peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,829
21,460
Aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya leo Jumatatu Septemba 26 amefikishwa tena katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi akiwa peke yake.

Sabaya anakabiliwa kesi namba mbili ya uhujumu uchumi ya mwaka 2022, huku wenzake alioshitakiwa nao wakiwa wameachiliwa huru baada ya kukiri kosa na kuachiliwa huru Septemba 6 mwaka huu.

Washirika hao ni pamoja na Sylivester Nyegu, John Aweyo, Nathan Msuya na Antero Assey aliokuwa.

Makosa waliyokiri ni pamoja na kujitwalia madaraka isivyo halali na kwenda kufanya upekuzi nyumbani kwa Alex Swai na kula njama, kumnyima na kukandamiza haki yake.

Mahakama hiyo iliwatia hatiani na kutoa amri ya kulipa kila mmoja faini ya Sh50,000 na fidia ya Sh1milioni kwa mlalamikaji Alex Swai.

Mwananchi
 
Dpp Kweka anatumiwa na matajiri wa kichaga kumchafua Sabaya wakati hana ushahidi wowote.

Mbowe alikutwa na kesi ya kujibu kutokana na ugaidi wake
Usije ukakosa kujitokeza kukiwa na tangazo la kuwataka wenye matatizo ya akili kupewa matibabu bure.

Kukosa kuelewa hata kinachojadiliwa kinaashiria upungufu mkubwa katika utendaji kazi wa akili.
 
Dpp Kweka anatumiwa na matajiri wa kichaga kumchafua Sabaya wakati hana ushahidi wowote.

Mbowe alikutwa na kesi ya kujibu kutokana na ugaidi wake
We nawe acha upumbavu, unaelewe maana ya kesi ya kujibu? Unao uhuru wa kuandika lolote lakini huna huo uhuru wakutuchafulia habari tunazoletewa kutuhabarisha yanayoendelea.

Usitake kuona wote walioko humu JF ni wapuuzi kama ulivyo. Jiheshimu, acha tabia za kikahaba

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Dogo ana option moja tu, kuomba msamaha kwa CCM. Kosa lake ni kudharau wakuu wake kiitifaki na kufanya ambayo aliyodhani yanamfurahisha mwendazake.

Alimtumainiaye mwanadamu amelaanika. Sasa hatma ya maisha yake yako mikononi mwa CCM yenyewe, sisi washangiliaji tu.
 
Aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya leo Jumatatu Septemba 26 amefikishwa tena katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi akiwa peke yake.

Sabaya anakabiliwa kesi namba mbili ya uhujumu uchumi ya mwaka 2022, huku wenzake alioshitakiwa nao wakiwa wameachiliwa huru baada ya kukiri kosa na kuachiliwa huru Septemba 6 mwaka huu.

Washirika hao ni pamoja na Sylivester Nyegu, John Aweyo, Nathan Msuya na Antero Assey aliokuwa.

Makosa waliyokiri ni pamoja na kujitwalia madaraka isivyo halali na kwenda kufanya upekuzi nyumbani kwa Alex Swai na kula njama, kumnyima na kukandamiza haki yake.

Mahakama hiyo iliwatia hatiani na kutoa amri ya kulipa kila mmoja faini ya Sh50,000 na fidia ya Sh1milioni kwa mlalamikaji Alex Swai.

Mwananchi
Ipo siku yataisha tu
 
Back
Top Bottom