Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Mh James Mbatia amefika Mkoani Mbeya kwa ziara ya kichama na Kupokelewa na RC wa Mkoa huo huku akiahidiwa ulinzi. Katika ziara yake hiyo ya kichama atafika Busokelo...
18 Reactions
121 Replies
15K Views
Nimependa hii njia inayotumiwa na Kwasi Kwarteng wa Uingereza kwa kupunguza PAYE na VAT na kufuta matozo mengineyo Ili ku Stimulate Demand.. Ni Bora kukopa pesa za kufidia kwenye Bajeti Ili...
1 Reactions
2 Replies
451 Views
Kwamba CCM hawajui umuhimu wa tume huru? Nani kasema? Mgombea CCM ataka tume huru kuhesabu kura Kafunguka mgombea kwenye chama hicho kikongwe bila tume huru, hamwamini mtu chamani humo...
1 Reactions
3 Replies
525 Views
Kama Taifa tumeshindwa kabisa kuwahodhi nguvukazi ya vijana WETU Hadi WAMEKUWA panyaroad wakikimbizana na polisi!huku ni kufeli kwa sera zetu za ajira japo tuna wabobezi katika uchumi pia ni...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Tungesikia malalamiko ya ndugu za marehemu kuwa haki haikufanyika sawa. Sasa hawa analalama nini?
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Kama mnavyojua kulifanyika uchaguzi wa wabunge la Africa Mashariki na ACT kuwa na mgombea wao ambaye alikuwa Addo Shaibu Cha kushangaza ni kuwa wabunge wa CCM walimtosa Addo, ambaye ni Katibu Mkuu...
7 Reactions
41 Replies
4K Views
Muswada wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote umewasilishwa bungeni ambapo mwajiri wa sekta ya umma na binafsi rasmi atapaswa kumsajili mwajiriwa katika skimu ya bima ya afya ndani ya siku 30 tangu...
3 Reactions
27 Replies
5K Views
Naelewa hisia za baadhi ya watu Tanzania na Afrika ambao wana hoji kuhusu Viongozi wakuu wa nchi na Marais kutumia usafiri wa Bus kuelekea Westminster Abbey kwenye mazishi (State Funeral ) ,wengi...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Bila bima maalumu kwa wazee 65+ mfumo mzima wa bila ya taifa ya Afya hauwezi kufanikiwa. Wazee hawa wana matatizo makubwa ya kiafya na ni lazima waangaliwe tofauti sana na vijana. Kuwe na clinic...
0 Reactions
0 Replies
523 Views
Jeshi la Polisi, Mkoa wa Mara limemkamata Katibu wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), Catherine Ruge. Ruge amekamatwa leo Jumamosi, Septemba 24, 2022, muda mfupi...
1 Reactions
1 Replies
871 Views
Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) nchini Tanzania, Anthony Lusekelo ‘Mzee wa Upako’ ameonyesha sura mbili katika sakata la tozo za miamala ya kielektroniki. Amesema Serikali ya awamu ya sita...
0 Reactions
1 Replies
657 Views
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, leo Septemba 23, 2022 ameweka wazi kuwa, kila mwaka takriban watoto 800 hugundulika kuwa na ugonjwa wa Saratani nchini Tanzania hivyo kuchangia ongezeko la vifo...
3 Reactions
7 Replies
804 Views
Kumbe Ruto pamoja na kujishasha kwake na hatma ya majaji wale 6 mbele ya wageni wasiohusika, kingali kimeumana? Kwa hakika ndiyo maana watawala wetu wakisikia katiba mpya: "Huwa hawaishiwi ndoto...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Ukweli ni kwamba Tanzania tuna Wapinzani wasio jua nini wanataka, upinzani ambao kazi yao ni kudandia matukio tu leo wako kwenye TRAT na TRAB, kesho utasikia kwanini Rais ameenda Msumbiji etc ..ni...
1 Reactions
16 Replies
954 Views
Binafsi sikushangaa Spika alivyomtaka Waziri atolee ufafanuzi kuhusu TRAT na TRAB ndani ya sekunde Moja, (Aelezee kitabu chenye kurasa 500 ndani ya sekunde moja) Kwanini sikushangaa? Sababu ni...
4 Reactions
51 Replies
9K Views
Jamani Naomba kuuliza,, Kuna mtu Aliniambia anaunganisha bundles za Mtandao fulani,,Nikamtumia pesa ili aniunge badala yake akakimbia mazima,,Namba yake naiona iko active WhatsApp na hata kawaida...
1 Reactions
13 Replies
643 Views
Habari JF, Nimeona niwakumbushe Watanzania wenzangu maana asilimia kubwa tumezoea kushabikia vitu visivyo vya msingi. Triloni 360 ni pesa nyingi sana zinaweza kututoa tulipo kuwa donor country...
7 Reactions
35 Replies
3K Views
Wanajamvi, nadhani suala hili, halikuzungumziwa vya kutosha hata kidogo. Lissu yeye alishaumizwa na wengine walitishika kabisa kulizungumzia! Hata hivyo, bado limezungumziwa sana na makada wa CCM...
21 Reactions
231 Replies
18K Views
Lazaro Nyalandu aliwahi kulalamika wakati wa uchaguzi wa ndani pale CHADEMA kumpata mgombea wa Urais wa JMT kwamba kura zake ziliibwa akapewa Tundu Lissu. Jana nimemsoma Zitto Kabwe akidai...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…