Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni wakati muafaka sasa watu hawa walipe kodi ili kuifikia nakisi ya bajeti iliyopitishwa mwezi juni. Huu ndio uzalendo wa kitanzania unaohitajika.
6 Reactions
16 Replies
1K Views
PSSSF yakanusha tuhuma za Viongozi wake kujikopesha pesa za kujinunulia magari kinyume na taratibu. Awali mnamo 16, Sep 2022 Sekretarieti ya Maadili ilitoa Taarifa ya kuwaita Viongozi hao...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Huu uonevu kwa nchi za Africa sijui itaisha lini? Msibani kwa Malkia Elizabeth hadi akina Manangwa wa Zimbabwe wamekataliwa kwenda Mungu ibariki Africa
8 Reactions
71 Replies
6K Views
Nawasalimu woote Kwa jina la JMT Moja Kwa Moja KWENYE mada Mauzo ya bidhaa zetu nje ya nchi yameongezeka sana. Kilio Cha tozo serikali imekisikia na Sasa tuna Ari ya kuchangia maendeleo yetu...
0 Reactions
0 Replies
656 Views
LEO BUNGENI DODOMA MAJALIWA AWATOA HOFU WADAU MRADI WA UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA Waziri mkuu Mhe. Kassim Majaliwa awatoa hofu wadau wa mazingira na wa haki za binadamu kuhusu utekelezaji wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Harakati za kudai mageuzi ya demokrasia katika nchi yetu yalianza miaka miaka mingi iliyopita. Hatimae Kwa shinikizo la mataifa makubwa tukakubali kuruhusu mfumo wa vyama vingi ndani ya muundo...
7 Reactions
48 Replies
2K Views
Kwanza kabisa masuala ya uchumi WA nchi hayapaswi kuwa chini ya mtu mmoja....zamani tulikuwa na Tume ya mipango ambayo waziri alikuwa sehemu ya tume hiyo...jopo la tume hiyo ndo lilikuwa...
26 Reactions
34 Replies
3K Views
Ndugu Zangu huo ndio uhalisia wa mambo Wenyewe, Ukiona Namna Nchi ilivyo Tulia kwa Sasa na namna mh Rais Samia anavyoungwa mkono na Watanzania wa vyama vyote, Tambua ya kuwa ni sababu ya Tabia ya...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Dkt. Tulia Ackson ameihoji Serikali akitaka kujua nani anapaswa kuhakikisha michango ya mafao inayokatwa kwa wafanyakazi inapelekwa katika Mifuko ya Hifadhi ya Jamii. Pia ameitaka Mifuko...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wewe! Wewe Makinika! Wanyamwezi wa jimbo la Igalula sio wajinga!wanaziona sarakasi zako! Tumia akili Serikali imejitahidi kufikisha umeme vijijini Sasa ni jukumu lako kuhakikisha unasambazwa...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Kongamano la 12 la Chama cha FRELIMO katika Ukumbi wa FRELIMO - Eneo la Matola nchini Msumbiji leo tarehe 23 Septemba, 2022.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hii nchi Data zinapikwa vibaya mno na sijui.kama kuna Taifa Data zinapikwa kama Tanzania na mbaya Kiongozi haoni aibu kusimama na kusoma Data ambazo yeye mwenyewe anajua fika ni za kupikwa...
0 Reactions
3 Replies
736 Views
Kuna mjadala unaendelea ITV hapa kuhusu tatizo la panya road kuibuka tena, watu wanatiririka maoni yao hapa ila muongozaji wa mdahalo ambaye ni mtangazaji Maulid Kambaya ni kama akisikia mtu...
7 Reactions
11 Replies
1K Views
Haya hapa ni baadhi: 1. Kufanya udanganyifu juu ya chanzo cha fedha za utekelezaji wa miradi ya serikali. 2. Kuamuru ubomoaji wa nyumba za raia wa Kimara wakati wengine walikuwa na zuio la...
29 Reactions
241 Replies
14K Views
Vigezo vilivyotumika kuchagua: 1. Mchango wake katika kudumisha uhuru na umoja wa waafrika 2. Mchango wake katika kuwaunganisha watu wa taifa lake na mataifa jirani 3. Uthabiti katika kupigania...
33 Reactions
429 Replies
20K Views
Imeelezwa kuwa Panyaroad ni zao la Ufisadi, Wizi, Ujambazi na ubadhilifu mkubwa unaofanywa serikalini na kuwanyima wengine fursa Kwamba Panyaroad na Panya Book ni Mtu yule yule akitenda uhalifu...
3 Reactions
7 Replies
684 Views
Muswada huo umesomwa Leo Septemba 23, 2022 Bungeni Dodoma ambao unalenga kuweka misingi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi za wananchi, Kuweka Kiwango cha Chini cha Matakwa ya Ukusanyaji na Uchakataji...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
SHAKA ;RAIS SAMIA AMEWAUMBUA WALIOBEZA MIRADI YA KIMKAKATI. Ataja kukamilika kabla ya wakati ujenzi wa daraja la Wami ni kielelezo cha uwezo wa serikali ya awamu ya sita Na Mwandishi Wetu,Pwani...
6 Reactions
69 Replies
5K Views
HII NI HUJUMA NA MATUMIZI MABAYA YA FEDHA ZA WANANCHI. Hebu tutazame kiasi gani cha fedha zitafujwa kupitia hii Kamati kwa kitu ambacho jibu liko wazi,tozo ni "Poll Tax," kwa hiyo wananchi...
8 Reactions
39 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…