Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jana nilimsikia Mhe. Rais alipo kuwa ana waapisha Mawaziri walio teuliwa kuwa viongozi wote wanao wajibu wa kuzingatia viapo vyao na kuzingatia katiba Ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na pia...
1 Reactions
9 Replies
752 Views
Polisi mkoani Kilimanjaro, wanamsaka mtuhumiwa wa mauaji aliyemjeruhi kwa kumkata kwa panga kichwani, askari wa jeshi hilo, wakati askari huyo na wenzake walipofika nyumbani kwake kwa lengo la...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Tumesikia Spika akiwaambia wafuasi wake kuwa wasikubali Raisi atusiwe, ikitokea ametusiwa, basi wasikae kimya wamfanye vyovyote? Je, Rais ndiye alimtuma? Je, Rais hajiamini au Spika...
0 Reactions
2 Replies
424 Views
Ni ushauri tu Panapokuwa na hali kama ya sasa Waziri wa Fedha awe anashuka kuieleza Halmashauri kuu mipango yake Nawasilisha
0 Reactions
3 Replies
487 Views
Dunia sasa inapigana na tawala zisizo na democracy. Na wakati mwingine huenda hawatuelewi. Inabidi Dkt. Stergomena Lawrence Tax unakazi nyepesi kuweka mambo sawa. Kafafanue vizuri; 1. Vip akina...
3 Reactions
5 Replies
899 Views
Rais Samia amesema japokuwa kiujumla TAMISEMI wamevuka malengo ya ukusanyaji Mapato kwa 105% ila kiukweli malengo wanayojipangia madogo. Rais Samia amesema Waziri Bashungwa ameomba Magari mapya...
5 Reactions
31 Replies
4K Views
Salam ndugu Watanzania wenzangu Ningependa kuwaajuvya kuwa chakachua kwenye masuala ya ardhi imeanza kuoamba moto katika wilaya ya kisarawe hasa baada ya thamani ya ardhi kuanza kuongezeka...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
WAANDISHI WA HABARI NA WASANII WALISHIRIKI KUTENGENEZA TASWIRA HASI Mbunge mstaafu katika mzungumzo exclusive aelezea jinsi sekta ya habari na wasanii walivyoshirikiana kumpatia nafsi ya enemy...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwanza tv ya maria sarungi iliandika Gwajima apata ajali, ikala rungu la TCRA , soma sababu zake na uniambie kwa nini mwananchi wasile rungu kwa jinsi walivyoandika habari ya mbowe kushinda huko...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya leo Jumatatu Septemba 26 amefikishwa tena katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi akiwa peke yake. Sabaya anakabiliwa kesi namba mbili ya uhujumu...
4 Reactions
36 Replies
4K Views
Wakuu naomba jibu Hii bendera ni ya nchi gani ambayo hata Tundu Lissu aliweza kuivaa?
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Nimeuliza labda huenda mimi sinakumbukumbu sahihi kuhusiana na kilio cha tozo naona nikifanya miamala yangu bado makato ni yaleyale! je waziri wa fedha alidanganya umma au kwakuwa amezoea...
0 Reactions
2 Replies
530 Views
Mwenezi wa Nccr amesema mkutano wa kuwang'oa akina Mbatia uligharamiwa na chama chenyewe siyo CCM Mwenezi amesema Suzan Masselle peke yake aliwahi kuchangia tsh million 80 ili kuimarisha chama...
3 Reactions
4 Replies
624 Views
85% ya Barabara Kupitika Ifikapo 2025 Na Immaculate Makilika – MAELEZO Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor Seff ameeleza kuwa katika Mpango...
0 Reactions
1 Replies
504 Views
Operesheni ya Polisi-Dar es salaam dhidi ya watuhumiwa wa Panya Road ichunguzwe. Kukithiri kwa vitendo vya Panya Road Mkoa wa Dar es salaam, kumezua hofu miongoni mwa jamii kwa makundi hayo...
33 Reactions
313 Replies
18K Views
Mara baada ya mawaziri watatu (Bashungwa, Tax na Kairuki) kula kiapo ikulu jijini Dar es Salaam, Mh Rais amezungumza maneno machache sana. Amewaasa mawaziri wake wapya mambo yafuatayo: 1...
9 Reactions
71 Replies
10K Views
Serikali ya awamu ya sita kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, imetenga kiasi cha TZS bilioni 50/= kwaajili ya programu ya kupanga, kupima na kumilikisha ardhi nchini. Pesa hizo...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Nawaambia Kama ilivyoandikwa kwenye Vitabu vitakatifu Biblia na Quran Kuna siku yaja Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii. Kama ambavyo Mkapa, Kikwete na Magufuli walipambana na Tundu Lissu...
70 Reactions
195 Replies
11K Views
Wengi tunataka kuwa na msimamo thabiti na madhubuti kupinga maovu, ufifisadi na kutetea wananchi wawe na maisha bora. Leo hii hali ni ngumu sana maana raia wanalia juu ya ugumu wa maisha. Raia...
4 Reactions
112 Replies
5K Views
GENTAMYCINE nitakuwa wa mwisho Kiamini Mtoto wa Jirani yangu Kumfanyia Umafia Mwanangu ama bila ya Baba yake kujua au hata nae Kuchangia na Kuchochea Uhuni na Upumbavu huo. 'Owner Chair' Taifa...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…