Busara itumike matumizi ya barabara za mwendo kasi. Kuzuia polisi na vyombo vya dola kunaweza kuleta athari katika kudhibiti uhalifu

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Kwa foleni ya magari iliyopo Dar es salaam na wakati mwingine barabara za mwendo kasi zinakuwa wazi sioni kama ni sahihi kwa kuzuia polisi au watumishi wa vyombo vya dola ambao wanauharaka wa kwenda kutimiza majukumu ya kudhibiti uhalifu.

Piga picha utafakari kuna ghasia au benki imevamiwa mahala popote Dsm na kuna foleni , askari wakitaka kuchepuka ili kutumia barabara ya mwendo kasi kudhibiti uhalifu ni kosa? La hasha.

Tusipende kufanya maamuzi kisa tu kuna kelele za wapuuzi wachache huko Twita ambao hujiona wajuaji wakati ni wapuuzi tu

Idugunde nikiwa Kayenze Mwanza.
 
Kwa foleni ya magari iliyopo Dar es salaam na wakati mwingine barabara za mwendo kasi zinakuwa wazi sioni kama ni sahihi kwa kuzuia polisi au watumishi wa vyombo vya dola ambao wana uharaka wa kwenda kutimiza majukumu ya kudhibiti uhalifu...
Bogus kweli wewe. Eti hapa na wewe umewaza.
 
Polisi waachiwe tu watumie hizo njia.

Hakuna madhara yeyote pale wanapokuwa kwenye shughuli maalum za kiusalama.

Yule aliyewazuia hakutumia busara kabisa.
 
Sasa hapo umedadavua nn wewe sukuma gang? Zile barabara ni kwaajilli ya mwendokasi mengine ni ujinga tu
Kwani polisi wakitumia kwa dharura wakati kuna foleni na wanawahi kudhibiti uhalifu watazitafuna?
 
Sheria ndio mongozo mzuri na sio mabavu
 
Attachments

  • IMG-20220916-WA0001.jpg
    IMG-20220916-WA0001.jpg
    48.6 KB · Views: 4
Idiot Idugunde Idiot Idugunde Dugunda
Kwa foleni ya magari iliyopo Dar es salaam na wakati mwingine barabara za mwendo kasi zinakuwa wazi sioni kama ni sahihi kwa kuzuia polisi au watumishi wa vyombo vya dola ambao wanauharaka wa kwenda kutimiza majukumu ya kudhibiti uhalifu.

Piga picha utafakari kuna ghasia au benki imevamiwa mahala popote Dsm na kuna foleni , askari wakitaka kuchepuka ili kutumia barabara ya mwendo kasi kudhibiti uhalifu ni kosa? La hasha.

Tusipende kufanya maamuzi kisa tu kuna kelele za wapuuzi wachache huko Twita ambao hujiona wajuaji wakati ni wapuuzi tu

Idugunde nikiwa Kayenze Mwanza.
 
Kwa foleni ya magari iliyopo Dar es salaam na wakati mwingine barabara za mwendo kasi zinakuwa wazi sioni kama ni sahihi kwa kuzuia polisi au watumishi wa vyombo vya dola ambao wanauharaka wa kwenda kutimiza majukumu ya kudhibiti uhalifu.

Piga picha utafakari kuna ghasia au benki imevamiwa mahala popote Dsm na kuna foleni , askari wakitaka kuchepuka ili kutumia barabara ya mwendo kasi kudhibiti uhalifu ni kosa? La hasha.

Tusipende kufanya maamuzi kisa tu kuna kelele za wapuuzi wachache huko Twita ambao hujiona wajuaji wakati ni wapuuzi tu

Idugunde nikiwa Kayenze Mwanza.

Sawa benk imevamiwa, moto unateketeza mahali, mgonjwa anawahishwa, majambazi au wahalifu wanafuatiliwa hizo ni dharura ambazo kimsingi taarifa ya hizo dharura inakuwa imekwishatolewa! Hapo watuzuiwaje??
Ishu inakuja askari wanetoka kufanya patrol, wanarudi kituoni hapo kuna dharura gani? Kama ipo si watachepuka tu chap na kuwajulisha wahusika? Shida hao askari wanapita huko hata wakiwa wanarudi vituoni ama wakiwa katika majukum ambayo si dharura!

Wakiruhusiwa kupita hovyo hao mwisho wa siku ikitokea ajali, mtasema ni uzembe wa wasimamizi!
Lile tamko la Magufuli kuwa tairi zing'olewe nililikubali sana!
Mbona enzi za Magufuli hakukuwa na huu upumbavu wa kupita mwendokasi.
 
Kwa foleni ya magari iliyopo Dar es salaam na wakati mwingine barabara za mwendo kasi zinakuwa wazi sioni kama ni sahihi kwa kuzuia polisi au watumishi wa vyombo vya dola ambao wanauharaka wa kwenda kutimiza majukumu ya kudhibiti uhalifu.

Piga picha utafakari kuna ghasia au benki imevamiwa mahala popote Dsm na kuna foleni , askari wakitaka kuchepuka ili kutumia barabara ya mwendo kasi kudhibiti uhalifu ni kosa? La hasha.

Tusipende kufanya maamuzi kisa tu kuna kelele za wapuuzi wachache huko Twita ambao hujiona wajuaji wakati ni wapuuzi tu

Idugunde nikiwa Kayenze Mwanza.
km kuna umuhimu huo basi sheria za matumizi ya barabara hizo zifanyiwe amendment ili hilo unalosema liwezekanae otherwise sheria ni sheria, hii nchi kuna watu hawajui km taasisi za usalama nazo zinatakwa kufuata sheria, hilo ni tatizo kubwa
 
Back
Top Bottom