi ya nchi hii,suala la tozo limepigiwa kelele sana na watanzania wote kwa ujumla, CCM ilikua kimya, rais Samia mpaka sasa yupo kimya...
Imekuwa ni kawaida Kwa mawaziri kutengeneza Sheria ambazo zinawabana wananchi wakati wao wakiwa wanalamba asali. Changamoto hii anayo Sana Mwigulu Nchemba.
Toka awe anapewa posti amekuwa...
Hii ndio habari mpya ya Dunia.
Waziri Mkuu wa Uingereza Madam Liz Truss amekamilisha safu yake ya Baraza la Mawaziri huku sura za Waingereza wenye asili ya Afrika zikichomoza kwenye nafasi nyeti...
Salamu kwenu, nyote wenye kulitakia heri taifa.
Yahitaji maarifa ya CUBA kuelewa kwa namna gani CCM inamudu kusimamia serikali. Hii inakuja baada ya wajumbe wakuu wa Kamati kuu kuwa ni viongozi...
Tanzania inaweza kuwa na Chuo cha Kivita ambacho kitakuwa kinafundisha masuala ya kivita kwa maafisa wakuu wa jeshi.
Kwa sasa Tanzania inapeleka wanajeshi wake nje ya nchi kwa ajili ya kujifunza...
Upigaji wa fedha za miradi kwa sasa ni kawaida tu watu wanakula kwa urefu wa kamba zao
Jengo lingine hili hapa hata mwenge wa uhuru ulitaka kuzima uliposikia gharama zake
Kumesikika Uyui Tabora watu kutuhumiwa kula kwa urefu wa kamba zao.
Waziri Mkuu kaamuru wakamatwe kisha TAKUKURU wafanye uchunguzi. Hii imekaa je ikizingatiwa hawa ni watuhumiwa tu bado?
Hivi...
Waziri wa TAMISEMI ndugu Inocent Bashungwa, tumezisikia blah blah zako kuhusu walimu na matatizo yao ambayo ni sugu tangu Uhuru.
Walimu ndio waasisi wa Taifa hili lakini serikali ya CCM ndio...
Andiko hili limechochewa na habari ya kujinyonga kwa mwanajeshi William Chacha Giriago huko Dodoma, na malalamiko ya wastaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania ambayo yako kila siku, kuhusu wao kukosa...
Nauliza kwa nia njema kabisa, iweje Waziri anayehusika moja kwa moja na masuala ya mazingira na tabianchi asiendeke kwenye hilo kongamano na badala yake kaenda mtu wa nishati?!
Huyu member TumainiEl , wengi wetu wanafahamu kuhusiana na yeye kumtisha Ben Saanane, na haukupita muda Ben akapotea. Na baada ya kumwambia maneno yale “kwamba atajiukuta yuko mwenyewe na chatu”...
👇👇
Tazama siasa inayopigwa na hawa mabwana then njoo uniambie nafasi ya Upinzani iko wapi kwa sasa.
👇👇
KINANA NA SHAKA WATEMBELEA SHAMBA LA MBEGU BORA ZA MAHINDI WILAYANI MISENYI
Makamu...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa amepiga marufuku walimu kupita kila Ofisi ya Halmashauri kutafuta huduma na ameagiza wapelekewe...
Katibu Mkuu wa UVCCM, Kenani Kihongosi.
Na Kevin Lameck
Tuna masikio mawili na mdomo mmoja, kwa sababu tunapaswa kusikiliza zaidi na kuzungumza kidogo.
Huu ni msemo maarufu sana kwa waswahili...