HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,321
- 103,591
Tumesikia Spika akiwaambia wafuasi wake kuwa wasikubali Raisi atusiwe, ikitokea ametusiwa, basi wasikae kimya wamfanye vyovyote?
Je, Rais ndiye alimtuma?
Je, Rais hajiamini au Spika anajipendekeza?
Iran wamekataa huo ujinga, walikuwa makondooo kwa muda mrefu ila sasa wameamka akili, bado kidogo tu Iran kudondoka.
Hivi Watanzania tumeshindwa nini kuondoa hizi dharau?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app