Pamoja na MAJIBU MEPESI ya Waziri wa Fedha juu ya Suala la Serikali kusamehe Kodi ya Tril.360 zilizokuwa inadaiwa Kampuni ya Barrick Binafsi naona Bado kuna haja ya Kuendelea Kujadili ili tujue...
Nakumbuka wakati Jenerali akiwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Wilaya hii iliongoza kwa uchafu Tanzania nzima, malundo ya taka, madampo, barabara chafu, zenye mashimo, usimamizi wa hovyo kabisa wa...
Viongozi wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Mkoa wa Dodoma (DWJ) jana tarehe 28 Septemba, 2022 walimtembelea Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu...
Walikuwa kwenye maandalizi ya kongamano la Katiba mpya
Ni Askofu Mwamakula, Dkt. Lwaitama na Twaha Mwaipaya
Pia soma
Mwanza: Polisi wazuia Kongamano la Katiba Mpya
Uoga: Kongamano la Katiba...
Hii ni Kesho tarehe 11/07/2022 kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chadema zilizoko Nje ya Jiji la Dar es Salaam , huko Kinondoni Mtaa wa Ufipa kuanzia Saa 4 Asubuhi .
Mwaipaya ambaye ni Kiongozi wa...
Rais wa Zanzibar , Dr Hussein Mwinyi amemteua Mgeni Jalan Jecha kuwa Mkurugenzi mpya wa Mashitaka wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar .
Bado haijafahamika Uhusiano wa Jecha huyu na yule...
Watanzania ni washenzi, nianze kwa kusema hivyo. Tumekabidhi hii nchi mikononi mwa CCM na tumeacha itupeleke kama inavyotaka na hatutaki kuhoji.
Wakati wa uchafuzi mkuu wa 2020 mzee wangu...
Wana jamvi. Napendekekeza umri wa kugombea urais wa jamh. Tanzania uwe kati ya miaka 25 hadi 70.
Hii ni baada ya kuona kuna vijana wanaweza kuwa marais kwa umri husika maana wazee wanazingua...
Labda ipigwe kura tujue watanzania wanataka serikali iwe inatoa wapi Fedha za kujiendesha na zile za Maendeleo
Haiwezekani tulalamike katika kila Jambo Jamanii
Wakitozwa matajiri mnasema Shujaa...
Waziri mkuu mh Majaliwa amesema kitendo cha Watumishi wa Umma kuendelea kubaki Dar wakati wanatakiwa wawe Dodoma kunaitia hasara Serikali
Mh Majaliwa ameagiza Watumishi hao wawe wamehamia Dodoma...
Wanamichezo Rudini na Ushindi: Yakubu
Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu Bw. Saidi Yakubu amewaaga wanamichezo wa Wizara hiyo ambao wanakwenda...
Nccr Mageuzi wamependezwa na ubora wa Katiba ya CCM kuhusu ukomo wa muda wa Mwenyekiti wa taifa kukaa madarakani wa miaka 10
Hivyo mkutano mkuu wa Nccr nao umefanya mabadiliko ya Katiba yake na...
Mwanza. Swali la Mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina limewasha upya moto wa ahadi ya malipo ya mabilioni ya shilingi kutokana na malimbikizo ya kodi kutoka kampuni ya Barrick Gold.
Maswali ya...
Wadau Nawasalimu.
Naomba kupata Ufafanuzi juu ya Utoaji wa Fedha za Serikali kwenda kwenye Miradi ya Serikali.
Kwanini Siku hizi Hatusikii tena kuwa SERIKALI imetoa Sh.kadhaa kwa ajili ya Mradi...
Kuna hii dhana ya kumsifia kiongozi fulani eti anaifungua nchi, kitu ambacho hata mwenyewe bila hata yeye mwenyewe anashangaa!!nchi ilifungwaje? nani aliifunga? maana serikali haijabadilika! Ilani...
Urusi ilialika watu au taasisi zinazohitaji kuwa waangalizi kwenye kura ya maoni iliyohusu majimbo manne ya ukraine kukubali kujiunga na Urusi au kubaki kwenye himaya ya Ukraine. Urusi ilikuwa na...
Shirika la nyumba za Taifa (NHC) linatarajia kujenga nyumba za bei nafuu katika eneo la Kawe Tanganyika Packers jijini Dar es salaam, lengo likiwa ni kuwa na makazi bora na nafuu yatakayoendana na...
Kama mjuavyo, kutokana na namna ya uchaguzi mkuu ulivyofanyika hapa nchini mwaka 2020, hakuna Mbunge yeyote wa upinzani aliyechaguliwa, isipokuwa wawili tu ambao ni yule mama wa Chadema...
ACT–Wazalendo Yauvalia Njuga Mgogoro wa Ardhi Chasimba Bunju.
ACT Wazalendo kupitia Msemaji wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi Ndg. Bonifasia Mapunda, kimetoa msimamo wa kuunga mkono mapambano ya...