Anashindwaje wakati sababu kuu ni wingi wa Kodi na tozo zinazofikia ah.900 kwa Lita 👇Habari hii ina ukakasi wa kutosha:
View attachment 2360314
Ni vipi makamu wa rais kushindwa kutoa sababu bayana kwanini bei za mafuta Zanzibar, ni chini kuliko bara kwahakika inashangaza.
Zanzibar ni special case.
Hili ndio jibu sahihi,kupanga ni kuchagua,wao wamechagua hivyoSimple tu
Zanzibar ni nchi
Habari hii ina ukakasi wa kutosha:
View attachment 2360314
Ni vipi makamu wa rais kushindwa kutoa sababu bayana kwanini bei za mafuta Zanzibar, ni chini kuliko bara kwahakika inashangaza.
Mkuu ni ukweli usiopingika kwamba Zanzibar wana serikali yao na bunge lao ambalo linaitwa Baraza la Wawakilishi. Hii ni kwa mujibu wa katiba iliyopo ya JMT.
Kwa afrika au unamanisha duniani koteTokea lini siasa ikawa na majibu ya kueleweka?
Linavyokenua meno yale pale kwenye picha utadhani yale majibwa ya kizungu. Yanakera haya majitu.Anashindwaje wakati sababu kuu ni wingi wa Kodi na tozo zinazofikia ah.900 kwa Lita
Mkuu ni ukweli usiopingika kwamba Zanzibar wana serikali yao na bunge lao ambalo linaitwa Baraza la Wawakilishi. Hii ni kwa mujibu wa katiba iliyopo ya JMT.
Mkuu hili la kulamba asali ni la kwako. Mimi nimesema kwamba ni kweli Zanzibar ina serikali yake na bunge lake. Hili la katiba mpya, mimi kwa maoni yangu nasema Zanzibar sasa wanahitaji katiba mpya kuliko wakati mwingine wowoteMkuu angalau sasa nimeelewa kumbe ninyi kupitia bunge lenu na serikali yenu wenzetu mnalamba asali.
Nashawishika kuurejelea uzi huu ambao ama kwa hakika sasa naweza kukubali kuwa haukuwa mbali na ukweli:
Yawezekana Zanzibar hawahitaji Katiba Mpya sasa
Ukweli mchungu, makwetu hali ni tete!