Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi wa Polisi Mkoa, Janeth Magomi, Kilipuzi hicho kilipatikana kwenye chumba maalum kinachotumiwa na wateja wa Fedha Nyingi (Bulk) na mtuhumiwa mkuu amekamatwa Kamanda...
2 Reactions
36 Replies
8K Views
Kwa sasa nchi yetu imekumbwa na taharuki kubwa hasa kwa watumiaji wa samaki baada ya kauli ya Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango pamoja na maelezo yaliyotolewa na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi...
0 Reactions
0 Replies
808 Views
Akihojiwa na Sexless , mvuvi (jina kapuni) amesema "Sato na Sangara wana minofu mikubwa kutokana na maumbo yao. Mara nyingi wamekuwa wakioza wanaposafirishwa toka Mwanza mpk mikoa mingine kwa...
21 Reactions
110 Replies
8K Views
Ukipitia maandiko mbalimbali kwenye mitandao mingi, mara nyingi utasikia eti Mzungu anamdharau au hamthamini mtu mweusi. Baadhi wamefikia mpaka kuhoji eti kwa nini waafrika wahudhuria maziko ya...
13 Reactions
13 Replies
970 Views
Ndugu zangu huo ndio ukweli na uhalisia wenyewe maana Kuna watu wanasema kuwa uchaguzi wa Tanzania kwa upande wa Urais unatabirika mshindi wake kutokana na katiba iliyopo. Mimi nasema hawapo...
5 Reactions
74 Replies
3K Views
Serikali ya kijambazi, kifisadi, kihuni ndiyo inayoweza fanya hivi kwa wananchi wake. Inaiba pesa za wananchi wake maskini kwa kupachika tu majina ya kihuni. Watu wameamua kurudisha pesa...
9 Reactions
58 Replies
4K Views
Tanzania taken to EAC court over pick of judge Sunday April 7 2019 Advertisement By Zephania Ubwani @ubwanizg3 news@tz.nationmedia.com Dar es Salaam...
9 Reactions
40 Replies
6K Views
Kwa Tanzania hiki ni kizazi bora sana kimechanganyika uzamani na usasa Hiki kizazi 90%hakijafaidi keki ya taifa Hiki ndicho kizazi kilichobeba matumaini ya Tanzania Tatizo ni kwamba...
13 Reactions
73 Replies
3K Views
M. M. Mwanakijiji We believe it is there. We act as if it does exist in perpetuity and the very attempt of questioning its relevance is met with a forceful and reliablee opposition. Peace. We...
4 Reactions
48 Replies
5K Views
Wana JF, SALAAM! Nawauliza kuna tatizo gani nchini KWETU hususan kwa hawa wanaojiita watetezi wa wananchi kupitia forums za vyama vya siasa. Naona kila jambo linaloanzishwa na Serikali liwe zuri...
2 Reactions
7 Replies
809 Views
Najaribu sana kufikiria, je Afrika utapataje maendeleo endapo Kila kitu ambacho tunachotaka kufanya cha maendeleo yetu ulaya inapinga, inatoa vijisababu vya ajabu ajabu mpaka unakosa majibu Nia...
1 Reactions
0 Replies
593 Views
Salaam wakuu, Hivi karibuni tumeshuhudia Meli zikianza kubeba Makaa ya Mawe kutoka Mtwara. Watu wakadai Makaa ya Mawe Tanzania inayauza kwa kila tani moja ni Elfu sitini za kitanzania huku Soko...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Teuzi nyingi ndani ya serkali yetu pendwa wastaafu waliowengi ndio wanaotuhumiwa katika kashifa mbalimbali mfano kinana na wengine Mimi sina kinyongo kuhusu kuteuliwa kwako lakini je ni kweli ni...
2 Reactions
10 Replies
890 Views
HOTUBA YA MHESHIMIWA MOHAMMED DEWJI YA MKUTANO MKUU WA CCM WILAYA YA SINGIDA MJINI TEREHE 25/04/2009. ASSALAAM ALAYKUM ! BWANA ASIFIWE ! TUMSIFU YESU KRISTO ! HABARI KII , AMUCHA ...
0 Reactions
136 Replies
17K Views
Malalamiko Mara tozo Mara sijui umeme kukatika mafuta kupanda tusisumbuane. Watanzania ndio tatizo zaidi siku za uchaguzi zikifika mnajifanya hamnazo hampigi kura na wengine mkipiga mnapigia ccm...
23 Reactions
61 Replies
3K Views
Kwa foleni ya magari iliyopo Dar es salaam na wakati mwingine barabara za mwendo kasi zinakuwa wazi sioni kama ni sahihi kwa kuzuia polisi au watumishi wa vyombo vya dola ambao wanauharaka wa...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Rais wa Marekani Joe Biden na Samia Suluhu wa Tanzania ni miongoni mwa viongozi waliowasili jijini London tayari kuhudhuria mazishi ya kitaifa ya Malkia Elizabeth II siku ya Jumatatu. Viongozi...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
  • Closed
Kumbe amekwenda kule kama Nani? Huyu mama yani kufika tu London kaanza kuongea na cleaner wa mfalume Charles, anaanza kumweleza shida zake sijui anafikiri kila mzungu ni tajiri. Kha...
15 Reactions
139 Replies
8K Views
Habari hii ina ukakasi wa kutosha: Ni vipi makamu wa rais kushindwa kutoa sababu bayana kwanini bei za mafuta Zanzibar, ni chini kuliko bara kwahakika inashangaza.
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Asema hayumbishwi, anasubiri kamati ya Mwinyi John Dotto, Tabora na Joyce Mmasi WAKATI Spika Samuel Sitta ameeleza kushangazwa na kitendo cha katibu mkuu wa CCM, Yusuf Makamba kummwagia...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…