Joseph Mbilinyi (Sugu): Waandishi na wasanii walishiriki nionekane adui mbele ya jamii

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,293
24,173
WAANDISHI WA HABARI NA WASANII WALISHIRIKI KUTENGENEZA TASWIRA HASI



Mbunge mstaafu katika mzungumzo exclusive aelezea jinsi sekta ya habari na wasanii walivyoshirikiana kumpatia nafsi ya enemy of the state.

Wasanii wa Tanzania waliogopa kupiga picha na Waziri Kivuli wa michezo na sanaa pia waandishi walishiriki kuandika makala zilizoegemea habari potofu zisizo na uhalisia wa kweli badala ya kuandika habari za kina na za uchunguzi ya yale aliyoyafanya kwa manufaa ya nchi na Watanzania kwa ujumla.

Anaongeza kuwa Dr. Emmanuel John Nchimbi aliyekuwa Waziri wa Michezo, Tamaduni na Habari alikuwa kila mara akimwita wakutane kuzungumza kwa kina, sababu aliona kazi nzuri na hoja alizonazo aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi almaaruf Sugu.

Sugu anaendelea kuelezea jinsi alivyowapigania Watanzania wote yaani raia wa kawaida, waandishi wa habari, wasanii katika masuala mapana ya .....

Source : Dar24 Media
 
WAANDISHI WA HABARI NA WASANII WALISHIRIKI KUTENGENEZA TASWIRA HASI



Mbunge mstaafu katika mzungumzo exclusive aelezea jinsi sekta ya habari na wasanii walivyoshirikiana kumpatia nafsi ya enemy of the state.

Wasanii wa Tanzania waliogopa kupiga picha na waziri kivuli wa michezo na sanaa pia waandishi walishiriki kuandika makala zilizoegemea habari potovu zisizo na uhalusia wa kweli badala ya kuandika habari za kina za uchunguzi ya yale aliyoyafanya kwa manufaa ya nchi na waTanzania kwa ujumla.

Anaongeza kuwa Dr. Emmanuel John Nchimbi aliyekuwa waziri wa michezo, tamaduni na habari alikuwa kila mara akimwita wakutane kuzungumza kwa kina sababu aliona kazi nzuri na hoja alizonazo aliyekuwa mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi almaaruf SUGU

SUGU anaendelea kuelezea jinsi alivyowapigania waTanzania wote yaani raia wa kawaida, waandishi wa habari, wasanii katika masuala mapana ya .....

Source : Dar24 Media

Wanamwit Sugu
 
Back
Top Bottom