Tundu Lissu kwa weledi na ujasiri alionao angekuwepo Tanzania angezitetea familia za ndugu waliouawa na polisi huko Serengeti na haki ingepatikana

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,086
6,568
Tuache ushabiki. Lissu yupo vizuri kwenye masuala ya kisheria. Na ni mtetezi mkubwa wa haki za binadamu.

Huko Nyamongo alishatetea sana walioporwa ardhi na kunyimwa haki zao na Mabeberu.

Alishapambana sana kutetea raia wanaosadikiwa kufukiwa Bulyanhuru kupisha Mabeberu wapore mali zetu.

Mahakamani ndio alishatetea sana raia kibao wanyonge.

Najua kwq hizi familia zilizoonewa huko Serengeti angekuwepo haki ingepatikana tu.
 
Mtafunguka tu zaidi
 
Lijane lililoshindikana. Hupo tu humu JF kukera wengine.

Nyauww
 
Tuache ushabiki. Lissu yupo vizuri kwenye masuala ya kisheria. Na ni mtetezi mkubwa wa haki za binadamu.

Huko Nyamongo alishatetea sana walioporwa ardhi na kunyimwa haki zao na Mabeberu.

Alishapambana sana kutetea raia wanaosadikiwa kufukiwa Bulyanhuru kupisha Mabeberu wapore mali zetu.

Mahakamani ndio alishatetea sana raia kibao wanyonge.

Najua kwq hizi familia zilizoonewa huko Serengeti angekuwepo haki ingepatikana tu.
Kwa bulyanhulu nikujulishe tu! Lisu hakuwatetea wananchi hata kidogo walikuwa wakili anayetumia madhaifu ya wananchi na mgodi kujifanya anashitaki mgodi ili alipwe hela!
Kuna kipindi 2015 alishawahi kuna kakola wananchi wakamuuliza vipi ulionekana kutetea wananchi lakini hamna tulichoambulia akataoa majibu ya balhblah!
Kwa kifupi Lisu asikudanganye kuwa mtetezi wa wananchi nasema big No alipiga hela bulyamhulu akatembea!
 
Wewe unaleta chuki
 
Mjane umekuwa mzushi sana siku hizi
 
Katiba yetu mbovu imempa mamlaka mkuu wa nchi kunyamaza ama kupuuza hata kama raia wake wanaonewa na kuuawa na vyombo vya dola
 
Tuache ushabiki. Lissu yupo vizuri kwenye masuala ya kisheria. Na ni mtetezi mkubwa wa haki za binadamu.

Huko Nyamongo alishatetea sana walioporwa ardhi na kunyimwa haki zao na Mabeberu.

Alishapambana sana kutetea raia wanaosadikiwa kufukiwa Bulyanhuru kupisha Mabeberu wapore mali zetu.

Mahakamani ndio alishatetea sana raia kibao wanyonge.

Najua kwq hizi familia zilizoonewa huko Serengeti angekuwepo haki ingepatikana tu.
Anza kuwatetea wewe kwanza huko huko
 
Back
Top Bottom