Nchi ile iliacha kupata viongozi mwaka 2015. Waliofuatia...

Nchi ile iliacha kupata viongozi mwaka 2015. Waliofuatia...

mngony

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2012
Posts
5,753
Reaction score
7,269
Habari Wakuu

Binafsi naona nchi ile iliacha kupata viongozi kwa maana sifa za Uongozi mwaka 2015

Waliofatia wote,kila mtu anajionea. Wamekuwa wakali, hawana uvumilivu, hawana subira,hawataki kusikiliza maoni, hawataki kukosolewa, wapinzani cha moto wanakiona, visingizio na malalamiko mengi.

Wenye dhamana ya nchi warudi kwenye 'basics' tunaenda wapi. Kama iliyokuwa kabla ya 2015 tulikuwa tunapata viongozi kwa maana ya viongozi.

Kiongozi ndio mwanadiplomasia namba moja wa taifa lake, kiongozi ndio mlinzi namba moja taifa lake, kiongozi ndio mchumi namba moja. Kiongozi akikosa kubobea katika fani moja wapo katika hizo tatu basi ndio kama tunavyoona kuanzia 2015
 
Back
Top Bottom