Ukurasa wa The Economist imeeleza namna Watanzania walikuwa na matumaini kuwa Samia Suluhu Hassan angeingiza jamii iliyo wazi zaidi. Sasa utawala wake wenye ukandamizaji unahatarisha mafanikio ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses...
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu gazeti la mwananchi la leo
https://www.mwananchi.co.tz/mw/kolamu/kwa-nini-tunahitaji-kuulinda-uhuru-wa-vyombo-vya-habari-5417540
Hili ni Swali: Media tukiendelea...
Wanabodi
Leo ni Siku ya Kimataifa ya kuadhimisha Uhuru wa Habari. Kwa Tanzania, maadhimisho rasmi yanafanyikia jijini Mwanza, katika kuadhimisha siku hii kwa Tanzania tunaadhimisha nini haswa...
Viongozi wa vyama 13 vya upinzani nchini wamesisitiza msimamo wao wa kutokukubaliana na baadhi ya wananchi, wanasiasa, wadau wa masuala ya haki na wanaharakati nchini kutaka iundwe tume huru...
Maafisa Biashara wa Halmashauri wakija kwenye eneo la Biashara au Uzalishaji hawana msaada wowote kwenye biashara kama vile kukusaidia maboresho ya mazingira ya kazi, masoko na namna nzuri ya...
1. Hawezi kuja na hoja zenye uelekeo thabiti wa mabadiliko bali huja na mawazo ya Jumla Jumla tu.
2. Wakati wa kampeni zilitoka tuhuma dhidi yake za hisa kwenye mashimo ya dhahabu. Hazikujibiwa...
Kamati ya Bunge Yashauri Serikali Kukamilisha Ujenzi wa Ofisi za TAKUKURU
Dodoma – Kamati ya Bunge imeitaka Serikali kuhakikisha inakamilisha ujenzi wa ofisi za Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na...
Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Revocatus (Baba Levo), amesema hayo Mei 2, 2026 wakati akifanya mahojiano katika kipindi cha Medani za Siasa kinachoongozwa na Mwandishi wa habari Edwin Odemba
Bahati mbaya sasa ni kuwa Lissu na Chadema wachache sana ndio wanaweza kupigania utawala bora, haki, Ajira na kutoa dira ya kiuchumi ya Taifa.
CCM naamini hawakupanga kufanya mauaji. Ila naamini...
Kuna jirani yangu ameniletea habari kutoka mitandaoni bahati mbaya au nzuri huwa sina muda wa mambo haya ya mitandao, akanambia naomba unieleweshe.
Ripoti ya Chande kuhusu mauaji ya 29, Oktoba...
Rais wa Namibia mwanamama Netumbo Nandi-Ndaitwah ameiongoza nchi hiyo kufikia hatua muhimu ya kiuchumi kwa kukamilisha malipo ya deni la Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF). Namibia imelipa jumla...
Ama kwa hakika CHADEMA inatisha, Leo hii ukumbi wa Landmark Hotel umetapika wasomi kwenye kongamano la. Chaso kiasi cha kuhatarisha hata usalama wa wahudhuriaji
Ama kweli Bila Polisi CCM ni...
Rais wa Namibia mwanamama Netumbo Nandi-Ndaitwah ameiongoza nchi hiyo kufikia hatua muhimu ya kiuchumi kwa kukamilisha malipo ya deni la Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF). Namibia imelipa jumla...
Iko hivi, Jana kulikuwa na mambo mawili, ukiacha Mei Mosi iliyopuuzwa na kila mtu, Moja ilikuwa upuuzi wa Ndondi uliopachikwa jina la knock out ya Mama, Na lingine ilikuwa Tamasha la kimataifa la...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Rais Samia ni Kiongozi Wa aina yake ,ni kiongozi mwenye Ushawishi haijapata kutokea Barani Afrika Katika Miaka ya hivi karibuni, ni kiongozi mwenye Uwezo Mkubwa...
Amani ya Bwana ikawe kwa kila mmoja popote mlipo
Rejea mada tajwa hapo juu
Mungu anataka Lissu achiliwa haraka sana ndani ya siku 21 ni amri kuu sio ombi.
Ujumbe huu ukamfikie kila mmoja na...