Hofu ya maji ya maiti kuhifadhia samaki nini hatma yake

saidoo25

JF-Expert Member
Jul 4, 2022
602
1,407
Kwa sasa nchi yetu imekumbwa na taharuki kubwa hasa kwa watumiaji wa samaki baada ya kauli ya Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango pamoja na maelezo yaliyotolewa na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdalah Ullega kuhusiana na matumizi ya maji ya kuoshea maiti.

Kwanini Mamlaka za kisayansi ikiwemo Maabara ya Taifa ya Uvuvi, Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi- TAFIRI na Mamlaka ya Chakula na Dawa- TMDA hazijatoa kauli yoyote kuhusiana na sintofahamu hiyo ambayo inaweza kuharibu kabisa biashara ya samaki kwa soko la ndani na soko la nje.
 
Back
Top Bottom