Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wapwa Akiwa hapa Ifakara kwenye kampeni zake, Lissu anaendelea kutema cheche Anasema kila Mtanzania ana hadithi yake ya maumivu. Ameomba kura kutoka vyama vyote na kuahidi mambo mengi ikiwemo...
37 Reactions
134 Replies
11K Views
Wananchi tumemuona ndani ya hii miaka hii 5 ya utawala wake kuwa ni mtawala ambaye hawasikilizi wananchi wake wanataka nini na analoamua yeye ndiyo huwa. Tujikumbushe maneno ambayo amewahi...
0 Reactions
0 Replies
725 Views
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brg. Mwangela amewaonya raia wote wanaotaka kulinda kura zao baada ya zoezi la kupiga kura. Brg. Mwangela amenukuliwa akisema "Unapokwenda kulinda kura aga kabisa...
19 Reactions
84 Replies
8K Views
Ndugu zangu,watu wanamtazama Lissu tu, lakini Kuna kijana anaitwa Salum Mwalimu. Huyu Salum anafanya maangamizi kwa CCM balaa. Anajua kuongea, ana hoja, anasikilizwa, anachambua. Kwa kifupi...
66 Reactions
79 Replies
8K Views
Mkuu wa wilaya ya Wanging'ombe mh Kanoni amepiga marufuku sherehe zote zilizopangwa kufanyika wilayani kwake tarehe 26 na Oktoba kupisha Uchaguzi Mkuu. Mh Kanoni ametaja sherehe hizo kuwa ni...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
25 Oktoba, 2020 NASAHA ZA MWENYEKITI WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA – TANZANIA ZA KUSHAURI KILA MGOMBEA NA ZA KUSHAURI KILA CHAMA CHA MGOMBEA WAWE KISAIKOLOJIA NA FIKRA TULIVU ZA UTAYARI WA KUPOKEA...
14 Reactions
62 Replies
8K Views
Huyu Kamanda ni miongoni mwa wapambanaji wanaofahamika jijini Dar es Salaam, ni mpigania haki asiye na shaka yoyote. Wana Rombo wakibahatika kumpata itakuwa baraka kubwa sana. === Mwenyekiti wa...
10 Reactions
15 Replies
3K Views
Kaandiki hivi kupitia mtandao wa twitter: Barua inayosambaa ya tarehe 24/9 ya kujiondoa kwenye mbio za Urais ni ya kweli. Niliandika baada ya kutofautiana na msimamo wa Viongozi wangu wa kutaka...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Alipoitoa crdb mpaka alipoifikisha mpaka anastaafu ni rekodi safi kabisa msifanye makosa hapa alikuwa anafafanua ni jinsi gani atawasaidia kuanzisha kiwanda cha kusindika ndizi ukizingatia zao...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Bila kupepesa macho naweza kusema sasa macho ya wanakigamboni yanawaangalia wanasiasa vijana wawili Paul Makonda wa CCM na Yericko Nyerere wa CHADEMA kama wagombea watarajiwa wa ubunge. Mungu...
17 Reactions
164 Replies
19K Views
Wakuu nawasalimu, Naomba muelewe kitu kimoja kuwa sio kila mtu anaweza kuwa Rais wa JMT hili mliweke akilini. Kwa ufupi tu hata kama Lissu akishinda uchaguzi na CCM kuamua kukubali kushindwa na...
26 Reactions
362 Replies
21K Views
Kuna baadhi ya viongozi wa CCM wanaenda kwa wamiliki wa shule/ vyuo binafsi kuwatisha. Wanawaambia kuwa endapo ikibainika Lissu anaongoza kwa kura ktk vituo vya kupigia kura vilivyo jirani ama...
31 Reactions
61 Replies
5K Views
Amani iwe nanyi Wadau. kama wote mnavyojua leo ndo siku ile ambayo watanzania kwa pamoja wameweza kushuhudia hotuba ya kwanza kutoka kwa gwiji la upinzani, ndugu Tundu Antipas Lissu. Hotuba...
52 Reactions
341 Replies
24K Views
Kuna stress kubwa sana wakati wa kufuatilia matokeo ya kura na hasa kama mgombea wako anashindwa kila sehemu. Wengine stress hizi zinawaumiza sana kiafya na hata kukatisha maisha yao depending na...
0 Reactions
0 Replies
620 Views
Askofu Gamanywa amesema kuna watu wanamzushia kuwa yeye ni usalama wa taifa ila kiukweli yeye ni " usalama wa mbinguni" Anasema yeye huwa habwabwaji kwa sababu yuko well informed na ndio sababu...
3 Reactions
82 Replies
6K Views
TUCHAGUENI OKTOBA 28 TUWEKEZA KWA WATU, KISHA WATU WAWEKEZE KWENYE VITU"BI.HAMIDA ABDDALLH" MGOMBEA MWENZA CUF KILWA KUSINI-KIVINJE Tutahakikisha haki sawa na furaha kwa wote! Haki ya Elimu...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zangu nawasalim wote wakubwa kwa wadogo kupitia yule atupae pumzi. Kichwa cha habari hapo juu chahusika na tukiwa tumebaki na siku mbili kuwapigia viongozi wetu tuwatakao, hivyo zingatia...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
MAMBO YA JPM .... CHAGUA MAENDELEO, KAZI IENDELEE Na Emmanuel J. Shilatu Ni miaka 5 sasa tangu Dk. John Pombe Joseph Magufuli ale kiapo mnamo Novemba 5, 2015 cha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
WANANCHI WA HAPA SOMANGA NASIKIA MNACHOMEWA MOTO NYAVU ZENU NA MNANYANYASWA SANA SASA NICHAGUENI OKTOBA 28,NIWE RAIS NISIMAMIE HAKI ZA BINADAMU"PROF.LIPUMBA" KILWA- SOMANGA Uvunjifu na ukiukwaji...
0 Reactions
0 Replies
778 Views
Menendez Introduces Resolution Calling on Government of Tanzania To Ensure Free and Fair Elections Washington, DC — U.S. Senator Bob Menendez (D-N.J.), Ranking Member of the Senate Foreign...
23 Reactions
134 Replies
10K Views
Back
Top Bottom