Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Bila shaka nadhani kesho mama Samia aende na mzee Hafidhi katika sherehe za kuapishwa Rutto. Siti mbili zaidi kwenye ndege sio mzigo mkubwa Sana kwa taifa. Sio kwa sababu binafsi ila ni sababu za...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
1 Wafalme 12: 1-19 Wakati wa utawala wa Mfalme Rehoboam inakadiriwa ni miaka 700-900 KK, alipakwa mafuta baada ya kifo cha Mfalme Suleiman Babaye, huyu mwamba aliwakamua sana Kodi Waisrael ili...
16 Reactions
112 Replies
6K Views
Julai 27, 2021, kesi ya unyang’anyi iliyomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya iliendelea kusikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Arusha na shahidi wa tano wa Jamhuri...
1 Reactions
6 Replies
44K Views
Wanabodi, Jamani, Jamani, jamani, tupieni jicho maelezo yaliyopo kwenye katiba yetu (ibara ya 99 na 138) kufahamu utaratibu ambao unatakiwa kufuatwa kabla ya kutoza ushuru wowote, kodi au tozo.
2 Reactions
1 Replies
558 Views
Rais Uhuru Kenyatta atakuwa akipokea angalau Tsh. Milioni 668.5 kama sehemu ya malipo yake ya kustaafu baada ya kukaa madarakani kwa miaka 10. Kulingana na marupurupu yaliyoainishwa katika Sheria...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu kama kichwa kinavyosema, naomba kujua je, wakati wa Nyerere ie. 1961-1985 kulikuwa na uchaguzi ngazi ya Rais? Kama ilikuwepo je, Nyerere aligombea dhidi ya nani? Nawasalimu katika jina la...
0 Reactions
17 Replies
992 Views
Wanabodi, Kufuatia kazi nzuri inayofanywa na rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, kuna baadhi ya watu wanamkubali sana hadi kufikia kiwango cha kama kumuabudu fulani!, na humu JF, nimenote...
13 Reactions
34 Replies
4K Views
Nimepanda treni ya Kigoma - Dar mwaka 2021, na nilijisemea sitakuja kupanda tena kwa namna treni hii ilivyo na huduma mbovu na za aibu. Ninatumia usafiri wa ndege Air Tanzania mara kwa mara kwa...
7 Reactions
51 Replies
3K Views
Habari za muda huu ndugu zangu wa jamiiforums Ukibahatika kukutana na Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan "face to face" utamuuliza swali gani la msingi? Rais wa sasa wa Jamuhuri ya...
10 Reactions
250 Replies
17K Views
Kesi namba 2 ya mwaka 2022 ya uhujumu uchumi inayomkali Lengai Ole Sabaya imetajwa tena leo katika mahakama ya hakimu mkazi Moshi mbele ya hakimu mfawidhi Salome Mshasha ambapo hoja mbalimbali...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naomba fikra zenu Wana JF! Kwanza poleni kwa msiba mzito wa mtawala wetu wa kihistoria wa Tanganyika! Tuendelee kuomboleza! Somo pendwa la historia kule shuleni, linatufundisha kuwa Watanzania...
0 Reactions
0 Replies
510 Views
Wananchi Walitetea Jeshi,wataka wazazi Kutolinda Wahalifu
1 Reactions
2 Replies
863 Views
Katika Mambo ya Kihuni kuwahi kuyashuhudia ni hili la Leo la Aliyekua Mbunge wa CHADEMA, Joseph Mbilinyi au Sugu. Ana Siasa Chafu sana nawapongeza Polisi wanatumia weledi sana na hatimaye...
9 Reactions
78 Replies
9K Views
Majuzi niliona taarifa kuwa wenzake Sabaya waachiwa huru baada kukiri makosa na kuelewana na DPP kulipa Tsh 1,050,000/= na hivo kutolewa hatiani! Usishangae! Sio kama Sabaya hapendi kuwa huru...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Waafrika angalieni waziri wa fedha wa nchi yenye uchumi mkubwa zaidi duniani anavyosafiri akiwa nchini mwake. Mkumbuke huyu ndiye namba mbili nchini mwake kuidhinisha mabilioni ya dola za...
11 Reactions
43 Replies
6K Views
Tozo ilivyojenga ofisi ya 11,000,000, unaambiwa ni ofisi ya kisasa zaidi. - Waziri Mkuu Majaliwa akiwa ziarani Wilayani Uyui, Tabora amekagua ujenzi wa Chuo kipya cha VETA na ameonesha...
6 Reactions
209 Replies
14K Views
Siku hizi imegeuka tabia. Mimi nasema ni tabia isiyo na afya ya serikali kutoa taarifa kwa umma usiku wa manane. Hili ni jambo la kushangaza sana, najiuliza ni kitu gani kimeisibu serikali...
16 Reactions
45 Replies
3K Views
Nakubaliana na Kigwangalla kwenye hili. Tatizo letu kubwa kwenye mradi huu ni wizi wa viongozi wa mradi. Je wanaibaje? Viongozi wanaojinufaisha na mradi huu hawataki kata kata utumiaji wa kadi za...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hii ndio taarifa ya dharula iliyosambazwa kwa Wananchi wote na chama chake , kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Mh. Tundu Lissu, Mgombea Urais wa CHADEMA kwenye uchaguzi wa 2020, ambaye hotuba...
19 Reactions
65 Replies
4K Views
Muda mfupi baada ya hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya hakimu mkazi Moshi, Salome Mshasha kuahirisha kesi inayomkabili aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na ndugu zake...
5 Reactions
57 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…