Trat na Trab walipambana sana na Makampuni ya Barrick na Accacia lakini kesi zao zili backfire na Serikali ya Tanzania ilishindwa kulingana na MIGA agreements
Mwigulu aache kigugumizi aongee...
Hii ndio taarifa ya hivi punde kutoka Dodoma ambako tunaambiwa maelekezo kutoka CCM ni kwamba Mgombea wa ACT apigwe chini bali achaguliwe Mgombea wa CUF.
Itakumbukwa pia kwamba ACT na CCM ni...
Taarifa kutoka kwenye kikao cha familia ya Marehemu Mwise Simon na Mgare Mokiri , ambao ni miongoni mwa wale waliouawa na Jeshi la Polisi kwa madai ya Ujambazi , imefikia Uamuzi wa kutoshiriki...
Endeleeni kukimbizana na wanyonge, ila laana itawatafuna na kizazi chenu kinachotafuna jasho la wanyonge, waziri anashindwa kujiekeza, Tatraaaa leo amesema hayo matrilion yaliondolewa kirahisi...
Wakuu sina kumbukumbu ila hili jambo limenishangaza kidogo.
Nijuavyo mimi nafasi 3 za juu za uongozi nchini zinashikiliwa na Rais, Makamu wa Rais na Waziri mkuu.
Wiki hii kumetokea viongozi wote...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA imetoa agizo hilo kwa vyombo vyote vya Utangazaji nchini baada ya kupokea taarifa kutoka Baraza la Sanaa la Taifa BASATA.
Kwa mujibu wa barua ya TCRA imesema...
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amewataka wananchi mkoani Kilimanjaro kuweka akiba ya chakula kutokana na mazao yaliyolimwa mwaka huu kukauka kwa kukosa mvua.
Kauli ya mpango inautata mkubwa...
Wakati baadhi ya Watanzania wachache wakiendelea kufumba macho na masikio wasione wala kusikia kazi kubwa na Nzuri inayofanywa na Rais wetu hodari wa awamu ya sita Mhe Samia Suluhu Hassan...
Rais hao panya road wakikamatwa wasiuliwe bali wapelekwe Chunya gereza la Ngwala wakalime na kujifunza mambo mbalimbali yatakaowasaidia katika maisha yao.
Gereza la Ngwala halina fence yoyote na...
Wanabodi,
Wewe kama mwana JF, unapata an added advantage to be the first to know, ambapo leo katika tukio la maboresho ya jeshi la polisi, Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais...
Watoto wadogo wanapolia kwa kuchokozwa na mtu mzima au hata kwa kuchomwa sindano, ili kumnyamazisha asilie mzazi atamuuliza mtoto swali la kizushi la "nani mchokozi?". Mtoto atasema yule pale, na...
Katika vitu ambavyo huwa naviona haviko sawa kwa watumishi, ni hili la Mtumishi kutakiwa kusubiri mpaka makato yote ya mkopo yaishe ndio amalize mkopo wake au kama anataka kumaliza mkopo wake...
Wakristo tunasema "apumzike kwa Amani"
Naamini Kuna kundi la watu wanakereka kusikia habari za Magufuri, itabidi mzoee kiongozi huwa haishi kuongelewa
Binafsi niwe muwazi mapema tu, Mimi...
Tuache ushabiki. Lissu yupo vizuri kwenye masuala ya kisheria. Na ni mtetezi mkubwa wa haki za binadamu.
Huko Nyamongo alishatetea sana walioporwa ardhi na kunyimwa haki zao na Mabeberu...
Serikali Imesitisha Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo Baada ya Kushindwana na mwekezaji.
Hapo awali Serikali ilifufua mazungumzo na mwekezaji kuhusu ujenzi wa Bandari hiyo ila mazungumzo hayakwenda...
Mwenyekiti wa NCCR Eng. James Mbatia amesema kikao kilichomvua uanachama kilizuiwa na Mahakama hivyo Siyo halali na yeye bado ni mwenyekiti wa Chama hicho!
Source ITV habari
Wasalamu wana bodi wajuvi, wajuaji, wastaarabu bila kuwashau wale wa lolote sawa.
Leo ntatoa desa kidogo kuhusu mtiririko wa ukasimisishwaji madaraka ya Urais(presidential line of succession au...
Kwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na watanzania wote kuhusu kufanyika kwa vikao vya kawaida vya uongozi ngazi ya Taifa Jijini Dodoma kuanzia tarehe 26 Septemba, 2022 Kamati Kuu ya...