Shetani hana Rafiki: Mgombea wa ACT WAZALENDO aangukia pua EALA

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,650
218,121
Hii ndio taarifa ya hivi punde kutoka Dodoma ambako tunaambiwa maelekezo kutoka CCM ni kwamba Mgombea wa ACT apigwe chini bali achaguliwe Mgombea wa CUF.

Itakumbukwa pia kwamba ACT na CCM ni washirika kwenye Serikali ya umoja wa Kitaifa ( SUK ) Inayoongoza huko Zanzibar, sasa inashangaza inakuwaje wageukane?

Pamoja na Ndugu Zitto kutoa andiko reeefu la TUJIVUE MINYORORO YA 2020 na kusifia kwa kupitiliza lakini bado katoswa!

Ama kweli Shetani hana Rafiki.
 
Hii ndio taarifa ya hivi punde kutoka Dodoma , ambako tunaambiwa maelekezo kutoka ccm ni kwamba Mgombea wa ACT apigwe chini bali achaguliwe Mgombea wa CUF .

Itakumbukwa pia kwamba ACT na ccm ni washirika kwenye serikali ya umoja wa Kitaifa ( SUK ) Inayoongoza huko Zanzibar , sasa inashangaza inakuwaje wageukane ? Pamoja na Ndugu Zitto kutoa andiko reeefu la TUJIVUE MINYORORO YA 2020 na kusifia kwa kupitiliza lakini bado katoswa !

Ama kweli Shetani hana Rafiki .

Tena aliyopigwa Chini ni katibu Mkuu wa chama
 
Mbona CHADEMA pamoja na Mwenyekiti wao kutupwa ndani na serikali ya CCM lakini bado Mwenyekiti alipotoka gerezani alikwenda moja kwa moja Ikulu na baadaye viongozi wote wa CHADEMA walikwenda Ikulu KUJADILIANA na Serikali ya CCM juu masuala mbalimbali ya kisiasa lakini siasa za Utawala wa Jiwe zingali zinaendelea mpaka sasa hakuna mikutano ya kisiasa Ila chama Twawala wanafanya mikutano.Lakini vilevile bado COVID-19 wapo Bungeni wanapeta.
"Kunya anye kuku,akinya bata kaharisha"
 
Kwani Chadema ni Washirika wa CCM?
 
Back
Top Bottom