Hii Bendera ni ya nchi gani ambayo hata Tundu Lissu alivaa kwenye Tshirt yake?

chotera

JF-Expert Member
May 19, 2016
6,305
15,033
Wakuu naomba jibu
Hii bendera ni ya nchi gani ambayo hata Tundu Lissu aliweza kuivaa?
1664870499351.png


IMG_0621.jpg
 
Ilikuwa ni Bendera ya iliyokuwa Tanganyika kabla ya Kuungana na Zanzibar na kuzaa Tanzania.

Kwa sasa rangi hiyo inabaki kama Bendera ya Nchi ya Jamaica
 
Back
Top Bottom