Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanajf subalaheri! Siitaji kusema mengi sana kuhusu kilichotokea NCCR-Mageuzi kikiongozwa na Selasini lakini ifahamike pia kuwa Joseph Selasini ameendesha vuguvugu la mapinduzi nccr akiwa ni...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Ili uwe mwanasiasa kwa siasa za kiafrika lazima uwe mnafiki. Lazima penye uongo ukubali na kusapoti huku ukikenua meno. Hayati Magufuli alikataa unafiki na ndiyo maana mpaka leo Watanzania...
5 Reactions
33 Replies
3K Views
Wasalaam, Kama jina la uzi linavyosema, nauliza ni kweli kwamba vyanzo vya mapato ni tozo tuu hatuna angle nyingine ambayo inaweza kumpumzisha Mtanzania na kumfanya asijute kuwa Mtanzania? Kwa...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Na Grace Semfuko, MAELEZO Msemaji Mkuu wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Bw. Gerson Msigwa amewataka Viongozi wa Taasisi za Serikali Nchini, kutoa taarifa za mafanikio ya...
2 Reactions
8 Replies
985 Views
Asalaam Alyekum Ndugu zangu Watanzania! Tumsifu Yesu Kristo ndugu zangu Watanzania! Kwanza nitaanza kurejea mgogorowa IPTL na Serikali juu ya Escrow Account, nakumbuka vyema jinsi Serikali ya...
9 Reactions
60 Replies
4K Views
Kwenye ukweli basi ukweli uwekwe wazi. Hakuma mtanzania anyependa uhalifu. Kama jambazi ana silaha na anakiwa mkaidi kutii basi huyo ni halali ya polisi. Lakini inasikitisha kusikia kuwa...
23 Reactions
49 Replies
3K Views
Inatia moyo kuwa sauti zaidi zinazidi kusikika. Kwamba: "Machifu wa mkoa wa Mara nao pia wameomba kufanyika kwa uchunguzi wa kina kuhusu tukio la mauaji ya watu watatu yalitokea wilayani...
2 Reactions
4 Replies
898 Views
Nimewawekea clip juu ya hilo sakata jinsi lilivyokwisha kimya kimya. Lakini bado wapo watu wanaamini kuwa aliweza kuwabana mabeberu.
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Naomba kujua hii serikali ya sasa inaendeleaje na mkakati wa kuunganisha DR Congo na Tanzania Ili mizigo ya DR Congo isipitie Zambia bali ipitie Tanzania na kufika DR Congo kupitia Sumbawanga
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Tunayo furaha kukutangazia kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , kesho Jumanne 27/09/2022 saa 5 Asubuhi , kitakuwa na Mkutano na Waandishi wa habari , IKUMBUKWE KWAMBA JUMANNE NDIO...
10 Reactions
35 Replies
2K Views
Nawasalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania........ Naamini wengi wetu tuko salama na tunaendelea kupambana na maisha. Karibuni kwenye mada tusaidiane mawazo ikiwa ni elimu kwangu...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Na Grace Semfuko, MAELEZO Msemaji Mkuu wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Bw. Gerson Msigwa amesema Tanzania ni moja kati ya Nchi Duniani zenye vyombo vingi vya Habari na kwamba...
0 Reactions
0 Replies
598 Views
Kuna kitu kinanishangaza sana, kwamba Wazungu wamenunua sana aridhi Zanzibar na wanaishi, si kwamba wanaishi kama wawekezaji hapana, wamenunua wamejenga nyumba na wanakaaa, na wakati huo huo watu...
7 Reactions
50 Replies
4K Views
Mnachokiwaza hakipo kama mnavyofikiri kuna vingi vipo nyuma ya jambo hili, mna macho wala hamtaona Mna masikio ila hamtasikia Na kwa kuwa mmerogwa haina haja kuwaambia ngojeni kwanza tuwatafutie...
6 Reactions
65 Replies
4K Views
Ni dhahiri kabisa CCM ndio Chama kinachoongoza kwa kupendwa na kuaminiwa zaidi na Watanzania walio wengi. Ushahidi wa wazi ni idadi hii kubwa ya Wananchi wanaotaka kukiongoza chama hiki pendwa...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema hadi sasa hakuna Mmonjwa wa Ebola nchini, hata hivyo Ummy amewataka Wakuu wa mikoa yote kuwaandaa wahudumu watakaowashughulikia Wagonjwa wa Ebola iwapo...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Kama IGP Wambura ataendelea kufanya vitu kisiasa ni bora apelekwe naye ubalozini. Hatutaki siasa kwenye Polisi. Huko Musoma shughulikia zaidi badala ya kungojea viongozi wa siasa huu ni udhaifu
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Kampuni hiyo ya uzalishaji mafuta imetakiwa kufika mbele ya jopo la Wabunge wa Umoja wa Ulaya Oktoba 10, 2022 kujieleza kuhusu athari za Kimazingira na Ukiukaji wa Haki za Binadamu kwenye...
6 Reactions
62 Replies
5K Views
Baada ya Mbatia kutimuliwa jana September 25 2022 ndani ya NCCR-Mageuzi pamoja na Vijana wake wakiwemo Edward Simbeye na Nicolas Clinton, Iko hivi; Hii inakuja baada ya Makundi yanayonyukana...
7 Reactions
70 Replies
7K Views
Habari Watanzania, Baada ya kusoma na kusiliza hoja za waziri wa fedha mheshimiwa Dr. Mwigulu Lameck Nchemba, naona kama hajaelewa msingi wa manung'uniko au kelele anazozisikia. Naomba kumweleza...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…