Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 2,792
- 11,947
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na MIchezo Dkt. Abbas anafunga kikao cha maudhui ya ndani leo Septemba 16, 2022 wakati wa Warsha ya Kuhamasisha Uandaaji, na Uzalishaji wa Maudhui ya Ndani iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ambapo Waziri wa Habari na Mawasiliano Nape Nnauye alikuwa mgeni rasmi.
Waziri (kupitia katibu wake)anaipongeza sekta ya habari kwa harakati ya kuhakikisha kunakua na maudhui yayoendana na mila na desturi, na tamaduni zetu.
Suala la maadili sio utashi wa TCRA, ni jambo ambalo lipo katika ngazi ya kitaifa na jamii inakubaliana na hilo. Public Morals, Maadili ya Umma. Tuna wajibu wa kulinda maadili ya umma sio jambo la kulifanyia mzaha.
Suala la kusema maadili yetu ni yapi ni suala jingine. Suala la maadili ya umma linafahamika. Kuna watu ni lazima uwape types za maadili, au characteristics za maadili.
katika jamii yetu yako mambo ambayo ukiyafanya jamii inakushangaa uwe kiongozi au mtu wa kawaida. Sio kila jambo unahitaji definition au kupewa types. Katika jamii iliyostaarabika inajua kusambaza au kutengeneza maudhui ya namna hii jamii itakushangaa.
Maudhui yetu mengi ni shida, kuna changamoto kubwa kwenye matumizi ya lugha, siyo kingereza au kiswahili, matusi ni mengi sana hasa kwenye maudhui ya mitandao, tunaseti ajenda gani kwenye vizazi vijavyo.
Lazima kuwe na gate keepers wa kuchuja, kunawm watu watasema hilo siyo tusi hivyo lazima kuwe na gate keepers wa kuchuja,wakati fulani siyo matusi ni dhihaka na yanabebwa kama yalivyo. Mfano neno kolo, utopolo nini maana yake?! Wewe mwanahabari kubeba neno kama hili siyo sahihi.
Huenda tunakoiga vinakubali vile tunavyochukua lakini kwa hapa kwetu vinakuwa havifai. Changamoto nyingine ni habari nyingi za uongo, uzushi, uzabizabina na kiroho papo, mtu anachukua habari na kuibwaga kama ilivyo vila kuthitisha.
Kuna mtu alisema/alinizushia jamaa alipata zero hadi nikajiuliza huyu jamaa aliniongelea mimi au, ndio huru lakini mafikiri uhuru unamipaka.
Kwa wenzetu ukifanya uongo unapigwa faini milioni kumi unaishia, sasa huku kwenda mahakani unamdai hana nauli ya kwemda mahakamani kumdai bilioni 2 itakuwaje. Kuna changamoto lakini wapo wanaofanya vizuri lugha mujarabu, mizania iko vizuri.
Mwaka huu tumerudisha tuzo za mziki ambazo zilikoma mwaka 2015, na kuendeleza tuzo za filamu zilizoanzishwa mwaka jana. Umuhimu wa kujenga ajenda za taifa kwenye maudhui yetu. Mfano hamasa ya sensa.
Tanzania imekuwa makao makuu ya harakati za ukombozi wa africa na imepewa mradi wa kukumbushia ukombozi wa bara la afrika, lakini pia itajenga maktaba ya afrika ya historia ya ukombozi.
Mandonga alishinda pambano la sensabika kwa kuwa alikuwa ana hamasisha sensa. Na sensa ni kushinda sio kushindwa ndio sababu alishinda.
Wizara iko tayari katika safari hii ya kuwa na maidhui ya maana na iko tayari kutoa ushirikiano na wadau wengine kuhakikisha jambo hili linasonga mbele vizuri